Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Je, Kuna Mungu?
Habari Zinazohusiana
Mungu Majibu ya Maswali ya Biblia
Pata Kujua Mengi Zaidi
Chapa Shiriki AMKENI!
Kuna Mungu? Hilo Linakuhusuje?
Je, ni muhimu kutafuta jibu la swali linaloonwa na wengi kuwa lisiloweza kujibiwa au lisilo na maana?
BIBLIA INATUFUNDISHA NINI?
Mungu Ni Nani?
Je, unaamini kwamba Mungu anakujali? Jifunze kuhusu utu wake na jinsi unavyoweza kuwa rafiki ya Mungu.
AMKENI!
Mtaalamu Anayefanya Utafiti Anaelezea Kuhusu Imani Yake
Frédéric Dumoulin alichukia dini sana hivi kwamba akawa mtu asiyeamini Mungu. Kujifunza Biblia na ubunifu ulio katika vitu vyenye uhai kulimsadikisha kwamba kuna Muumba?
Ni Nani Aliyemuumba Mungu?
Je, Kweli Tunaweza Kumjua Mungu?
Ni Nini Maana ya Uhai? Jibu la Biblia
Ndiyo, Biblia inatoa uthibitisho usioweza kutiliwa shaka kwamba kuna Mungu. Inatutia moyo tuwe na imani katika Mungu, si kuamini maoni ya kidini bila sababu, bali kwa kutumia ‘nguvu zetu za kufikiri’ na “uwezo wa akili.” ( Waroma 12:1; 1 Yohana 5:20 ) Fikiria hoja zifuatazo zinazotegemea Biblia:
Kuwapo kwa ulimwengu ulioumbwa kwa utaratibu wa hali ya juu kunaonyesha kwamba kuna Muumba. Biblia inasema: “Bila shaka, kila nyumba hujengwa na mtu fulani, lakini yeye aliyevijenga vitu vyote ni Mungu.” ( Waebrania 3:4 ) Ingawa wazo hilo ni rahisi kulielewa, wasomi wengi huliona kuwa ni hoja yenye nguvu sana isiyoweza kukanushwa. *
Tukiwa wanadamu, tuna tamaa ya kiasili ya kutaka kuelewa maana na kusudi la uhai, tamaa ambayo bado huendelea kuwapo hata ikiwa mahitaji yetu ya kimwili yanatoshelezwa. Biblia inafafanua tamaa hiyo kuwa ‘uhitaji wetu wa kiroho,’ uhitaji unaotia ndani tamaa ya kumjua na kumwabudu Mungu. ( Mathayo 5:3; Ufunuo 4:11 ) Mbali na kuthibitisha kwamba kuna Mungu, uhitaji huo wa kiroho unaonyesha pia kwamba Mungu ni Muumba anayetupenda anayetaka tutosheleze uhitaji huo.— Mathayo 4:4 .
Unabii mbalimbali wa Biblia wenye mambo mengi uliandikwa karne nyingi kabla ya wakati na ulitimia kikamili na kwa wakati barabara kama tu ilivyotabiriwa. Usahihi na vilevile habari nyingi zenye kina kuhusu unabii huo zinatoa uthibitisho wenye nguvu kwamba haukutokana na chanzo cha kibinadamu.— 2 Petro 1:21 .
Waandikaji wa Biblia walikuwa na ujuzi wa kisayansi uliozidi ule wa watu walioishi wakati wao. Kwa mfano, zamani watu wengi waliamini kwamba dunia ilishikiliwa na mnyama, kama vile tembo, nguruwe-mwitu, au ng’ombe-dume. Tofauti na hilo, Biblia inasema kwamba Mungu ‘anaitundika dunia pasipo na kitu.’ ( Ayubu 26:7 ) Vivyo hivyo, Biblia inafafanua umbo la dunia kwa usahihi kuwa “mviringo,” au “duara.” ( Isaya 40:22 ; Union Version) Watu wengi wanahisi kwamba waandikaji wa Biblia walipata habari hizo kutoka kwa Mungu. Kwa maoni yao, hiyo ndiyo njia inayopatana na akili zaidi ya kuelezea walitoa wapi uelewaji huo.
Biblia inajibu maswali mengi magumu, maswali ambayo yasipojibiwa vizuri yanaweza kumfanya mtu aache kuamini kwamba kuna Mungu. Kwa mfano: Ikiwa Mungu anatupenda na ni Mweza-Yote, kwa nini watu wanateseka na kwa nini kuna uovu ulimwenguni? Kwa nini mara nyingi dini husababisha mambo mabaya badala ya mazuri?— Tito 1:16 .
 
Hapo katika logic umefanya kosa linaitwa non sequitur.

www.dictionary.com

non se·qui·tur

ˌnän ˈsekwədər/

noun

a conclusion or statement that does not logically follow from the previous argument or statement.

Umeunganisha premise na conclusion wakati hazina uhusiano.

Ni kama vile umesema.

1.Kila mwanamke ni mtu.

2.John Magufuli ni mtu.

3.Hivyo, John Magufuli ni mwanamke.

Tukikubali kwamba kila kitu kina mwanzo wake (nitarudi hapa kama ukiweka kwenda nami), hujathibitisha chanzo chetu ni Mungu. Umelazimisha bila kuonesha kimantiki umetokaje kwenye "kila kitu kina chanzo chake" ukafika kwenye "chanzo chetu ni Mungu".

Umeruka step na kufikia conclusion uliyoitoa hewani kama yuke aliyefikia conclusion ya "John Magufuli ni mwanamke".

Hujajibu suala la "the problem of evil".

Kama Mungu yupo, ana uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea?

Je, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, lakini hakutaka tu?

Kama ni hivyo, je, ni kweli ana upendo wote?

Au, alitaka kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kuwepo, lakini hakiweza tu?

Kama ni hivyo, je, ni kweli ana uwezo wote?

Mungu huyu yupo kweli au ni hadithi za mapokeo tu?
Hiyo SIMILE katika mfano namba 3 yadhihirisha WAZI kabisa kuwa mtoa comment ni mtu wa SHARI ....

You could have AVOIDED such ABUSIVE LANGUAGE in delivering whatever message you intended to deliver ....
 
hahaaaaa ukishamaliza hayo masomo yako njoo utupatie nondo huku "" huwenda ukajitahidi kujibu hoja zake ...lakini sio rahisi
mm mwenyewe n follower wa kiranga ndo ameninfluence kupenda hiv vitu vya falsafa na dini.
 
We are all in the same game, just different levels, dealing with the same hell, just different devils.

But bora huamini yupo huende humkose, kuliko kuamini hayupo halafu mwisho wa siku unaenda unamkuta.
Hii ni kamali. Si uthibitisho.

Nikikwambia mimi ni Mungu. Weka hela zako zote kwenye akaunti yangu, utakubali na kuweka hela kwa kusema bora ukubali na kuweka hizo hela kwenye akaunti yangu, kwa sababu kama mimi si Mungu utakuwa umepoteza hela tu, lakini kama mimi ni Mungu utakuwa umempendeza Mungu tu?

Imani ya Mungu ina consequences. Hapahapa duniani.

Usiandike kama haina consequences na sacrifices.
 
Mungu anajithibitisha
Mwenyewe.
Na kamwe hathibitishwi na Binadamu.
Ni kama wewe unapomzaa mtoto, huyo mtoto hawezi kuwajua wazazi wale hadi wajitambulishe kwake kuwa
' sisi ndio wazazi wako"

Huyu mzazi ni binadamu na unaishi naye hapa duniani.

Ni vigumu zaid kwa Mungu ambaye sio binadamu na haonekani kwa macho ya watu.

Ndio maana ukisoma Biblia, utaona Musa alikuwa hamjui Mungu lakini Mungu alipotaka kuzungumza naye alijitambulisha kwake maana Musa hakujua chochote.
moja ya utambulisho aliambiwa "MIMI NIKO AMBAYE NIKO" au "Mimi Mungu wa Ibrahimu, Isaka ya Yakobo"
Bila huo utambulisho Musa pamoja na Manabii wengine wasingejua nani anawapa maagizo.
Katika Biblia tofauti na vitabu vingine, Malaika au Mungu mwenyewe walikuwa wanajitambulisha kila wanapo kutana na binadamu kwa nia ya kuwapa maagizo ya kufanya.
Akitokea mtu anasema anataka wewe binadamu umthibitishie uwepo wa Mungu au Malaika kwa kuwaonesha ili awaone kwa macho jambo hili haliwezekana.
Kinachowezekana ni kumwambia asome maandiko ya Mungu mwenyewe.
Kwa mfano.
Mungu alimwagiza Musa aandike kila anacho mwambia au kumwagiza ili kizazi kijacho wasome na kuelewa uwepo wake.

Hivyo sio hiari ya Mungu kutaka kila binadamu amwone na kumthibitisha, yeye ndie anaye amua amthibitishie nani uwepo wake ili naye akawaambie wengine.
Hata sisi leo ndivyo tunavyoweza kusema.
Kama mtu hawaamini Manabii basi nina uhakika hata Mungu akija na kujitambulisha kwao kuwa yeye ndiye, hao watu watambishia.
Kwani kubisha ni hiari ya mtu, kila siku tunaona wazazi wanawakana watoto wao wa kuwazaa, na watoto pia wanawakana wazazi wao.
Uta sikia
"kuanzia leo wewe sio mwanangu"

Kuna kubisha kwa kutoelewa, na kubisha kama mila au utamaduni wa mtu. Hao wa kwanza wanaweza kuelimishwa na wakaelewa ila hao wa pili ni fani yao.
Ukitaka kumthibitisha Mungu mtafute mwenyewe, maana anasema anapatikana, utampataje Soma Biblia anaeleza jinsi ya kumpata.
Usitake utafutiwe na mtu mwingine halafu ndio akuletee umwone, huyo mtu kamwe hataweza kwani Mungu hapatikani kwa jinsi hiyo.

Alfa na Omega
 
Hapa naona kuna wanaoamini kwamba kama huwezi ku prove uwepo wa jambo kwa kutumia milango 5 ya fahamu basi hilo jambo kwao halipo (MATERIALISTS)

Na kundi la pili ni wale wanaoamini iwe jambo unaweza kulithibisha kwa milango 5 ya fahamu au laa.... Kama lipo, basi lipo tu (IDEALISTS)

HUU UBISHI HAUJAWAHI KUPATA MSHINDI.

Kiranga anaonekana ana hoja kwa kuwa hoja zake zinathibitika kisayansi, zinaonekana hivyo ni rahisi kushawishi wengine.

Wale wenye hoja ambazo hazithibitiki kimwili/kisayansi ndio wanapata shida kushawishi, lakini hiyo haimaanishi kwamba wanachosema si kweli
Hapana. Unapoprove kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10 hutumii mlango wowote mmoja wa fahamu kati ya mitano.

Unatumia logic iliyo akilini.

Unafanya "proof by contradiction".

Proof hiyo hiyo inatumika kuonesha Mungu hayupo.

Ndiyo maana sijauliza uthibitishobwa kuwepo kwa Mungubkwa kutaka.

1. Nione picha yake anaonekamaje.
2. Nimguse nijue ana feel vipi.
3. Nimnuse nijue ananukiaje.
4. Nimlambe nijue taste yake ikoje.
5. Nisikie sauti yake inasikikaje.

Sasa mtu kama mimi niliyeomba logical explanation, utaniwekaje kwenye kundi la materialists wanaotaka kujua mambo kwa five senses?

Nikikwambia kuna pembetatu yenye pembe sita ambayo huwezi kuijua kwa five senses, utakubali?
 
Skeptics kama hao hatupotezi muda. Tunawaelekeza kwenye hoja ya msingi. Mambo ya Mungu hayajulikani kwa kuona, kutazama, kuchunguza na mengineyo bali kwa imani. Biblia ibasema wazj ni *********** tu anayesema hakuna Mungu. Yaani "common sense" itakueleza tu Mungu yupo. Philosophy of Religion inadeal na maswali ambayo Kiranga hagusii sasa nipoteze muda wa nini. Aamini tu asisumbue watu humu JF.
Kiongozi mwambie tu ... Biblia yasema "MPUMBAVU" anaamini moyoni mwake HAKUNA MUNGU ....
 
Mungu anajithibitisha
Mwenyewe.
Na kamwe hathibitishwi na Binadamu.
Ni kama wewe unapomzaa mtoto, huyo mtoto hawezi kuwajua wazazi wale hadi wajitambulishe kwake kuwa
' sisi ndio wazazi wako"

Huyu mzazi ni binadamu na unaishi naye hapa duniani.

Ni vigumu zaid kwa Mungu ambaye sio binadamu na haonekani kwa macho ya watu.

Ndio maana ukisoma Biblia, utaona Musa alikuwa hamjui Mungu lakini Mungu alipotaka kuzungumza naye alijitambulisha kwake maana Musa hakujua chochote.
moja ya utambulisho aliambiwa "MIMI NIKO AMBAYE NIKO" au "Mimi Mungu wa Ibrahimu, Isaka ya Yakobo"
Bila huo utambulisho Musa pamoja na Manabii wengine wasingejua nani anawapa maagizo.
Katika Biblia tofauti na vitabu vingine, Malaika au Mungu mwenyewe walikuwa wanajitambulisha kila wanapo kutana na binadamu kwa nia ya kuwapa maagizo ya kufanya.
Akitokea mtu anasema anataka wewe binadamu umthibitishie uwepo wa Mungu au Malaika kwa kuwaonesha ili awaone kwa macho jambo hili haliwezekana.
Kinachowezekana ni kumwambia asome maandiko ya Mungu mwenyewe.
Kwa mfano.
Mungu alimwagiza Musa aandike kila anacho mwambia au kumwagiza ili kizazi kijacho wasome na kuelewa uwepo wake.

Hivyo sio hiari ya Mungu kutaka kila binadamu amwone na kumthibitisha, yeye ndie anaye amua amthibitishie nani uwepo wake ili naye akawaambie wengine.
Hata sisi leo ndivyo tunavyoweza kusema.
Kama mtu hawaamini Manabii basi nina uhakika hata Mungu akija na kujitambulisha kwao kuwa yeye ndiye, hao watu watambishia.
Kwani kubisha ni hiari ya mtu, kila siku tunaona wazazi wanawakana watoto wao wa kuwazaa, na watoto pia wanawakana wazazi wao.
Uta sikia
"kuanzia leo wewe sio mwanangu"

Kuna kubisha kwa kutoelewa, na kubisha kama mila au utamaduni wa mtu. Hao wa kwanza wanaweza kuelimishwa na wakaelewa ila hao wa pili ni fani yao.
Ukitaka kumthibitisha Mungu mtafute mwenyewe, maana anasema anapatikana, utampataje Soma Biblia anaeleza jinsi ya kumpata.
Usitake utafutiwe na mtu mwingine halafu ndio akuletee umwone, huyo mtu kamwe hataweza kwani Mungu hapatikani kwa jinsi hiyo.

Alfa na Omega
Mnasema Mungu ana ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote.

Mnasema Mungu anajithibitisha mwenyewe.

Kuna wanaosema yupo, apparently amejithibitisha kwao.

Kuna tunaokataa. Hajajithibitisha kwetu.

Inakuwaje Mungu huyu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, awapendelee wengine kwa kujithibitisha kwao, halafu wengine atutuoe, asijithibitishe kwetu?

Tukikosa kumjua na kufariki na dhambi (kwa sababu hajajithibitisha kwetu), suku ya hukumu akituuliza kwa nini nyinyi mlinikana nanhamkunioenda, tykasema Mungu wewe mwenye uwezo wote, unayepanga yote, hukutuoa neema ya kujithibitisha kwetu, atasemaje?

Hivi mzazi anaweza kumnyima mtoto nafasi ya kujifunza kusoma, halafu mtoto akishindwa kujua kusoma, mzazi awe na haki ya kumuadhibu mtoto kwa sababu mtoto hajui kusima?
 
Tatizo unamfananisha Mungu na Binadamu.
Mungu kila anachofanya ni chema na kamwe hampendelei mtu yoyote.
Amekuwekea mazingira ya kukustawisha kwa upendeleo mkubwa, amekupa uhai, akili, afya njema, hewa, maji, chakula, viungo muhimu vya mwili nk,
BURE KABISA.
Kama Mungu amehiari kumthibitishia mtu uwepo wake hiyo tunaiita NEEMA na sio UPENDELEO.
Neema hailazimishwi ni thawabu ambayo ipo kwenye utaratibu wa Mungu mwenyewe.
Ndio maana unaweza kukuta binadamu huyu ana kipaji cha mpira, mwingine ana akili nyingi kama Kiranga, mwingine ana nguvu kama Tyson, mwingine Mrefu mwingine ana mbio nyingi.
Kila binadamu ana Neema flani ya kipekee tofauti na mwingine.

Ndivyo inavyompendeza Mungu na sio sisi Binadamu.
 
.
 
Kama kila anachokifanya Mungu ni chema, imewezekanaje kwa Mungu huyo kuumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya kuwemo?

Alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kufanyika?
 
Mpumbavu kasema moyoni mwake hakuna Mungu
Tumejadili hii aya na kuona kwamba kuogopa kuitwa mpumbavu kwa sababu ya aya kulikokuogopa upumbavu wenyewe ni upumbavu mkubwa zaidi.

Fuatilia mjadala nyuma hapo.
 
I'll always stand FIRM according to what the HOLY SCRIPTURES say/reveal to HUMAN KIND
The so called holy scriptures donot say one thing, they contradict themselves all over the place.

So, they can't be that holy.

Quran and the Bible are full of contradictions.
 
Mnasema Mungu ana ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote.

Mnasema Mungu anajithibitisha mwenyewe.

Kuna wanaosema yupo, apparently amejithibitisha kwao.

Kuna tunaokataa. Hajajithibitisha kwetu.

Inakuwaje Mungu huyu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, awapendelee wengine kwa kujithibitisha kwao, halafu wengine atutuoe, asijithibitishe kwetu?

Tukikosa kumjua na kufariki na dhambi (kwa sababu hajajithibitisha kwetu), suku ya hukumu akituuliza kwa nini nyinyi mlinikana nanhamkunioenda, tykasema Mungu wewe mwenye uwezo wote, unayepanga yote, hukutuoa neema ya kujithibitisha kwetu, atasemaje?

Hivi mzazi anaweza kumnyima mtoto nafasi ya kujifunza kusoma, halafu mtoto akishindwa kujua kusoma, mzazi awe na haki ya kumuadhibu mtoto kwa sababu mtoto hajui kusima?
Kumbuka SKU ya mwsho ni hukumu tu na sio hearing of cases .hakuna pa kukata rufaa wala kuomba kurejewa kwa hukumu upya( review of cases) sasa hayo maswali ya kumuulza Mungu cku ya mwsho sio ajabu ukakosa iyo nafas
 
Kama Mungu hayupo hata hiyo siku ya mwisho ni hadithi tu.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Na Mungu mnayemsema ni wa haki itakuwaje ahukumu watu bila hata kuwasikiliza utetezi wao?
 
Back
Top Bottom