Kabla ya kwenda mbali, thibitisha kwamba mungu yupo.
Kiranga Mwanangu, Cha kwanza Kukuthibitishia Mungu Yupo ni Uhai Ulio nao. Pili Hata Mapepo Wanamthibitisha Mungu Kwamba Yupo Au Huoni Kama Hujaona Kawaulize Wachawi Watakusimulia Yesu ni Nani.
Usiwe Mbishi Bila Kufanya Utafiti, Hatakama Unapinga Kitu ni Vyema Ukafanya Uchunguzi Bila Kupinga Kwanza.
Ambao Awaamini Uwepo wa Mungu. Ni Mapagani Ambao Shetani Amewapofusha Fahamu Zao Wasimtafute Mungu Wa Kweli, Bali wayaendee Makaburi, na Mizimu.
Kwa Akilitu ya Mtoto Mdogo Atatambua Kwamba Hayo Makaburi, na Mizimu Ndiyo miungu yake, Soma (Warumi 1:18-32)
Mungu Akufungue Upate Kujua Ukweli, kwani Yesu Alikufa Kwa Ajili Yako ili Usipotee.
Kama katika Familia yako wana Historia ya Mizimu Yenu na Wanaifanyia Ibada ili iwape Nguvu ya Kutunza familia yako.
Si Zaidi Sana Sisi Tulio Usikia Ushuhuda wa Mungu wa Kweli Katika Kristo Yesu Mwokozi Wetu?
Ambaye Tumesikia na Kumwamini na Kuishi Ndani Yetu? Huku Akijidhiirisha Kwa Ishara na Maajabu katika Maisha yetu?
Biblia Inasema Imani Huja kwa Kusikia Kunakotokana na Neno la Mungu (Warumi 10:17)
ikiwa wewe umesikia kwamba Hakuna Mungu, Basi Sisi Tumesikia Kwamba Yupo Mungu na Tumeamini na Kumwona Akitembea na Sisi.
Kimsingi Haulazimishwi kumwamini Mungu Maana Hata shetani Hata Chomwa Peke yake,Anatafuta wakuchomwa naye Ndiyo Maana Anaitwa Audanganyaye Ulimwengu Kwamba Mungu Hayupo.
Huku Akiwafanya wale wanaopinga Uwepo Wa Mungu. Kumwabudu Yeye bila wao Kujijua.