Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Mkuu sijafika huko kwenye kuichambua imani iwe ina contradictions au haina.

Bado nipo kwenye neno imani au kuamini,ulivyosema hautaki kuamini bali unataka kujua haukusema hautaki kuamini imani zenye contradictions tu.

Wewe mwenyewe umesema imani iwe njia ya kuufikia ukweli/kujua tusibaki kuamini tu.
Nikisema kwamba sitaki kukaa Dodoma, nataka kupita Dodoma nikiwa njiani tu kuelekea Mwanza, utanishangaa ninaposema kwamba napita Dodoma?

Utasema inakuwaje unapita Dodoma kuelekea Mwanza, wakati wewe umesema hutaki kukaa Dodoma?

Unaelewa tofauti ya kupita na kukaa?

Nimesema sitaki kukaa Dodoma, napita tu kuelekea Mwanza. Umenikuta napita Dodoma unanishangaaje?

Hilo ndilo swali unaloniuliza hapa.
 
Unasema kwamba imani iwe kama njia ya kuujua ukweli na sio kuishia tu kuamini,hivyo ni sawa na kusema imani ni dodoma ambayo unapita kwenda mwanza(ukweli).

Sasa labda nikuulize toka watu waanze kuamini kuchomoza kwa jua(kupita dodoma) hadi leo bado hawajaufikia huo ukweli?(kufika mwanza)

Maana kama hadi leo hii kuchomoza kwa jua ni imani hivyo ni sawa na kwamba bado wapo njiani dodoma,hawajaujua ukweli na ndiyo maana bado wapo kwenye imani.
 
Nani kakwambia kuchomoza kwa jua ni sawa na kupita Dodoma?

Umefananishaje mawili hayo?

Kwa mantiki gani?

Kwa muktadha gani?

Kuchomoza jua lini?

Kwa mujibu wa nini na lini?
 
Sawa labda sikukuelewa,sasa fafanua ulikusudia nini uliposema dodoma na mwanza?
 
Ambacho hujaelewa kipi?

Tuseme Dodoma ni imani, Mwanza ni ujuzi/ukweli.

Nimekwambia sitaki kubaki kwenye imani (Dodoma) ingawa kwenye imani hapo (Dodoma) kunaweza kuwa njia ya kunifikisha kwenye ujuzi/ukweli (Mwanza).

Sasa kwa nini ukinikuta kwenye gari nipo Dodoma, naelekea Mwanza, sijakaa Dodoma, napita tu, unashangaa kama vile nimeamua kukaa Dodoma?

Unachoshangaa na kuhoji ni kipi hasa?
 
Ambacho hujaelewa kipi?

Tuseme Dodoma ni imani, Mwanza ni ujuzi/ukweli.

Nimekwambia sitaki kubaki kwenye imani (Dodoma) ingawa kwenyeimani hapo (Dodoma) kunaweza kuwa njiaya kunifikisha kwenye ujuzi/ukweli(Mwanza).

Sasa kwa nini ukinikuta kwenye gari nipo Dodoma, naelekea Mwanza, sijakaa Dodoma, napita tu, unashangaa kama vile nimeamua kukaa Dodoma?

Unachoshangaa na kuhoji ni kipi hasa?
Sasa mbona umenishangaa mie kufananisha kuchomoza kwa jua na dodoma? Au kuchomoza kwa jua sio imani tena?
 
Nimekuuliza maswali ambayo hujayajibu, na maadam hujayajibu, unaniruhusu kuendelea kukushangaa unavyoshangaa ninavyoshangaa, hujajibu maswali yangu, nikishangaa utashangaaje ninavyoshangaa wakatihujanijibu umalize mshangao?

Nimekuuliza.

Nani kakwambia kuchomoza kwa jua ni sawa na kupita Dodoma?

Umefananishaje mawili hayo?

Kwa mantiki gani?

Kwa muktadha gani?

Kuchomoza jua lini?

Kwa mujibu wa nini na lini?

Hujajibu hata swali moja katiya haya.
 
Mbona nimekuuliza maswali hujajibu?
 
Nimekuuliza maswali ambayo hujayajibu, na maadam hujayajibu, unaniruhusu kuendelea kukushangaa unavyoshangaa ninavyoshangaa, hujajibu maswali yangu, nikishangaa utashangaaje?

Nimekuuliza.

Nani kakwambia kuchomoza kwa jua ni sawa na kupita Dodoma?

Umefananishaje mawili hayo?

Kwa mantiki gani?

Kwa muktadha gani?

Kuchomoza jua lini?

Kwa mujibu wa nini na lini?

Hujajibu hata swali moja katiya haya.
Unajua wewe ndiyo uliyoleta habari za dodoma na mwanza,mie nilipofananisha dodoma na mwanza ukanishangaa na kuniuliza hayo maswali ila mie ndiyo nikaona bora nikuombe ufafanuzi kwa.ba ulikusudia nini kusema dodoma na mwanza?

Na ufafanuzi hauna tofauti na nilichoeleza ila ajabu unataka nijibu maswali wakati nilishakuomba ufafanuzi.
 
Mbona nimekuuliza maswali hujajibu?
Maswaliyapina wapi? Mimi kawaida hujibu maswali yote yenye kujibika kimantiki, hata kamajibu langu nikujibu kwamba sijui jibu.

Na yasiyojibikakimantiki husema hayajibiki kimantiki, kwa kutoa sababu.

Ila,sina uhakika kama maswaliyako nimeyaona aunimepitiwa.

Hivyo, nakuomba unioneshe kwa namba ya post au kwa kuyanukuu.

Ila kama nimekujibu, hujaelewajibu, hilo ni tatizo lako, si langu.
 
Unajua wewe ndiyo uliyoleta habari za dodoma na mwanza,mie nilipofananisha dodoma na mwanza ukanishangaa na kuniuliza hayo maswali ila mie ndiyo nikaona bora nikuombe ufafanuzi kwa.ba ulikusudia nini kusema dodoma na mwanza?

Na ufafanuzi hauna tofauti na nilichoeleza ila ajabu unataka nijibu maswali wakati nilishakuomba ufafanuzi.
Maswali yangu niliyokuliza hujajibu.

Usitake nijibu lolote kabla ya kujibu maswali yangu kwanza.

Utakuwaunataka kujibiwa bila wewe kujibu, na majibu mengine yanahitaji ujibu kwanza.

Nimekuuliza.

Nani kakwambia kuchomoza kwa jua ni sawa na kupita Dodoma?

Umefananishaje mawili hayo?

Kwa mantiki gani?

Kwa muktadha gani?

Kuchomoza jua lini?

Kwa mujibu wa nini na lini?

Hujajibu hata swali moja katiya haya.
 
Maswaliyapina wapi? Mimi kawaida hujibu maswali yote yenye kujibika kimantiki, hata kamajibu langu nikujibu kwamba sijui jibu.

Na yasiyojibikakimantiki husema hayajibiki kimantiki, kwa kutoa sababu.

Ila,sina uhakika kama maswaliyako nimeyaona aunimepitiwa.

Hivyo, nakuomba unioneshe kwa namba ya post au kwa kuyanukuu.

Ila kama nimekujibu, hujaelewajibu, hilo ni tatizo lako, si langu.
Nilikuuliza hivi, ulijulia wapi wema na uovu?
 
Mbona nakumbuka nimelijibu swali hilo kirefu sana kwa mifano na mantiki?

Au ukipewa jibu usilolipenda unaona si jibu?

Unataka nirudie ku copy and paste hapa?
 
So ni vitu ambavyo havipo kwenye utashi wako mpaka ukopi na kupaste?
 
Havipo kwenye utashi wangukivipiwakati na copy na ku paste vitu ambavyo nimeandika kukujibu, ukajifanya hujaviona?

Na hata kama sijaandika mimi, kwa nini unafikiri mtu ku copy na ku paste kitu kunafanya hicho kitukiwe nje ya utashi wake?

Kama kiko nje ya utashi wake, kwa nini a copy na ku paste?

Unaelewa hata unachoandika wewe mwenyewe?
 
si kila bada linaletwa na mungu, hata siku moja mungu asingependa wanadamu wafe au wapotee but kama unakumbuka lile neno linalosema ole wao wakaao katika nchi kwa kuwa mshitaki wenu ameshushwa duniani Basi unamjua mshitaki wako ni nani, jibu ni Shetani ambaye ni mungu wa dunia. Jiepushe na roho zidanganyazo maana shetani alipotupwa duniani alishuka na baadhi ya malaika waliokuwa wakimkubari pia na ndio hao wanaotoa vishawishi vya mtu kutomuamini kama mungu hayupo
Mungu aliweza au alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna matetemeko ya ardhi yanayofukia na kuzika hai watoto wadogo wachanga wasio na hatia?

Kabla hajaumbwa shetani, kabla hajaumbwa mtu, kabla dhambi haijakuwepo.

Aliweza kuumba ulimwengu uwe hivyo? Au hakuweza?
 
Maswali yangu niliyokuliza hujajibu.

Usitake nijibu lolote kabla ya kujibu maswali yangu kwanza.

Utakuwaunataka kujibiwa bila wewe kujibu, na majibu mengine yanahitaji ujibu kwanza.

Nimekuuliza.

Nani kakwambia kuchomoza kwa jua ni sawa na kupita Dodoma?

Umefananishaje mawili hayo?

Kwa mantiki gani?

Kwa muktadha gani?

Kuchomoza jua lini?

Kwa mujibu wa nini na lini?

Hujajibu hata swali moja katiya haya.
Sidhani kama hapa tupo kwenye chumba cha mtihani,nachojua hapa tunajadiliana. Tatizo umejielekeza ushindani wa ubishi na mie sipo hapa kushindana na wewe kuonesha ni nani mbishi au ana maswali magumu.

Sioni haja ya kunilazimisha kujibu tu maswali wakati nimeshajieleza,kama unaona kuna nilipochanganya elezea hiyo sehemu.

Eleza ni vp nimekosea kwa kulinganisha dodoma na imani ya kuchomoza jua kuliko kunilazimisha nikujibu tu maswali.
 
Back
Top Bottom