Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Najua yupo sababu alishakuja Duniani... mtoto wake... imeandikwa namna hiyo, labda uniambie hizo habari ni za uongo...
Unajuaje Huyo aliyeandikwa kuwa mtoto wa mungu ni mtoto wake na si tapeli tu?

Mungu amepataje mtoto?

Imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Yule ni God Incarnate alilifufuka akapaa...

Halafu mabaya na mema hiyo ni tafsri yako tu, hicho ni kitu kimoja katika pande mbili ni sawa na shilingi ni moja lakini ina pande mbili...

Nikirudi katika yin and yang ni katika kubalance, ndio maana kuna kulia na kushoto, juu na chini, mbele na nyuma, mwanga na giza ni katika ku balance...

Sasa usishindane na kanuni za maumbile, mwingine mwenye akili kama yako anaweza akaja kuniuliza hivi kwanini Mungu kaumba mikono miwili, miguu miwili, macho mawili, kwanini asingefanya moja moja tu...

Pia kutokana na akili ku viweka vitu kwa makundi, hayo unayoyaita mema ndio yamepelekea mabaya, bila kuwepo mema usingerejea mabaya, kwa mfano nikikuuliza mema niaje utaniambia ni kutokuwepo kwa mabaya, yaani ili kimoja kiweze kuwepo inategemea kingine...

Unatakiwa usimame katikati na sio kutoa tafsiri kutokana na akili yako...
 
Narudia kukwambia, nimekuthibishia Mungu yupo, tatizo lake wewe ni kipofu; huelewi ninachoandika.

Hata nikikuthibitishia kwa vitendo , bado hautaweza kuamini. Mimi ni shuhuda wa mambo mengi ya ufalme wa Mungu.

1. Nimenusurika kufa mara nyingi sana lakini kwa nguvu za Mungu nipo salama. Labda Nitoe mfano mmoja, nilitekwa na Magaidi unaowasikia wanachinja watu , zaidi ya mara 2

2. Nimewahi kumuona Yesu Kristu mara tatu. Na kila siku namuona kwa kupitia visions. Ninazo taarifa nyingi sana za Ufalme wa Mungu ambazo ni ngeni masikioni mwa watu.

3. Nimewahi kumuona MWALIMU NYERERE mara moja baada ya kifo chake (2015) ; Ninaelewa vitu vingi sana kuhusu Taifa hili na siri zake ambavyo ni vigeni masikioni mwa watu. Na ni vya ukweli mtupu.

Kiufupi, I am the genuine witness of the Kingdom of God. His time is my time.
hapo hujathibitisha kitu bado, unasema umeona kitu ambacho mtu hawezi thibitisha ni kweli au sio kweli
 
Yule ni God Incarnate alilifufuka akapaa...

Halafu mabaya na mema hiyo ni tafsri yako tu, hicho ni kitu kimoja katika pande mbili ni sawa na shilingi ni moja lakini ina pande mbili...

Nikirudi katika yin and yang ni katika kubalance, ndio maana kuna kulia na kushoto, juu na chini, mbele na nyuma, mwanga na giza ni katika ku balance...

Sasa usishindane na kanuni za maumbile, mwingine mwenye akili kama yako anaweza akaja kuniuliza hivi kwanini Mungu kaumba mikono miwili, miguu miwili, macho mawili, kwanini asingefanya moja moja tu...

Pia kutokana na akili ku viweka vitu kwa makundi, hayo unayoyaita mema ndio yamepelekea mabaya, bila kuwepo mema usingerejea mabaya, kwa mfano nikikuuliza mema niaje utaniambia ni kutokuwepo kwa mabaya, yaani ili kimoja kiweze kuwepo inategemea kingine...

Unatakiwa usimame katikati na sio kutoa tafsiri kutokana na akili yako...
Mabaya na mema ni tafsiri yangu tu, kama ni hivyo, kwa nini tunaambiwa tufanye mema na tusifanye mabaya?

Kwa nini tunaambiwa mungu ni mwema na shetani ni mbaya?

Kama hakuna tofauti kati ya mabaya na mema, yote ni pande mbili za shilingi ileile, mungu wako na shetani ni mmoja?

Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao una mema tu, mabaya hayawezekani?
 
Mnaambiwa na nani mfanye mema...?! Zile moral laws ulifundishwa...?! Unatakiwa uongozwe na dhamira...

Tena ipo hivi anayesema Mungu yupo na Mungu hayupo wote ni kitu kile kile ni shilingi moja katika pande mbili, sababu wote mnamtaja Mungu...

Hii ya Shetani ngojea nisiiongelee...
 
mpumbavu husema hakuna MUNGU,....Mungu yupo.
Hujathibitisha.

Mpumbavu wa kweli ni yule anayeogopa kuitwa mpumbavu kwa kusema mungu hayupo bila kuthibitisha kwamba mungu yupo.

Unajuaje kwamba kusema mungu hayupo ni upumbavu?

Kama walioandika biblia walitaka kujiwekea insurance ili kuwakamata wapumbavu wote ambao anaogopa kuitwa wapumbavu kuliko wanavyoogopa kuwa wapumbavu, magari huu umewashika wengine.

Sihofii kuitwa mpumbavu, nahofia kuwa mpumbavu.

Wewe huhofii kuwa mpumbavu, unahofia kuitwa mpumbavu.
 
Mabaya na mema ni tafsiri yangu tu, kama ni hivyo, kwa nini tunaambiwa tufanye mema na tusifanye mabaya?

Kwa nini tunaambiwa mungu ni mwema na shetani ni mbaya?

Kama hakuna tofauti kati ya mabaya na mema, yote ni pande mbili za shilingi ileile, mungu wako na shetani ni mmoja?

Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao una mema tu, mabaya hayawezekani?

Kudos!
Maswali ya msingi sana haya kwa hoja yake dhaifu..
Ukute huyu jamaa ni mchungaji na ana ufuasi mkubwa nyuma yake..
Ngoja aje kuleta siasa za dini badala ya majibu. Utachoka!

Afadhali ungebishana na waislamu kuliko hawa wazee wa kubadili maandiko kuridhisha nafsi zao..
Wanamfanya Mungu wao aonekane kigeugeu!
 
Najua yupo sababu alishakuja Duniani... mtoto wake... imeandikwa namna hiyo, labda uniambie hizo habari ni za uongo...
Again,you are begging the question

Kusema Mungu yupo kwasababu biblia imesema,

Ni sawa na kusema,mwizi hajaiba kwasababu yeye mwenyewe[mwizi] amesema hajaiba

Umeshatengeneza circular argument,na hilo ni kosa kimantiki.
 
Nikisoma Vitabu Vya Dini Hasa Biblia... Mungu wa Kuanzia Kitabu Cha Mwanzo Au Vitabu Vya Kale Ni Tofauti Sana kitabia na Mungu wa Agano Jipya.

Tabia za KiMungu Alizokuwa nazo Katika agano la Kale Nikilinganisha Na Agano jipya naona Tofauti Kubwa Sana

Mfano AGANO LA KALE
Mungu Alikuwa ni Wa Hasira Sana na Anayependa Sana Waumini wake Wafuate Sheria ... Kulikuwa na Sheria Za Kitakatifu Mfano Kujiosha Mwili... mavazi.. Kuhudumia Sehemu ya Kuabudia kwa usafi wa hali ya juu... kuvukisha Ubani... kujitawaza... n.k n.k

Sasa Nitapokuja Kusoma Agano jipya Mungu anakuwa Amebadilika Sana Hasa Katika Kuabudiwa.. .. Yale Mambo ya kale aliyotaka hayapo tena.. Je Mungu amebadilika Hataki Tena Ubani... Zawadi za kuteketezwa Alizosema zinamvutia?

Je Kuna Ubaya Gani Kutoa Sadaka Za hivyo.. kuna Ubaya Gani Kurudia Kule kwa Kale.. Kujisafisha Uendapo Kuabudu..... Kuwa Msafi Au kujitawaza kama kale...
Mkuu hizo ni riwaya tu, we tenda mema tu utaishi vema.
 
Mnaambiwa na nani mfanye mema...?! Zile moral laws ulifundishwa...?! Unatakiwa uongozwe na dhamira...

Tena ipo hivi anayesema Mungu yupo na Mungu hayupo wote ni kitu kile kile ni shilingi moja katika pande mbili, sababu wote mnamtaja Mungu...

Hii ya Shetani ngojea nisiiongelee...

Mnaambiwa na nani mfanye mema...?! Zile moral laws ulifundishwa...?! Unatakiwa uongozwe na dhamira...

Tena ipo hivi anayesema Mungu yupo na Mungu hayupo wote ni kitu kile kile ni shilingi moja katika pande mbili, sababu wote mnamtaja Mungu...

Hii ya Shetani ngojea nisiiongelee...
Kiranga si nilikuambia?
 
Kudos!
Maswali ya msingi sana haya kwa hoja yake dhaifu..
Ukute huyu jamaa ni mchungaji na ana ufuasi mkubwa nyuma yake..
Ngoja aje kuleta siasa za dini badala ya majibu. Utachoka!

Afadhali ungebishana na waislamu kuliko hawa wazee wa kubadili maandiko kuridhisha nafsi zao..
Wanamfanya Mungu wao aonekane kigeugeu!
Waislamu na Wakristo wote walewale tu.

Hawana tofauti kubwa kwangu.

Waislamu wanaotuambia mungu ameifanya mioyo ya wengine iwe migumu makusudi ili wasimjue halafu anawahukumu kwa kutomjua.

Mungu gani Huyo anakufanya usimjue hata ujaribu vipi, halafu anakuunguza moto kwa sababu hujamjua.

Huyo mungu auhadithi za enzi za ujinga tu?

Halafu watu wamuamini.
 
Again,you are begging the question

Kusema Mungu yupo kwasababu biblia imesema,

Ni sawa na kusema,mwizi hajaiba kwasababu yeye mwenyewe[mwizi] amesema hajaiba

Umeshatengeneza circural argument,na hilo ni kosa kimantiki.
Nimesema hivyo niwathibitishie kwa historia kutokana na mioyo yenu ilivyo mizito...

Kwa Sayansi na observation ndani ya maabara siwezi kuthibitisha...

Ni sawa na kumpima tembo kwa mzani wa dukani wa kupimia mchele...
 
Hata hapo bado haujathibitisha kihistoria

Unajua maana ya kuthibitisha kihistoria?
 
Waislamu na Wakristo wote walewale tu.

Hawana tofauti kubwa kwangu.

Waislamu wanaotuambia mungu ameifanya mioyo ya wengine iwe muhimu makusudi ili wasimjue halafu anawahukumu kwa kutomjua.

Mungu gani Huyo anakufanya usimjue hata ujaribu vipi, halafu anakuunguza moto kwa sababu hujamjua.

Huyo mungu auhadithi za enzi za ujinga tu?

Halafu watu wamuamini.

Kumbe we nawe bange!
Hayo umejifunza wapi? Au kwenye ile lodge yenu pale Posta? Halafu hata hujaeleweka vizuri. Kuifanya mioyo kuwa muhimu maana yake nini sasa?
Ovyoo!
 
Back
Top Bottom