Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Kiranga we unataka kutufikirisha nje ya tulivyofundishwa na kuaminishwa. Unataka kutufarakanisha na nafsi zetu na imani zetu na jamii yote kwa ujumla. Tuache tuendelee kulala kwenye haka kausingizi katam ka Imani, Imani inatatua mambo mengi kwa urahisi sana. we fikiria tuanze kutafuta chanzo cha uumbaji saa hizi. nani aliumba nzi,nani aliumba mbu,nani aliumba mwezi.
mkuu,endelea kulala!
 
Sasa kwa nini mungu badala ya kuwaacha waamue wenyewe au kuwasaidia wamjue, anawaziba mioyo, macho na masikio wasimjue kiasi kwamba hata wakijitahidi vipi kumjua hawatamjua?

Wakikosa kumjua kwa sababu mungu kawaziba macho, masikio na mioyo kumjua, mungu atawalaumu na kuwahukumu kwamba hawajamjua wakati yeye mwenyewe ndiye aliyewaziba macho, masikio na mioyo ili wasimjue?

Kiranga bana! Umeelewa nilichoandika lakini? Ukiambiwa una macho lakini huoni utahisi umetukanwa?
Hawa watu ishasemwa wameamua tu wenyewe kutoamini, yaani wameamua tu kwa kiburi chao. Na si kwamba wana hitaji la kutafiti wakabaniwa.
Sasa kuniuliza kwanini wafungwe sijui blah blah nashindwa kukuelewaa.
 
Utasemaje wameamua tu wenyewe wakati Quran inatuambia mungu kaifanya mioyo yao kuwa migumu wasimjue?

Unataka kusema Quran imedanganya?
 
Uzuri mmoja wala sihitaji uislamu au ukristo kujua Mungu yupo ,abishane na waislamu kwa sababu ipi ? Mtu amesha sema hana imani kama Mungu yupo kwa hiyo akibishana na waislamu maana yake nini ?? Kwa imani ya dini zote Mungu yupo juu ya vyote ,wala hukutakiwa kuleta uislamu ,kwani kinacho jadalilwa hapa sio ukiristo wala uislamu

Mchumba tena ? Nashukuru sikujua nina kimada jamii forum
Hongera sana naona finally umepata hawara sasa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wewe kama huna uthibitisho wa unachokiamini kaa kimya.
Mimi naweza kuhisi homa hapa na nikakuthibitishia hata kwa kuscan matokeo kuwa nimeenda hospital baada ya kuhisi homa na wakanipima vipimo vikaonyesha kuwa nna tatizo flani.

Kama wewe uko mabonde kuinama ni wewe sio wote

Kama unaweza kutumia keyboard kubisha vitu ambavyo huna hata uhakika navyo unashindwaje kutumia keyboard hiyo hiyo kutetea imani yako??
Jimena nikwambie ukweli tu aisee siwezi kwenda maabara nikakuthibitishia Mungu halafu nika scan matokeo nikakutumia...

We ukihisi homa unaenda kupima je ukihisi upendo unapima wapi...?! Hebu kapime upendo uniscanie matokeo niyaone... nijue upo kiasi gani
 
Bado sijauhisi upendo. Ntakapouhisi ntakuthibitishia kwa namna yake na utaelewa, ingekuwa upendo hauthibitishiki watu wasingekuwa wanaoana

Sasa acha kuzunguka ovyo lete ushahidi wa huyo Mungu wako kisha tuendelee
 
Hebu na wewe tuthibitishie kuwa Mungu hayupo.
 
Hebu na wewe tuthibitishie kuwa Mungu hayupo.
Kisichopo hakithibitishiki kwamba hakipo.

Kwa sababu hakipo. Ili kuthibitisha, inabidi kitu kuwepo.

Kuthibitisha ni uwanja wa vilivyopo. Ndiyo maana Polisi wakipata warrant ya kesi ya maadawa ya kuelvya, hawamwambii mtuhumiwa "thibitisha nyumba yako haina maadawa ya kuelvya". Wanayatafuta mpaka wayapate wao. Kwa maana kama nyumba haina maadawa ya kuelvya, mwenye nyumba hawezi kuthibitisha hilo.

Hivyo, swali linageuka kwa wanaosema mungu yupo.

Tuthibitishieni kwamba mungu yupo.
 
Kusema tu wanaweza kuingia huko inaonyesha tu ni kujitoa kwa kuwa kwenye Uislamu (naamini ukristo pia) hakuruhusiwa ushirika kwenye suala la kiimani..

Halafu nimekumbuka, hivi we mzee uongo huwa unakusaidia nini? Kumbuka hii ni JF na sio Kigango cha kuooteza sadaka..
Ukiwa mwongo, hufai kujadiliana..

image004.jpg

home-slider-royalalberthall-3.jpg
Ndio maana nakwambia acha kuokoteza stori za vijiweni na kuja kubisha bisha hapa, kwanaza freemason ni order members ni waumini wa dini mbalimbali...

Hao wanawake uliowaleta unaweza ukakuta ni wa order ya Eastern Star...
 
Hebu na wewe tuthibitishie kuwa Mungu hayupo.
Hizo mnazoita vitabu vya Mungu ndo zenye uthibitisho wa kutosha.
Mungu huyo huyo tunaeambiwa ndo kaumba kila kitu (ikiwemo dhambi) na ni huyo huyo anaandaa moto achome watu ambao alikuwa na uwezo wa kuwafanya wasitende dhambi ila akaawaacha tu

Huyu Mungu hayupo wala hajawahi kuwepo bali zile ni hadithi tu ambazo yataka ujitoe fahamu kuziamini
 
Bado sijauhisi upendo. Ntakapouhisi ntakuthibitishia kwa namna yake na utaelewa, ingekuwa upendo hauthibitishiki watu wasingekuwa wanaoana

Sasa acha kuzunguka ovyo lete ushahidi wa huyo Mungu wako kisha tuendelee
Unathibitishikaje...?! Sina vipimo vya kupima Mungu nikakuscania ili uone...

Ona sasa mimi nakwambia upendo wewe unawaza ngono, hivi upendo huwa ni kwa jinsia tofauti halafu ni kwa mtu mmoja tu...?! Yaani mke na mme...
 
We usinilishe maneno ambayo sikutamka. Bado sijawaza ngono kabisa,
We ulitaka uthibitisho wa upendo nimekupa sasa hayo maswala ya jinsia yakusanye yote yaweke kwa Mungu wako, jiulize maswali kisha ujijibu ila ukishapata uthibitisho ndo uje kubishana, kama huna logic kwanini unabisha???
 
Kiranga said:
Kisichopo hakithibitishiki kwamba hakipo.
That's stolen concept logical fallacy

Utajuaje kuwa hakipo kabla haujathibitisha kuwa hakipo?

Kitu kisichopo hakithibitishiki,umejuaje kuwa hakipo kabla haujathibitisha?

Kwa sababu hakipo. Ili kuthibitisha, inabidi kitu kuwepo.
Umejuaje kuwa hakipo kabla haujathibitisha?

Au ume-assume tu out of blue?

Kuthibitisha ni uwanja wa vilivyopo. Ndiyo maana Polisi wakipata warrant ya kesi ya maadawa ya kuelvya, hawamwambii mtuhumiwa "thibitisha nyumba yako haina maadawa ya kuelvya". Wanayatafuta mpaka wayapate wao. Kwa maana kama nyumba haina maadawa ya kuelvya, mwenye nyumba hawezi kuthibitisha hilo.

Hivyo, swali linageuka kwa wanaosema mungu yupo.

Tuthibitishieni kwamba mungu yupo.
Jibu maswali yangu hapo juu.
 
Back
Top Bottom