Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
mkuu,endelea kulala!Kiranga we unataka kutufikirisha nje ya tulivyofundishwa na kuaminishwa. Unataka kutufarakanisha na nafsi zetu na imani zetu na jamii yote kwa ujumla. Tuache tuendelee kulala kwenye haka kausingizi katam ka Imani, Imani inatatua mambo mengi kwa urahisi sana. we fikiria tuanze kutafuta chanzo cha uumbaji saa hizi. nani aliumba nzi,nani aliumba mbu,nani aliumba mwezi.