Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unajuaje Huyo aliyeandikwa kuwa mtoto wa mungu ni mtoto wake na si tapeli tu?Najua yupo sababu alishakuja Duniani... mtoto wake... imeandikwa namna hiyo, labda uniambie hizo habari ni za uongo...
Mungu amepataje mtoto?
Imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?