Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Kwa hiyo wewe umefikiria ukahitimisha kwamba hayupo...?! Jibu la swali uliloniuliza hapo juu jibu ni NDIO...Kama umeshindwa kuviweka hapa kwenye hiyo simu yangu ndo utaweza?
Kwanini uone kuwa ni hitimisho kama sio mwisho wako wa kufikiria? Thibitisha tu mkuu hadithi hazitakusaidia chochote
Sasa unataka nikuthibitishie kwa namna gani...?! Kwa kutumia keyboard..?!