Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Swali la msingi ni hili.hapa umenielewesha kuwa pamoja na kuweka definition ya automaton umeshindwa kujua umeweka nini. vyote ulivyoviweka hapa haviusiani na mambo ambayo mwanadamu ANAYAFANYA kwa sababu kawa PROGRAMMED na Mungu. tunapozungumzia automation hapa tunazungumzia the mind that pushes a man to CHOOSE. those faculties ambazo umezitaja hapo hazihusiani na power of choice in what is available to that man.
sasa kwa sababu umeshindwa hata kung'amua automaton ni kitu gani pamoja na kuisoma kote huko, nilikwambia huko nyuma wewe huna uwezo hata wa kugundua hata pale nitakapokuthibitishia kuwa Mungu yupo. Akili hiyo huna. unazunguka tu na realm yako iliyofungiwa kwenye logic ulizojifunza kwa kusikia kilichotokea ndani ya hii miaka 6000 ya uwepo wa dunia wakati Mungu amekuwepo tu from the eternity.
ungejua kuwa anaowaumba wana power ya kuchagua chochote within their reach katika hii miniature scenario ungefahamu kuwa Mungu si wa kulazimisha vitu vifanya kama anavyotaka ingawa anaweka matokeo ya kufanya uchaguzi huo. na hiyo ni kanuni yake ambayo hata yeye mwenyewe haivunji.
we unanichosha tu. hujui unachozungumza unaleta usiyoyajua hapa.
Mungu alishindwa kuumba dunia ambayo watu wana uwezo wa kuchagua, lakini haina matetemeko ya ardhi?
Uwezo wa mtu kuchagua mazuri na mabaya hauna uhusiano wowote na majanga ya asili kama matetemeko ya ardhi.
Kwanini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na matetemeko ya ardhi yanayoua na kuzika watoto wachanga wasio na hatia? Kwa nini kaumba hivyo wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi hayawezi kutokea?
Hujajibu swali hili.