Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hujajibu swali langu.Pole ndugu unapotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali langu.Pole ndugu unapotea
Kuwepo kwa maovu duniani hakuonyeshi kuwa Mungu hayupo.Hujajibu swali langu.
Kuna watu hawaamini Mungu yupo na hawataki kuwafanyia wengine mabaya.Kwa yoyote ambae anajifanya hataki kuamini uwepo wa mungu basi na afanye haya pale anapokerwa muue yoyote anae kukera kwasababu mungu wa kukuadhibu hayupo, tembea na mtoto wako ulie mzaa unapopatwa na matamanio kwasbb hutapata dhambi hakuna mungu wa kukua dhibu, hata mzazi wako muombe uchi kwasbb hakuna mungu atakae kupa dhambi ya kukuadhibu, fanya liwatwi lakini kama haitoshi dhulumu watu ua watu fanya baya lolote utakalo kwasbb hakuna dhambi wala hakuna mungu wa kuhukumu mabaya, lkn ikiwa huwezi kufanya haya basi usifikiri kwa kutumia mshipa wa mavi
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, uoendo wote, kama mnavyomsema, kama yupo, pale alipoanza kuumba ulimwengu, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi yanayoua kwa kuzuka hai watoto wachanga hayawezekani kuwepo katika ulimwengu wake.Kuwepo kwa maovu duniani hakuonyeshi kuwa Mungu hayupo.
Hujanijibu swali langu kwanza, je unaamini kuwa dunia iliumbwa na Mwenyezi Mungu?Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, uoendo wote, kama mnavyomsema, kama yupo, pale alipoanza kuumba ulimwengu, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi yanayoua kwa kuzuka hai watoto wachanga hayawezekani kuwepo katika ulimwengu wake.
Hapa usiseme habari za shetani, dhambi etc. Hayo yote ni mambo ambayo, kwa mujibu wenu, yamekuja baadaye. Mwanzo Mungu alikuwa na uamuzi yawepo au yasiwepo.
Hakuumba ulimwengu huo ambao matetemeko hayo hayawezekani.
Ilikuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaoruhusu matetemeko haya, wakati alikuwa na upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao matetemeko haya hayawezekani?
Hujajibu swali hili.
Kwa nini niamini hivyo? Kwa nini nithamini kuamini katika ulimwengu unaotaka kujua?Hujanijibu swali langu kwanza, je unaamini kuwa dunia iliumbwa na Mwenyezi Mungu?
Kwanini iwe vile utakavyo wewe?Kwa nini niamini hivyo? Kwa nini nithamini kuamini katika ulimwengu unaotaka kujua?
Kwa nini niamini contradiction?
Kwa nini niamini kuna pembetatu yenye pembe sita
Sijaongelea chochote kuhusu nitakavyo mimi.Kwanini iwe vile utakavyo wewe?
Bila shaka wewe sio binadamu ni agent wa shetani.Sijaongelea chochote kuhusu nitakavyo mimi.
Nimeongelea logical consistency.
Non self contradicting.
Dhana ya Mungu isiyojipinga yenyewe.
Unaelewa naongelea nini?
Nakwambia dhana ya Mungubwenu kuwepo inajipinga yenyewe kabla sijaipinga.
Wewe unasema nataka ninavyotaka mimi.
Huelewi contradictiin ni nini. Huelewi logical consistency ni nini.
Huelewi hata wewe unavyouliza unatymia logical consistency, otherwise kusingekuwa na swali.
Ndiyo maana kuekewana vigumu.
Unaelewa contradiction ni nini? Unaelewa logical consistency ni nini?
Rafiki yangu kiranga sasa umewezaje kutambua mema na mabayaKuna watu hawaamini Mungu yupo na hawataki kuwafanyia wengine mabaya.
Ukiwa unaogopa kufanya mabaya kwa kumuogooa Mungu, wewe wema wako unatokana na uoga. Huna wema wa asiki ya kwaki mwenyewe.
Ukifanya wema wakati unajua hakuna Mungu, mbingu wala pepo, umefanya wema kwa kutaka tu kwa sababu wewe mtu una akiki unapenda mema, wema wako nibwa asiki kwaki mwenyewe.
Anayefanya wema kwa kumuogooa Mungu na kutaka pepo anafabya wema wa biashara. Anafanya wema iki apate faida ya kuoata pepo na kuepuka moto.
Anayefanya wema huku anajua hakuna Mungu, pepo wala mbingu, anafanya mema kwa asiki yake.
Niko na waamini Mungu kibao katika kundi moja. Mwenzetu aneunwa moaka anataka kufa. Watu wanajibalaguza. Mimi nisiyeamini Mungu nikawa wa kwanza kutoa msaada.
Wanaoamini Mungu wamebaki kuwa wanaamini kwa jina tu.
Mtu asiyeamini Mungu ndiye katikea kufanya kama anayeamini Mungu.
Kwa hiyo usikariri tu kwamba kutoamini Mungu ni kufanya mabaya na kuaminu Mungu ni kufanya mazuri.
Mimi kutoamini Mungu kunanichochea kufanya mazuri zaidi.
N8ngeamini Mungu ningeweza kukuta mtu anaumwa anataka kufa nijasema ni jazi ya Mungu, tumuimbee tu. Nikasepa. Au nijasema huyu Mungu anamuadhibu.
Lakini sasa hivi siamini Mungu nikiona mtu anaumwa, nasema hakuna Mungu wa kumsaidia. Ni wajibu wangu mtu mwenzake nimsaidie maana hakuna Mungu.
Sasa nambie brother kama mtu ataamua kutembea na mzazi wake akatembea na wanawe hakuna dhambi yoyoye hapo maana mungu wakuandika dhambi hayupo au unasemajeRafiki yangu kiranga sasa umewezaje kutambua mema na mabaya
kwanin alipe kisasi,kwani asipolipa kisasi yeye inampunguzia nin?Mjomba nimekosoma ila mungu alivyo sivyo tunavyo mfikiria, mungu yuko tafauti na maumbile na matendo tunayo yafanya kilichopo duniani ni mtihani tu anayaona yote tuyafanyayo ameweka pazia ila ipo siku atatukushanya wote atulipe kwa mujibu wa matendo yetu
we jamaa una uwezo mdogo sana wa kufikiri aseeKwa yoyote ambae anajifanya hataki kuamini uwepo wa mungu basi na afanye haya pale anapokerwa muue yoyote anae kukera kwasababu mungu wa kukuadhibu hayupo, tembea na mtoto wako ulie mzaa unapopatwa na matamanio kwasbb hutapata dhambi hakuna mungu wa kukua dhibu, hata mzazi wako muombe uchi kwasbb hakuna mungu atakae kupa dhambi ya kukuadhibu, fanya liwatwi lakini kama haitoshi dhulumu watu ua watu fanya baya lolote utakalo kwasbb hakuna dhambi wala hakuna mungu wa kuhukumu mabaya, lkn ikiwa huwezi kufanya haya basi usifikiri kwa kutumia mshipa wa mavi
Na ndiyo maana haya mabishano huwa hayana mwisho kwa sababu kama hizo,hauoni sababu ya kuamini au tuseme hautaki kuamini ila hapo hapo unajadili suala la uwepo wa mungu. Ni sawa na kutaka kuongea na mtu ila umezipa masikio usisikie.Kwa nini niamini hivyo? Kwa nini nithamini kuamini katika ulimwengu unaotaka kujua?
Kwa nini niamini contradiction?
Kwa nini niamini kuna pembetatu yenye pembe sita?
Hujaondoa contradiction katika idea ya kuwepo kwa Mungu wako.
Mengine ni kwa mantiki na utu bora tu.Rafiki yangu kiranga sasa umewezaje kutambua mema na mabaya
Dhambi ni nini?Sasa nambie brother kama mtu ataamua kutembea na mzazi wake akatembea na wanawe hakuna dhambi yoyoye hapo maana mungu wakuandika dhambi hayupo au unasemaje
Sitaki kuamini. Nataka kujua. Kwa muktadha wa mantiki isiyojipinga yenyewe.Na ndiyo maana haya mabishano huwa hayana mwisho kwa sababu kama hizo,hauoni sababu ya kuamini au tuseme hautaki kuamini ila hapo hapo unajadili suala la uwepo wa mungu. Ni sawa na kutaka kuongea na mtu ila umezipa masikio usisikie.
Ikiwa hauoni umuhimu wa kuamini sijui ni vp mtu atakueleza imani ya uwepo wa mungu na mkaelewana?
Na hauwezi kuamini usilolijua,kinachoendelea hapa ni kwamba watu wanajaribu kukujuza kuhusiana na imani ya uwepo wa mungu ila wewe unasema hautaki kuamini.Sitaki kuamini. Nataka kujua. Kwa muktadha wa mantiki isiyojipinga yenyewe.
Mungu wenu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote nibwa uongo.
Kwa sababu dhana ya kuwepo kwake, inajipinga yenyewe (self contradicting).
Kumuamini Mungu huyu nibsawa na kuamini uwepo wa "pembetatu yenye pembe sita".
Definition ya hiyo pembe tatu unatuhakikishia kwamba pembetatu hiyo yenye pembe sita haiwezi kuwepo.
Kwa sababu dhanabyabkuwepo kwake inajipinga yenyewe.
Jambo hili nibwazi kama hivyo.
Unaamini pembe tatu yenye oembe sita, katika one dimensional Euclidean planes, ipo?
Brother ukijitahidi unaweza kua mwanasiasa maana una maneno mengi, brother hoja ya mashekh na makasisi kufanya matendo mabaya ni udhaifu wa kibinaadam kama wafanyavyo binaadam wengine kwasbb na wao wanamatamanio hoja yangu brother no ndogo tu hivi mtu alie ishi kwa kuua na kuwafanyia wenziwe ukatili hana malipo yoyote? Umbake mzazi wako mwanao pia huna malipo yoyote kwa vile mungu hayupo kweli akili yako inaamini ni nothing hakuna lolote wala malipo kwa mtu huyuDhambi ni nini?
Mbona mimi nisiyeamini Mungu naona hayo mambo mabaya na kuna Makasisi wa Kikatoliki ma Mashehe wamewafanyia waumini wao ushenzi?
Unaelewa kwamba inawezekana akawepo mtu ambaye haamini Mungu akaikataa hiyo mnayoiita dhambi kuliko hao wanaosema wanaamini Mungu? Kwa kutaka yeye mwenyewe tu, bila ya sababu ya kutaka pepo au kumuogopa Mungu na moto?
Kwangu mimi, mtu anayetenda mema na kukataa mabaya huku haamini Mungu anakuwa amepevuka kimaadili kwa kiwango cha juu sana kuliko yule anayetenda mema na kukataa mabaya kwa sababu ya tamaa ya kwenda peponi na kuogopa moto wa Mungu.
Anayetenda mema bila kumuamini Mungu anaweza kutenda mema bila ya sababu za ubinafsi, kwa utubora tu.
Anayetenda mema kwa tamaa ya pepo na kumuogooa Mungu na moto wake mara zote anakuwa na aina ya ubinafsi. Hatujui akipata uhakika Mungu hayupo na moto haupo valangati lake litakuwaje. Huu umekuwa msingi mkubwa wa watu wanaojua Mungu hayupo lakini ni wasomi wa falsafa na viongozi -wapo wengi sana hawa katika uongozi wa dini na serikali- kutetea habari za Mungu na dini, kwa msingi wa kwamba hata kama si za kweli, zinasaidia kuweka utulivu katika jamii. Mimi naikataa hoja hii kwa sababu utulivu uliojengwa katika uongo si utulivu wa kweli. Ni ulaghai. Kufanya hivi ni kutukana uwezo wa watu wa kufikiri, kwamba watu wanahitaji kulelewa na kuamuliwa kama watoto, hawana uwezo wa kufanya mema bila kutiwa woga wa moto na ahadi za pepo. Kadiri dunia inavyopata elimu zaidi, watu wanaondoka kwenye misingi hii.
Brother ukijitahidi unaweza kua mwanasiasa maana una maneno mengi,
brother hoja ya mashekh na makasisi kufanya matendo mabaya ni udhaifu wa kibinaadam kama wafanyavyo binaadam wengine kwasbb na wao wanamatamanio
hoja yangu brother no ndogo tu hivi mtu alie ishi kwa kuua na kuwafanyia wenziwe ukatili hana malipo yoyote?
Umbake mzazi wako mwanao pia huna malipo yoyote kwa vile mungu hayupo kweli akili yako inaamini ni nothing hakuna lolote wala malipo kwa mtu huyu