Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Nikisema kwamba sitaki kukaa Dodoma, nataka kupita Dodoma nikiwa njiani tu kuelekea Mwanza, utanishangaa ninaposema kwamba napita Dodoma?Mkuu sijafika huko kwenye kuichambua imani iwe ina contradictions au haina.
Bado nipo kwenye neno imani au kuamini,ulivyosema hautaki kuamini bali unataka kujua haukusema hautaki kuamini imani zenye contradictions tu.
Wewe mwenyewe umesema imani iwe njia ya kuufikia ukweli/kujua tusibaki kuamini tu.
Utasema inakuwaje unapita Dodoma kuelekea Mwanza, wakati wewe umesema hutaki kukaa Dodoma?
Unaelewa tofauti ya kupita na kukaa?
Nimesema sitaki kukaa Dodoma, napita tu kuelekea Mwanza. Umenikuta napita Dodoma unanishangaaje?
Utasema inakuwaje unapita Dodoma kuelekea Mwanza, wakati wewe umesema hutaki kukaa Dodoma?
Hilo ndilo swali unaloniuliza hapa.