Je! Mungu ni yule yule?

Hatuwezi kujadiliana kama hutaki kujibu maswali.

Nitakuelewa vipi kama maswali yangu hutaki kujibu?
 
Tatizo ni kwamba hautaki kusikia kuamini(imani) ila unajadili suala la imani ya uwepo wa mungu. Hata patolewe maelezo ya aina gani ila mwisho utataka upewe uthibitisho usio na shaka wa kuwa mungu yupo.

Na hapo ndipo hii mijadala inapokwama.
Mbona unanywea sasa naziona point zako nyepesi sana kwa kiranga huyu jamaa humwezi ndio unazidi kupotea kwa huyu mungu hata mimi sikubali mungu wa kugeukageuka

al baqara 34 na tulipowaambia malaika wamsujudie Adam wote walimsujudia isipokuwa ibilis yeye alikataa akawa katika makafiri

Hapa mungu alijikanganya maana anasema yeye ndie pekee mwenye kuabudiwa kusujudiwa ilkuwaje tena akawaambia malaika wamsujudie Adam?

Hatuwezi kujadiliana kama hutaki kujibu maswali.

Nitakuelewa vipi kama maswali yangu hutaki kujibu?
Na ndiyo maana hii mijadala huwa haishi na hakupatikani muafaka kwa sababu kama hizi,naona umejikita kutaka nikujibu tu maswali hata kama hayana mchango na tunachojadili.

Nimekupa nafasi ya kueleza ni wapi na kipi nilichochanganya ila umeng'ang'ana tu kuwa sijakujibu maswali yako.
 
Umejiridhisha vipi kwamba maswalihayanamchango na tunachojadili?

Ina maana mimi nisipokuelewa wewe, nikataka kukuelewa ili tujadiliane vizuri, kutaka kukuelewa kwangu iliniwezekujadiliana nawe vizuri hakuna mchango katika tunachojadili?

Kumbukahatuonani sura walakusikizana sauti, tunasomana maandishi tu.

Ni rahisi sana kufikiri umemuelewa mtu wakati hujamuelewa.

Ni rahisi sana kufikiri swali halina mchango na tunachojadili wakati lina mchango.
 
Unaona nanywea kwa sababu sipo hapa kushindana na mtu kwa kuoneshana nani mbishi kuliko mwenzie,kwahiyo hiyo hiyo sifa ya ubishi aliyonayo Kiranga hata sishughliki nayo na ndiyo maana sioni tabu kuonekana nimenywea.
 
Ndiyo maana nikakuomba unieleze ni wapi nilipochanya maana naweza kuwa nilichanganya kwa kuwa sikukuelewa,ila kila nikikueleza hili hautaki kunielewa na kulazimisha nijibu maswali yako.
 
Ndiyo maana nikakuomba unieleze ni wapi nilipochanya maana naweza kuwa nilichanganya kwa kuwa sikukuelewa,ila kila nikikueleza hili hautaki kunielewa na kulazimisha nijibu maswali yako.
Na mimi nilikuuliza hayo maswalitangu awali,wewe hutaki kujibu yangu, unataka mimi nikujibu wewe tu.

Hatuwezi kujadiliana.
 
Unaona nanywea kwa sababu sipo hapa kushindana na mtu kwa kuoneshana nani mbishi kuliko mwenzie,kwahiyo hiyo hiyo sifa ya ubishi aliyonayo Kiranga hata sishughliki nayo na ndiyo maana sioni tabu kuonekana nimenywea.
Hapa hatubishani ni point zako tu zitaonyesha kwamba we thinker na sio porojo
 
Na mimi nilikuuliza hayo maswalitangu awali,wewe hutaki kujibu yangu, unataka mimi nikujibu wewe tu.

Hatuwezi kujadiliana.
Unaona sasa!

Yani wewe umejikita kwenye kuulizana maswali na si kujadiliana,yani mie kukuomba unioneshe nilipochanganya kwa sababu pengine sikukuelewa ila wewe umechukulia kuwa nakuuliza maswali tu wewe halafu mie sitaki kukujibu yako.

Nadhani ungekuwa na nia ya kujadiliana na si ubishi basi ungeokoa muda kwa kueleza ni wapi nilipokosea tukasahishana na kusonga mbele.
 
He mpaka vifungu vya qurani mnatuma kumbe nimeachwa sana
 
Hakuna kujadiliana bila kuulizana maswali.

Na ukikataa kujibu maswali, umekataa kujadiliana.

Wengine mijadala yetu inaenda kwa Socratic method.

Unaijua Socratic method?
 
Hakuna kujadiliana bila kuulizana maswali.

Na ukikataa kujibu maswali, umekataa kujadiliana.

Wengine mijadala yetu inaenda kwa Socratic method.

Unaijua Socratic method?
Kijana hebu nijuze namie socratic method
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…