Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Nashukuru umekuwa sasa!Mungu wao ni kiziwi
Huyu jamaa zevezing sana rangi ya kinyonga
Mbingu zinashukaUshamba wao tu,AIC wanaamin kucheza mamiziki na kuruka ruka wanabarikiwa sana kumbe wapi
Imani yetu "sisi" wapiga mayowe ni kwamba,Mungu yupo mbali mnoo.Hivyo inabidi tupaze sauti zetu ili zifike mbingu ya Saba.Ameeen?Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa SITA usiku.
Kwa ibada ndefu za makelele zinasababisha maswali mengi sana, huenda Mungu wao Yuko mbali sana. Huenda haelewi Kiswahili hivyo inabidi wampigie makelele mazito ili aweze kubahatisha baadhi ya maneno.
Labda Yuko busy sana hivyo wanamahtua ili awakumbuke...
Maswali ni mengi majibu ni haba.
Na spika zinazotumika ni made in India za waabudu ng'ombe.Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa SITA usiku.
Kwa ibada ndefu za makelele zinasababisha maswali mengi sana, huenda Mungu wao Yuko mbali sana. Huenda haelewi Kiswahili hivyo inabidi wampigie makelele mazito ili aweze kubahatisha baadhi ya maneno.
Labda Yuko busy sana hivyo wanamahtua ili awakumbuke...
Maswali ni mengi majibu ni haba.
Religion without reasoning its MADNESS..Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa SITA usiku.
Kwa ibada ndefu za makelele zinasababisha maswali mengi sana, huenda Mungu wao Yuko mbali sana. Huenda haelewi Kiswahili hivyo inabidi wampigie makelele mazito ili aweze kubahatisha baadhi ya maneno.
Labda Yuko busy sana hivyo wanamahtua ili awakumbuke...
Maswali ni mengi majibu ni haba.
Hatare iseeeImani yetu "sisi" wapiga mayowe ni kwamba,Mungu yupo mbali mnoo.Hivyo inabidi tupaze sauti zetu ili zifike mbingu ya Saba.Ameeen?
Mathayo 6:7LUKA 19:40 - "Nawaambia kwamba hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele"
When we choose to understand rather than judge, to listen rather than condemn, and to respect rather than fear, we actively create harmony among all faiths
NB: EMBRACE TOLERANCE
✔️Mathayo 6:7
[7]Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.
But when ye pray, use not vain repetitions, as the heathen do: for they think that they shall be heard for their much speaking.
Religion without reasoning its MADNESS..
Religion without reasoning its MADNESS..
Hivi China wanamuabudu Nani?Na spika zinazotumika ni made in India za waabudu ng'ombe.