Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwanza kabisa thibitisha Mungu yupo.Toka eeewe pepo wa logic na umwachilie mtu huyu, yeye ni mtoto wa Mungu aliye hai. Huna mamlaka juu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kabisa thibitisha Mungu yupo.Toka eeewe pepo wa logic na umwachilie mtu huyu, yeye ni mtoto wa Mungu aliye hai. Huna mamlaka juu yake
Kwa kutumia kitu gani sasa kama hata akili ya kujua kama nimethibitisha haipo?Kwanza kabisa thibitisha Mungu yupo.
Haipo kwa nani? Kwako?Kwa kutumia kitu gani sasa kama hata akili ya kujua kama nimethibitisha haipo?
Watawalamara zote hutumia dhana ya Mungu kuwaunganisha watu na kuwaweka sawa ili wawe wanatawalika kirahisi.Kila mtu ana Mungu wake. Ndo maana hata mheshimiwa anasema niombeeni akiamini Mungu ni wengi, angekuwa ni mmoja wala asingetuomba maana si tayari yeye keshamuomba.
Kaka hawa hawawez kukuelewa maana wengi wao humu toka ana mwaka1 kutwa kuuzulia kanisani na kubwia misumu ya watu wa mbali,kwa sasa wamekomaa hawa sasa kuwatoa huko inahitaji nguvu za ziada hawawez kukuelewa...Watawalamara zote hutumia dhana ya Mungu kuwaunganisha watu na kuwaweka sawa ili wawe wanatawalika kirahisi.
Ukishamuaminisha mtu kwamba mamlaka ya watawala yanatoka kwa Mungu, mtu huyo kukupinga wewe mtawala itakuwa kama anampinga Mungu.
Kwahiyo dhana ya Mungu imetumiwa sana na watawala tangu enzi za Babeli, Misri,Uchina,Uyunani, Roma mpaka Uingereza na Marekani.
Karl Marx alisema dini ni kilevi cha the masses.
Munguni huyu wa contradiction ni uongo mtamu unaofariji pasipo na matumaini na kutoa machungu mengi ya maisha yasiyotabirikawala kueleweka.
Ni bora tu hata hujaliweza hili maana ungeliweza ungesema nimekutukana.Haipo kwa nani? Kwako?
Kuulizwa maana yake si kutoliweza. Unaweza kuulizwa kwa kuhakiki tu.Ni bora tu hata hujaliweza hili maana ungeliweza ungesema nimekutukana.
Kwa hiyo wewe habari za Mungu hazipo kabisa?? Inatisha.Watawalamara zote hutumia dhana ya Mungu kuwaunganisha watu na kuwaweka sawa ili wawe wanatawalika kirahisi.
Ukishamuaminisha mtu kwamba mamlaka ya watawala yanatoka kwa Mungu, mtu huyo kukupinga wewe mtawala itakuwa kama anampinga Mungu.
Kwahiyo dhana ya Mungu imetumiwa sana na watawala tangu enzi za Babeli, Misri,Uchina,Uyunani, Roma mpaka Uingereza na Marekani.
Karl Marx alisema dini ni kilevi cha the masses.
Munguni huyu wa contradiction ni uongo mtamu unaofariji pasipo na matumaini na kutoa machungu mengi ya maisha yasiyotabirikawala kueleweka.
kwanza kabisa kusema tu pembe tatu yenye pembe sita ni fallacy. huwezi kuendelea kusema pembetatu yenye pembe zingine ukawa bado uko sound. ukishasema pembe tatu hiyo body umemaliza habari zake.Kuulizwa maana yake si kutoliweza. Unaweza kuulizwa kwa kuhakiki tu.
Mungu wa contradiction mlioletewa kwwnye hivyo vitabu hayupo.
Ukikubali yupo umekubali pembetatu yenye pembe sita ipo.
Habari zote hizi zina contradiction, sasa kwa nini ukubali contradiction moja na ukatae nyingine?
Amenkwanza kabisa kusema tu pembe tatu yenye pembe sita ni fallacy. huwezi kuendelea kusema pembetatu yenye pembe zingine ukawa bado uko sound. ukishasema pembe tatu hiyo body umemaliza habari zake.
nasisitiza kuwa unamuona Mungu kuwa contradiction kwa kuwa uko limited to a set of knowledge you have gained so far. you would have a shifted position if you had better knowledge which you are vehemently trying to push away. ni kama mimi nilipokuwa darasa la kwanza, logic couldn't explain how 2-5 was possible. leo hata square root ya -2 is possible to evaluate. you just need better knowledge to acknowledge that God lives! (a contradiction?? 😀😀😀) Hallelujah!!!
Unaelewa kwamba kusema kuna Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote (pembe tatu) ambaye alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu usiowezekana kufanyuka mabaya lakini hakuumba ulimwengu huo akaumba huu ambao mabaya yanawezekana (pembe sita) ni sawa sawa kabisa na kusema kuna pembe tatu yenye pembe sita?kwanza kabisa kusema tu pembe tatu yenye pembe sita ni fallacy. huwezi kuendelea kusema pembetatu yenye pembe zingine ukawa bado uko sound. ukishasema pembe tatu hiyo body umemaliza habari zake.
nasisitiza kuwa unamuona Mungu kuwa contradiction kwa kuwa uko limited to a set of knowledge you have gained so far. you would have a shifted position if you had better knowledge which you are vehemently trying to push away. ni kama mimi nilipokuwa darasa la kwanza, logic couldn't explain how 2-5 was possible. leo hata square root ya -2 is possible to evaluate. you just need better knowledge to acknowledge that God lives! (a contradiction?? 😀😀😀) Hallelujah!!!
Hata Biblia inayosemwa kitabu kitakatifu imepangwa na maaskofu wa Mfalme Constantin wa Roma katika Council of Nicea. Hapo ndipo walipoamua kitabu ganibkiwekwe kwenye Biblia na kipi kisiwekwe.Kaka hawa hawawez kukuelewa maana wengi wao humu toka ana mwaka1 kutwa kuuzulia kanisani na kubwia misumu ya watu wa mbali,kwa sasa wamekomaa hawa sasa kuwatoa huko inahitaji nguvu za ziada hawawez kukuelewa...
mimi nina umri wa miaka 24 kwa sasa na nilikuwa natumikia kanisa la roman cathorik...nimebatizwa huko nikapokea komnio mpka kipaimara ila niko tofaut nao sanaa kwa maana nilipokuwa na umri kama miaka nane hivi au saba huko nyuma nilipinga kuisujudia state ambayo ni roma wakati uo nakumbukuka haya makanisa ya roman tulikuwa tunayaita R.C,kifupi asa baadae nikaja gundu kirefu cha r.c...ni roman na roma nikawa naifaam kupitia chombo cha habar kimoja cjui bbc au dw dochevere ...mle kuna mbibi fulani hivi alikuwa akiiongerea sana roma.....
nikafikilii wee nkaona mmh hii roma si nchi inakuwaje tunaisadiki imani yao huku na sikuwa nawependa..mi ni mtu kuamini sana mizimu ya babu zetu wa kale nikaona isiwe tabu...sasa nilipokufikia umri mkubwa na nilikwisha pokea kipaimara nlikuwa nishajua vingi na mapungufu ya kanisa hilo hususani bibilia yao nilivibwaga vyote sikua pa1 na hao tena..
kilichonifanya nitoke huko kikubwa ni ile hadithi yao iko siku mungu atakuja kumuhukumu shetani hapa duniani,hivi kweli wakuuu tuchukulie mfano ww una banda la kuku,baati mbaya kicheche kaingia mule na una rungu au panga uwezo wa kumpiga yule kicheche asiendelee kula kuku mule unao,ivi unaweza ukawa umesimama tu kwa kumtizama na huku ukijisemea nakuacha ipo siku yako maalum,ina maana yule kicheche atamaliza kuku wote bandani kabla ya iyo siku uliyoipanga ww....
Hii dhana ya iko siku yake shetani wakati machafu yanameza kabisa mema mimk siilewi...
Tujadili hoja.Kwa hiyo wewe habari za Mungu hazipo kabisa?? Inatisha.
Kwa kitu ambacho sikijui siwezi kukataa wala kukubali, kama uwezekano wa kujiridhisha upo nitaenda nijiridhishe kwanza. Labda nikuulize, wewe unaamini ulitokea wapi? Aliyekuzaa naye alitokea wapi? Nini chanzo cha viumbe??Tujadili hoja.
Kwa nini nikubali habaribza Mungu?
Leo nikikwambia kwamba katika geometri ya Euclid kuna pembe tatu yenye oembe sita utakubali?
Sent from my LGLS992 using JamiiForums mobile app
Unaelewa kwamba kusema kuna Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote (pembe tatu) ambaye alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu usiowezekana kufanyuka mabaya lakini hakuumba ulimwengu huo akaumba huu ambao mabaya yanawezekana (pembe sita) ni sawa sawa kabisa na kusema kuna pembe tatu yenye pembe sita?
Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Mnasema uwezo alikuwa nao. Ujuzi alikuwa nao. Uoendo alikuwa nao.
Kwa nininhakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani na hayapo kabisa?
Unaweza kujibu swali hili?
Unapokuwa unajiridhisha, unatumia msingi gani kujiridhisha?Kwa kitu ambacho sikijui siwezi kukataa wala kukubali, kama uwezekano wa kujiridhisha upo nitaenda nijiridhishe kwanza. Labda nikuulize, wewe unaamini ulitokea wapi? Aliyekuzaa naye alitokea wapi? Nini chanzo cha viumbe??
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
ulielewa niliposema kuwa Mungu hakuumba wa haumbi automatons? unafahamu automaton ni kitu gani?
Nikisoma Vitabu Vya Dini Hasa Biblia... Mungu wa Kuanzia Kitabu Cha Mwanzo Au Vitabu Vya Kale Ni Tofauti Sana kitabia na Mungu wa Agano Jipya.
Tabia za KiMungu Alizokuwa nazo Katika agano la Kale Nikilinganisha Na Agano jipya naona Tofauti Kubwa Sana
Mfano AGANO LA KALE
Mungu Alikuwa ni Wa Hasira Sana na Anayependa Sana Waumini wake Wafuate Sheria ... Kulikuwa na Sheria Za Kitakatifu Mfano Kujiosha Mwili... mavazi.. Kuhudumia Sehemu ya Kuabudia kwa usafi wa hali ya juu... kuvukisha Ubani... kujitawaza... n.k n.k
Sasa Nitapokuja Kusoma Agano jipya Mungu anakuwa Amebadilika Sana Hasa Katika Kuabudiwa.. .. Yale Mambo ya kale aliyotaka hayapo tena.. Je Mungu amebadilika Hataki Tena Ubani... Zawadi za kuteketezwa Alizosema zinamvutia?
Je Kuna Ubaya Gani Kutoa Sadaka Za hivyo.. kuna Ubaya Gani Kurudia Kule kwa Kale.. Kujisafisha Uendapo Kuabudu..... Kuwa Msafi Au kujitawaza kama kale...
Ukiamini kwamba Mungu yupo, na ana nguvu hizo mlizompa, mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wote:-
Mungu wenu kwa mamlaka mliyompa tayari kashaumba automatons.
1. Mnasema mtu kaumbwa kwa mfano wa Mungu.Imitation.acentral characteristic of automatons.
2.Kaumba viumbe ambao hawana control watazaliwa kwa mwili gani (watu, wanyama , wadudu) wanajikuta tu wamezaliwa.
3.Kaumba viumbe ambao hawana control juu ya muda, muda unaenda mbel tu,haurudi nyuma, kwa hili viumbe ni automatons.
4.Kaumba viumbe ambaohawawezi kutoka nje ya ulimwengualiouumba. Kwa hili viumbe ni automatons.
5. Kunamambomengi sana yako controlled na genes, kuanziamagonjwa mpaka tabia.Kwa hili huwezikusemaviumbe si automatons.
6.Ukisema watu wanamjua Mungu kwa neema tu na si kwa uwezo wao, hapo maana yake watu ni automatons.
7.Ukisema Mungu anajua yanayokuja, na anachojua lazima kiwe, basi huwezi kuepuka kwamba watuni automaton.
8. Watu ni lazima wafariki, kwahili watuni automatons.
9. Watu wamejikuta wamezaliwa bilakuulizwa na kukubali kuzaliwa. Kwa hiloni automatons.
10. Watu hawana uwezo wa kubadili mifumo ya nguvu asili kama mizunguko ya sayari na misimu, kwa hiloni automatons.
Swali langu la msingi hujalijibu.
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambaohaunamabaya na watu wana uhuru wa kuchagua mazuri tu?
Kwa sababu,hata ulimwengu huu mnaosema Mungu katupauhuru wa kuchagua mazuri na mabaya,tunaona kuna mipaka ya kuchagua.
Hatuwezi kurudi nyuma katika muda, hatuwezikuepuka kufa,hatuwezi kuchagua tuzaliwe wapi,kwa wazazi gani etc.
Kwa hiyo habari ya kwamba tuna uhuru wa kuchagua mema na mabaya ina walakini, kwa sababu uhuru wetu una mipaka.
Sasa kama kweli ulimwengu umeumbwa na Mungu, na yeye ndiye kawekamipaka ya kinachowezekana na kisichowezekana (mfano, muda kwenda mbele tu kwa watu, usirudi nyuma), kwa nini hakuwekamipakakwamba mabaya yasiwezekane, yawezekane mazuri tu?
Swali hili linakuwa na maana sana ukizingatia.
1. Mungu huyu mnasema alikuwa na uwezo wote wa kuumba hivyo.
2. Mungu huyu mnasema alikuwa na ujuzi wote wa kuumba hivyo.
3.Mungu huyu mnasema alikuwa na upendo wote wa kuumba hivyo.
Kwa ninihakuumba hivyo?
Kwaninihakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Ukijibu hakutaka automaton, nitakuuliza,hivi tetemekola ardhi linapotokea, jambo ambalo halihusiani na uamuziwa watu kuchagua mazuri na mabaya, halafu watto wachanga maelfu wakafariki ikatili kwa kuzikwa hai, hapo Mungu anakataa automaton gani?
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi hayatokei?
Kama hakushindwa, je ni kweli ana upendo wote anapoachia viumbe wake wateseke sana?
Kama alitakakuumba hivyo, lakini hakuweza, je nikweli ana uwezo wote?
Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo woteyupokweli?
Au ni hadithi tu?
Mbona dunia tunayoishi inam contradict?