Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Mi hata sijui labda ni jinsi tunavyo amini uwepo wa hii nguvu ya uumbaji. Naamini sikutokea tu kama kiumbe ila nina connection na nguvu ya kitu nje na ndani yangu. sijui ndio Mungu.
Umekuwa mkweli sana. Kwa hilo nakuheshimu sana.

Wengine nao hawajui kaamaa wewe tu, Ila anaweza hata kuua ukimwambia kwamba hawajui wanalazimishaa tu mungu awepo.

Ukijielimisha kidogo tu utagundua huyo mungu aliyeandikwa kwenye vitabu hayupo.
 
Ulivyomuona Nyerere alisemaje?

Unajuaje huna matatizo ya akili yanayokupa hallucinations?

Hujathibitisha mungu yupo.
Ukifikia hatua niliyopo, ni lazima utapata majina mengi; Hata Yesu aliambiwa yeye ni " Demon possessed man" .. Wengine walimdharau, .. Wengine walimuita Nabii , licha ya wao kuwanazo taarifa zake mapema kabla hata hajaonekana machoni mwao.

Hata baada ya kuja, aliwathibishia watu mambo mengi sana mpaka wakamuua, na akawaprove tena wrong baada ya kufufuka kama alivyokuwa akiwaambia kabla ya kifo chake ( 2000 yrs back)

Mfano; Nilikuwa sina documents kamilifu za kuniwezesha Mimi kupita airport yeyote, but kwa Uelewa wa Mungu huyu na matendo yake; Niliweza kupita kwenye airport moja yenye ulinzi mkali bila kukaguliwa nyaraka zangu. Kwahiyo usithubutu kusema hii ni bahati, waweza kujaribu pia kama unaweza!
 
Kuna muuza maadawa ya kulevya mmoja naye aliwahi kupita uwanja wa ndege bila documents, hilo halithibitishi mungu yupo, linathibitisha alikuwa mjanja kwenye hilo.

Hujathibitisha mungu yupo.
 
Kabla ya kwenda mbali, thibitisha kwamba mungu yupo.
Kiranga Mwanangu, Cha kwanza Kukuthibitishia Mungu Yupo ni Uhai Ulio nao. Pili Hata Mapepo Wanamthibitisha Mungu Kwamba Yupo Au Huoni Kama Hujaona Kawaulize Wachawi Watakusimulia Yesu ni Nani.

Usiwe Mbishi Bila Kufanya Utafiti, Hatakama Unapinga Kitu ni Vyema Ukafanya Uchunguzi Bila Kupinga Kwanza.

Ambao Awaamini Uwepo wa Mungu. Ni Mapagani Ambao Shetani Amewapofusha Fahamu Zao Wasimtafute Mungu Wa Kweli, Bali wayaendee Makaburi, na Mizimu.

Kwa Akilitu ya Mtoto Mdogo Atatambua Kwamba Hayo Makaburi, na Mizimu Ndiyo miungu yake, Soma (Warumi 1:18-32)

Mungu Akufungue Upate Kujua Ukweli, kwani Yesu Alikufa Kwa Ajili Yako ili Usipotee.

Kama katika Familia yako wana Historia ya Mizimu Yenu na Wanaifanyia Ibada ili iwape Nguvu ya Kutunza familia yako.

Si Zaidi Sana Sisi Tulio Usikia Ushuhuda wa Mungu wa Kweli Katika Kristo Yesu Mwokozi Wetu?

Ambaye Tumesikia na Kumwamini na Kuishi Ndani Yetu? Huku Akijidhiirisha Kwa Ishara na Maajabu katika Maisha yetu?

Biblia Inasema Imani Huja kwa Kusikia Kunakotokana na Neno la Mungu (Warumi 10:17)

ikiwa wewe umesikia kwamba Hakuna Mungu, Basi Sisi Tumesikia Kwamba Yupo Mungu na Tumeamini na Kumwona Akitembea na Sisi.

Kimsingi Haulazimishwi kumwamini Mungu Maana Hata shetani Hata Chomwa Peke yake,Anatafuta wakuchomwa naye Ndiyo Maana Anaitwa Audanganyaye Ulimwengu Kwamba Mungu Hayupo.

Huku Akiwafanya wale wanaopinga Uwepo Wa Mungu. Kumwabudu Yeye bila wao Kujijua.
 
Kuna muuza maadawa ya kulevya mmoja naye aliwahi kupita uwanja wa ndege bila documents, hilo halithibitishi mungu yupo, linathibitisha alikuwa mjanja.

Hujathibitisha mungu yupo.
Sijawahi kuugua kwa zaidi ya miaka 20, siijui hata panado inanaje kwasasa. Ninao uwezo wa nguvu za Mungu wa kukaa sehemu yeyote hatari pasipo kuugua.

Nimewahi kuchangia damu na MTU mwenye UKIMWI , kwa kujiwekea damu yake kwenye Mwili wangu pasipo kupata maradhi hayo. Kiufupi, nina amini , hakuna gonjwa lolote linaloweza kuushika mwili wangu. I have a glorious body , not the Lowly body.

Mfano; Nilikua nchi flani ya Magaidi; sikuwa na kitambulisho , nilipata taabu sana kusafiri kwani nchi ile ni sharti kutembea na kitambulisho; Kwa nguvu za Mungu, wakati wa ukaguzi wa vitambulisho , nilikuwa nikiona kama sinema , watu wengine kukaguliwa ili hali Mimi nikiachwa.
Haya yote ni kweli
 
Hayo yote hayathibitishi kwamba mungu yupo.

Mathalani, kuna watu wana kinga ya asili dhidi ya HIV.
 
OK. Wakati nazaliwa, ulikuwa USIKU mida ya saa Saba mpaka saa tisa USIKU. Mama anasema, siku hiyo alikua peke yake ndani, uchungu mkubwa ukampata, akanywa maji yaliyokorogwa na chumvi , akasukuma mtoto (Mimi),

Anasema, alishanga kuona nimetoka na chupa ya uzazi kama kazaa mnyama; Akawa anaogopa kuniona nimo ndani ya chupa;

Akachukua kiwembe na kukata sehemu ya chupa, nikatoka. Lakini bado shingo yangu ilikua imeviringwa mara tatu na kondo la uzazi.

Bila shaka hii pia itakuwa ni suala la bahati kwako. Kwa upande wangu, niliamua kujinyenyekeza kwa Mungu na kuachana na yote maovu ili niweze kuelewa njia zake. Sasa I fully ( without a doubt) understand who I am in Christ Jesus. Naelewa vitu vingi sana. Situmii macho kutizama vitu, natumia masikioni.

Mungu yupo. Yesu yupo. Ufalme wa Mungu upo. Kama muda wako wa kuelewa Haya haujafika , please do not force it or be a stumbling block to others. Let your doubts bring you closer to God , not away from Him.

Asante!
 
Na kwa nini wewe unayeamini na kuhubiri mungu asiyepo usiwe stumbling block for others wanaotaka kujinasua kutoka utumwa wa imani potofu?
 
Hujathibitisha mungu yupo.
Je , umewahi kujiuliza kwanini watu wengine kabla ya kifo chao wanao uwezo wa kuita watu / Ndugu na kuongea nao , then ndio wanakufa? ( wanao pia uwezo wa kumsubiri hata MTU akiwa mbali)

Je umewahi kujiuliza hiyo pumzi asili yake ni wapi?

Umewahi kujiuliza kwanini ni vigumu sana kwa MTU muovu kusoma Biblia hata nusu page, lakini ukimpa magazeti 30 anao uwezo wa kuyamaliza?

Je una amini kwamba shetani yupo? Una amini kwamba hapo ulipo unaishi chini ya maji kama samaki?

Je una elewa siri iliyopo katika kuzaliwa , kuoa na kufa?

Je umewahi kuushughulisha mwili wako kutafuta, MTU akifa huwa pumzi yake inaenda wapi? Mbona unaweza sana kujishughulisha kwenda kwa waganga na kutafuta wanawake?

Kwanini usitafute ukweli ukawa huru? Nina Amini, mpaka hapo ulipo hauna ukweli wowote; Unaishi tu bila kujielewa; Unashindwa hata na nyumbu , ambae anaelewa nyakati au hata na ndege anaye elewa kiota chake kilipo hata akienda sehemu ya ugenini.

Na Je, umewahi kujiuliza kuhusu moto wa jehanamu? Na paradiso?
 
Idea ya kuwepo kwa mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu inajipinga yenyewe kabla sijaipinga.

Mungu wenu hayupo, kama pembetatu duara.
 
Kiranga ; Kwa Mamlaka ya Yesu Kristo niliyonayo, Nina amrisha Utukufu wa Mungu na nguvu zake, zikatawale juu ya maisha yako , ndani ya siku 7 kuanzia sasa - mara baada ya kusoma ujumbe huu , ili uweze kuwa shuhuda wa watu wengine kuhusu kuwepo kwake. Katika Jina La Yesu. Thank you Lord! Thank you Jesus Christ! Thank you Holy Spirit! May your will be done to this person O'God, for your Glory O'Lord God Almighty! Amen
 
Unaweza thibitisha kuwa hizo hadithi zimetungwa na watu?
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ameumbaje ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Kuthibitisha ni hivyo vitabu vilivyojaa kujikanganya vyenyewe.

Mungu mara ana upendeleo na kuchagua taifa lake teule.

Mara mungu anakasirika na kuua watu aliowaumba yeye mwenyewe na kuwapa mipaka ya kufikiri yeye mwenyeee.

Mara mungu anaunguza watu moto.

Mara mungu anawahukumu watu vizazi na vizazi kwa kosa ambalo hata lilipofanyika walikuwa hawajazaliwa.

Ujinga kama huu hata kwa sheria za kibinadamu tu hauruhusiwi. Sheria za Tanzania haziruhusu mtu kuhukumiwa kwa kosa la mzazi, imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aruhusu ujinga huu?
 
Kiranga ; Kwa Mamlaka ya Yesu Kristo niliyonayo, Nina amrisha Utukufu wa Mungu na nguvu zake, zikatawale juu ya maisha yako , ndani ya siku 7 kuanzia sasa - mara baada ya kusoma ujumbe huu , ili uweze kuwa shuhuda wa watu wengine kuhusu kuwepo kwake. Katika Jina La Yesu. Thank you Lord! Thank you Jesus Christ! Thank you Holy Spirit! May your will be done to this person O'God, for your Glory O'Lord God Almighty! Amen
Huwezi kulazimisha uongo kuwa ukweli.

Siku saba zikiisha na bado sijawa shuhuda wa mungu wako hilo limaanishe nini? Limaanishe mungu wako hayupo?
 
Ukisema mimi kusema mungu hayupo ni hadithi, hujakanusha kwamba kusema mungu yupo ni hadithi.

Ukisema mimi nimeiba, hujakanusha habari kwamba wewe umeiba.

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Tatizo umezoea kujadili mada kwa njia ulizozizoea tu.

Hili neno la kukanusha umelileta wewe mwenyewe,labda nikuulize tofauti ya kukanusha,kukataa na kuthibitisha?
 
Kabla ya yote, kubali hujathibitisha mungu yupo.
 
Tatizo wamejengewa hofu,
Mtu anaweza hata kipigana ukimwambia anachokiamini hakipo, na wakati huo huo ukimwambia athibitishe uwepo wa huyo Mungu hawezi[emoji23]
Ikiwa hao watu hawawezi kuthibitisha je,ni kipi kinachokufanya wewe uwe na uhakika wa kuona wenye kusema kuwa kuna kuna mungu hawako sahihi bali ni hofu tu?
 
Lakini wengi tu tulilelewa katika misingi hiyo ya dini, ila baada ya kukuwa na kupata elimu mbali mbali tuliruhusu akili zetu kujifunza.

Sasa wao wanasema heri uamini usimkute kuliko kutokuamini kisha akawepo. Hii ni zaidi ya cognitive dissonance
Hivyo unataka kusema wenye kuamini mungu ni wale wasio na elimu mbalimbali kama wewe?unajua kama ukanaji uwepo wa mungu ulikuwepo toka enzi za ujinga, usifikiri ni suala lililo ibuka juzijuzi.
 
Back
Top Bottom