Je, Mungu wa walokole hasikii hadi apigiwe makelele Makubwa?

Je, Mungu wa walokole hasikii hadi apigiwe makelele Makubwa?

Hivi wewe una akili timamu kweli? unaelewa hata comment yangu uliyoiquote iliuliza swali gani?
Kuna sehemu mimi nimesema nakerwa na hizo kelele? wewe unajua mm naishi wapi?

Umeelewa swali nililouliza kwenye comment yangu?
Acha shobo za kuvamia comment za wanaume.
lini umekuwa mwanaume we mshangazi?
 
Wakuu kuna mkoa niko likizo ila cha ajabu hii saa 11 nimeamshwa na mziki mzito sana wa maspika.
Nimejiuliza sana hawa watu kwanini hawajali watu wengine, wanawezaje kuacha wake zao vitandani alfajiri yote hii kuja kupigia watu kelele? Ni yesu gani ili asikie anahitaji makelele yote hayo?
Machawa wa ccm ndio wendawazimu kukiko mtu yeyote duniani, fuatilia nyuzi za shangazi Lucas utanielewa
 
Wakuu kuna mkoa niko likizo ila cha ajabu hii saa 11 nimeamshwa na mziki mzito sana wa maspika.
Nimejiuliza sana hawa watu kwanini hawajali watu wengine, wanawezaje kuacha wake zao vitandani alfajiri yote hii kuja kupigia watu kelele? Ni yesu gani ili asikie anahitaji makelele yote hayo?

Na waislam vipi ndugu?
 
Japo sipingi imani za watu ila honestly walokole wana shida katika ishu ya kuabudu japo wao hawaioni kabisa
Ibada za utulivu nenda SDA ,ROMAN CATHOLIC na K K K T yaani hawa wengine hawajui hata kuheshimu wengine katika mambo yao hicho tosha ni kipimo cha kwamba hawana Mungu bali mapokeo yasiyo na tija
RC tu uhakika bila kelele
 
Ndio maana sipendi kukaa karibu na bar, kanisa au msikiti.

Afya yangu ya akili naithamini Sana, I mean no malice to nobody
 
Kuna wengine wanajiita TAG wapo jirani jtano ya Kila wiki Huwa na mkesha na jmos Kila wiki siku hizi hata Watoto wanalala Kwa shida sana.

Kuna mtoto Hadi nyimbo zao na kunena Kwa lugha kashajua wakianza na yeye anadakia huku ...maana nyimbo ni zile zile maombi ni yaleyale
Hiyo ni vita ya kiroho nawewe unatumika na adui ,ushindwe kwa jina la yesu
 
Japo sipingi imani za watu ila honestly walokole wana shida katika ishu ya kuabudu japo wao hawaioni kabisa
Ibada za utulivu nenda SDA ,ROMAN CATHOLIC na K K K T yaani hawa wengine hawajui hata kuheshimu wengine katika mambo yao hicho tosha ni kipimo cha kwamba hawana Mungu bali mapokeo yasiyo na tija
hayo madhehebu uliyoyataja huo ndio utaratibu na muongozo wa kufanya ibada zao. Sasa inakuaje ukerwe na taratibu za ibada za watu wengine? Hizo kelele ndio ibada yao unapaswa kuziheshimu bila kukerwa
 
mungu wa kisanii , uliona wapi anataka makelele? rakatatataaaaaaaaaaaaaaaa rukutuuuuuuuuu
 
At noon Elijah began to taunt them. “Shout louder!” he said. “Surely he is a god! Perhaps he is deep in thought, or busy, or traveling. Maybe he is sleeping and must be awakened.”
 
Back
Top Bottom