Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unajuaje kwamba mungu yupo na haonekani na si kwamba hayupo katungwa kwenye hadithi kama Willy Gamba tu na waliomtunga wamesema haonekani?Kutokuwepo kwake ni aje...?! Wewe unadhani Mungu yupo zizini anaonekana kama wanayama basi usipomuona unasema hayupo...?!
Unazijua sifa za Mungu...?! Sifa yake moja haonekani, halafu yupo mahali pote lakini ni "invisible" yaani unahisi uwepo wake tu...
Kitu kingine imani huwa haiendani na "logic"...
Kama imani haiendani na logic, utajuaje kama unavyoamini ni ukweli au uongo?
After all, process ya kujua kitu ni cha ukweli au uongo ni logical, si ya kuishia kwenye imani tu.