Zaidi, kama mtu anakubali logic na anaelewa "proof by contradiction" na anajua kusoma, na kashafuatilia thread hii, ataona kwamba uthibitisho huo unaodaiwa ushatolewa mara lukuki hapa.Sasa atathibitishaje kitu ambacho anaamini hakipo!?.Nyinyi mnaoamini kipo ndiyo mnapaswa kuthibitisha uwepo wa Mungu.Mi namwelewa sana Kiranga.
Acheni kuzunguka mbuyu wenyewe.
Unasema Mungu hayupo?Zaidi, kama mtu anakubali logic na anaelewa "proof by contradiction" na anajua kusoma, na kashafuatilia thread hii, ataona kwamba uthibitisho huo unaodaiwa ushatolewa mara lukuki hapa.
Sasa kama kipofu anabishana tofauti ya rangi nyekundu na bluu wakati haioni, mimi siwezi kuwajibika kwa hilo.
Na kwa kweli huo utakuwa ushahidi zaidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.
Maana angekuwepo, dunia isingekuwa na vipofu.
Sio nasema tu.Unasema Mungu hayupo?
Kanusha
Hebu weka hayo makatazo ya ulimwengu kuhusu Mungu nami nione..Sio nasema tu.
Mungu mjuziwa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Ulimwengu huu uliopo unamkataa na kumkanusha kabla mimi sijaandika lolote.
1. Wanaosema Mungu yupo, wanasema Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.Hebu weka hayo makatazo ya ulimwengu kuhusu Mungu nami nione..
Mathalani Mimi nijiweke katikati kwamba ndo nasikia leo kuhusu uwepo au kutokuwepo kwa Mungu
Kwa nn unasema hakuna Mungu??
Kwenye 5 hapo umesema Mungu hajaumba ulimwengu, Je ni nani ameuumba? Lazima unalo jibu kwa kua umwkanusha.1. Wanaosema Mungu yupo, wanasema Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
2. Mungu huyo wa (1) hapo juu,alikuwa na uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao hauna dhambi, mabaya wala majanga ya asili yanayoua na kutaabisha wengi.
3. Mungu huyo wa hapo juu, hana sababu ya kimantiki ya kuumba ulimwengu ambao mabaya, dhambi, majanga ya asili yanawezekana kuwepo.
4. Ulimwengu huu umejaa mabaya, dhambi na majanga ya asili.
5. Ulimwengu huu haujaumbwa na Mungu huyo.
6. Munguhuyo angekuwepo,upendowake mkuu usingeruhusu mabaya, dhambi na majanga ya asili yawezekane kwenye ulimwengu wowote aliouumba.
7. Ulimwengu huu una mabaya, dhambi na majanga ya asili lukuki.
8. Hivyo, Mungu huyo hayupo. Ni hadithi ya kutungwa tu.
Kimantiki, hii inaitwa "proof by contradiction"
Proof by contradiction - Wikipedia
Ukiniuliza square root ya 2 ni nini, nikakwambia sijui, hilo halina maana ya kwamba ukiniambia ni 10 (jibu potofu) ni lazima nikubali, kwa sababu sijui jibu sahihi.Kwenye 5 hapo umesema Mungu hajaumba ulimwengu, Je ni nani ameuumba? Lazima unalo jibu kwa kua umwkanusha.
Halafu Je, kila usiloweza kulithibitisha wewe kwa utashi wako halipo?
Je unakubali kua binadamu ana ukomo wa kuthibitisha mambo ambayo yako into existence??
Mfano wako wa square root ya 2 na jibu la 10 hauko sahihi, kwani umejengwa kwenye context iliyo kamili na yenye complete rules. Mathalani nikienda kwa muhadzabe ambae hajui hata 1 ni nini nikamwambia square root ya 2 ni 10 kukataa kwakwe kutakua tofauti na kukataa kwako (wote mtakua mmekataa lakini katika context mbili tofauti)Ukiniuliza square root ya 2 ni nini, nikakwambia sijui, hilo halina maana ya kwamba ukiniambia ni 10 (jibu potofu) ni lazima nikubali, kwa sababu sijui jibu sahihi.
Hasha. Naweza kushindwa kujua jibu sahihi, nikawa nalitafuta bado. Lakini ukanipa jibu potofu mara moja nikajua hili ni jibu potofu.
Mfano wa square root ya 2 na jibu la 10 unatuonesha hili.
Unaniuliza kuhusu nisiloweza kuthibitisha kwa utashi wangu, wakati mimi nimekuthibitishia Mungu hayupo kwa mantiki.
Umeelewa hata mantiki niliyotumia?
Kama binadamu ana ukomo wa kuthibitisha mambo yaliyo katika existence, huu ni ushahidi mwingine wa kwamba Mungu muweza yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote hayupo.
Angekuwepo, kwa upendo wake wote, ujuzi wake wote na uwezo wake wote, asingeumba viumbe na kuwapa upeo mdogo tu wa kujua mambo na mengine mengi kuwaficha. Hiyo ni tabia ya ubinafsi na chogo ambayo hata watu wa kawaida wanaojitambua wanaikosoa, itakuwaje Mungu awe mbinafsi na mwenye choyo?
Kama Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote yupo, kwa nini kaumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi yanaweza kutokea na kuua watoto wachanga wasio na hatia, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao matetemeko hayo hayawezekani kutokea?
Mfano wa square root ya 2 unaonesha kwamba, mtu anaweza kujua jibu fulani si sahihi hata kama jibu sahihi halijui.Mfano wako wa square root ya 2 na jibu la 10 hauko sahihi, kwani umejengwa kwenye context iliyo kamili na yenye complete rules. Mathalani nikienda kwa muhadzabe ambae hajui hata 1 ni nini nikamwambia square root ya 2 ni 10 kukataa kwakwe kutakua tofauti na kukataa kwako (wote mtakua mmekataa lakini katika context mbili tofauti)
Wewe unakataa kama muhadzabe [hakuna complete rule jibu as reference kwenye guidance]
Hakujakua na End ambayo inaturudisha sasa kuweza kukataa square root ya 2 kwa kutumia clue.
Akili hazionekani kwahiyo unataka kusema hakuna akili? Acha kujitoa ufahamu weweTofauti ipo.
Hakuna mjadala kwamba watu wapo. Au unabisha?
Kuna mjadala kama mungu yupo.
Ukisema maneno haya yaameandikwa na watu, hilo halihitaji kuthibitishwa, hatuhitaji kuthibitisha kwamba watu wapo.
Tunahitaji kuthibitisha mungu yupo maana haonekani, haeleweki, wazo la kuwepo kwake linajipinga lenyewe.
Utasemaje mawili haya ni sawa?
Kwani nani kasema Mungu muweza yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote hayupo kwa sababu haonekani?Akili hazionekani kwahiyo unataka kusema hakuna akili? Acha kujitoa ufahamu wewe
Umesema haonekani unataka kukataaKwani nani kasema Mungu muweza yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote hayupo kwa sababu haonekani?
Mbona unanibishia kwa hoja ambayo sijaitoa?
Hoja ya msingi kabisa kwamba Mungu hayupo ni kwamba dhana (dhana, sikitu chochote kinachoonekana) ya kuwepo kwake, inajipinga yenyewe.Umesema haonekani unataka kukataa
Unaweza kuniambia sababu zinazokufanya usema hayupoHoja ya msingi kabisa kwamba Mungu hayupo ni kwamba dhana (dhana, sikitu chochote kinachoonekana) ya kuwepo kwake, inajipinga yenyewe.
Dhana ya kuwepo Mungu ina contradiction.
Unaelewa hilo jambo?
1. Wanaosema Mungu yupo, wanasema Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.Unaweza kuniambia sababu zinazokufanya usema hayupo
Welcome back mkuu Kiranga!!!1. Wanaosema Mungu yupo, wanasema Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
2. Mungu huyo wa (1) hapo juu,alikuwa na uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao hauna dhambi, mabaya wala majanga ya asili yanayoua na kutaabisha wengi.
3. Mungu huyo wa hapo juu, hana sababu ya kimantiki ya kuumba ulimwengu ambao mabaya, dhambi, majanga ya asili yanawezekana kuwepo.
4. Ulimwengu huu umejaa mabaya, dhambi na majanga ya asili.
5. Ulimwengu huu haujaumbwa na Mungu huyo.
6. Mungu huyo angekuwepo, upendo wake mkuu usingeruhusu mabaya, dhambi na majanga ya asili yawezekane kwenye ulimwengu wowote aliouumba.
7. Ulimwengu huu una mabaya, dhambi na majanga ya asili lukuki.
8. Hivyo, Mungu huyo hayupo. Ni hadithi ya kutungwa tu.
Kimantiki, hii inaitwa "proof by contradiction"
Proof by contradiction - Wikipedia