PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Hebu tuondokee hapa na kukariri kwako.
Nyie kazi yote mnayoifanya hapa duniani malipo yenu ni kuimba na kusifu tu huko mbinguni...
Si bora mle bata tu kabisa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tuondokee hapa na kukariri kwako.
Nyie kazi yote mnayoifanya hapa duniani malipo yenu ni kuimba na kusifu tu huko mbinguni...
Si bora mle bata tu kabisa..
Ndugu yangu unashindana na akili za kupandikizwa..hatokuelewaUmeshindwa kunielewa kwa sababu hauna uhuru wa mawazo katika hili suala kama mnavyojisifu,wewe unawaambia wenzako wanasoma hadithi zilizotungwa na watu tu na ndiyo nami nikakwambia kuwa hata unayosoma wewe pia kuhusu kutokuwepo kwa mungu ni hadithi za watu tu wenye kutaka watu waelewe hivyo. Mungekuwa na mawazo huru msingekuwa mnakuja na hoja za "sitaki kuamini nataka kujua" mara "mbona huyo mungu haonekani?".
Hebu tuondokee hapa na kukariri kwako.
Nyie kazi yote mnayoifanya hapa duniani malipo yenu ni kuimba na kusifu tu huko mbinguni...
Si bora mle bata tu kabisa..
Kwahiyo Mungu alikuwa Myahudi?.. Utapeli mtaacha lini?Yesu
Kwahiyo Mungu alikuwa Myahudi?.. Utapeli mtaacha lini?Yesu
Aisee hii familia naionea huruma ,kaka mtu anaamini Mungu yupo ,dada mtu anaamini Mungu hayupo na wifi yake anaamini Mungu wa uislamu ndio wa maana kuliko wa ukristo ,sasa hao watoto sijui wataamini niniUsikose kumtambulisha kwa wifi yake hapa... Ama kweli mguu wa kutoka mtume kauombea
Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani kuwepo?
Nimeuliza kabla mungu hajamuumba mtu.Mkuu..Mungu alipomuumba bin Adam alimshirikisha baadhi ya vitu ambavyo viumbe vingine hakuvipa..na hivyo vitu ndo vinavyotutofautisha na viumbe vingine mfano akili na utashi.....kwa kutumia hizi nyenzo Mungu alidhamiria kabisa kutufanya tuweze kuovercome dhambi na matokeo yake tuishi maisha ya furaha....angeweza kutuumba kama wanyama wengine ambao wanaongozwa na Instincts lkn nafikir tusingekua kama tulivyosasa
Watoto watakuwa huru kujifunza vyote kisha wakikua wataamua wenyewe tu.....Aisee hii familia naionea huruma ,kaka mtu anaamini Mungu yupo ,dada mtu anaamini Mungu hayupo na wifi yake anaamini Mungu wa uislamu ndio wa maana kuliko wa ukristo ,sasa hao watoto sijui wataamini nini
Teh kujifunza vyote ni bora tu wasijifunze kabisa maana tunaweza wafanya vichaa ,Wakiwa kwangu Mungu yupo ,wakienda kwa dada mtu Mungu hayupo ,wakirudi kwa mama yao Mungu wake ndio Mungu wa kweli ,inabidi tutafute utaratibu mwingine nje ya imani hizo tatu ,sasa sijui ni imani ipiWatoto watakuwa huru kujifunza vyote kisha wakikua wataamua wenyewe tu.....
Au unaonaje hapo? Hawa watoto hawatakuwa brain washed
Hapana hatuwaambii hivyo. Tunawaambia hivi wakristo wanaamini Mungu yupo kutokana na a,b na c, pia waislamu nao wanaamini haya kuhusiana na Mungu huyo huyo, halafu pia kutokana na 1,2 na 3 watu wengine wanajua ya kwamba Mungu hayupo, lakini kwa pamoja tutawafundisha upendo. Na watakuwa bora kabisa na wakikua na watakaposoma zaidi watajua kipi wafuateTeh kujifunza vyote ni bora tu wasijifunze kabisa maana tunaweza wafanya vichaa ,Wakiwa kwangu Mungu yupo ,wakienda kwa dada mtu Mungu hayupo ,wakirudi kwa mama yao Mungu wake ndio Mungu wa kweli ,inabidi tutafute utaratibu mwingine nje ya imani hizo tatu ,sasa sijui ni imani ipi
Teh sawa mama , nimekuelewaHapana hatuwaambii hivyo. Tunawaambia hivi wakristo wanaamini Mungu yupo kutokana na a,b na c, pia waislamu nao wanaamini haya kuhusiana na Mungu huyo huyo, halafu pia kutokana na 1,2 na 3 watu wengine wanajua ya kwamba Mungu hayupo, lakini kwa pamoja tutawafundisha upendo. Na watakuwa bora kabisa na wakikua na watakaposoma zaidi watajua kipi wafuate
Sambaza upendo
Love is my religion
Asante sana kwa kunielewa.Teh sawa mama , nimekuelewa
Amri yangu kuu ni kumpenda jirani yangu kama nafsi yangu japo muda mwingine nashindwa kutokana na mapungufu ya kibinadamu japo najitahidi mara nyingi nisitoke kwenye huo msingi ,Mimi hata sisimizi nampenda japo hawajui kama Mungu yupo au hayupoAsante sana kwa kunielewa.
Basi kwa pamoja tusambaze upendo
Upendo hauchagui wala haubagui.Amri yangu kuu ni kumpenda jirani yangu kama nafsi yangu japo muda mwingine nashindwa kutokana na mapungufu ya kibinadamu japo najitahidi mara nyingi nisitoke kwenye huo msingi ,Mimi hata sisimizi nampenda japo hawajui kama Mungu yupo au hayupo
Nakuona mbumbumbu wa mwisho kwenye hii madaKiranga bana! Umeelewa nilichoandika lakini? Ukiambiwa una macho lakini huoni utahisi umetukanwa?
Hawa watu ishasemwa wameamua tu wenyewe kutoamini, yaani wameamua tu kwa kiburi chao. Na si kwamba wana hitaji la kutafiti wakabaniwa.
Sasa kuniuliza kwanini wafungwe sijui blah blah nashindwa kukuelewaa.
Hata mimi namuona mdini asiyejitambua kuwa yeye ni mdiniHapa naona jinsi gani udini unakusumbua, uzi huu unazungumzia kuhusu Mungu na wala sio hizo dini ulizoamua kusimamia
Hayupo kama pembetatu duara isivyoweza kuwepo katika Euclidean geometry.Una uhakika kuwa Mungu hayupo?
Kwahiyo mungu wenu nae ana mtengenezaji wake?Ok mi nadhani tujiulize maswali yafuatayo viberiti, magari, piki piki, simu, peni, nyumba, barabara, sindano nk je vimetokea tu naturaly? Kama vimetengezwa basi kwanini binadamu asitengezwe? Pia vitu vyote ambavyo binadamu ametengeza yy ndio ana vi control, kwa msingi huo anayetengeza ndio ana control na hata aliyemtengeza binadamu ndio anauwezo kuliko binadamu
Kwasababu hayupokwanini hakuna mungu?