Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 1,136
- 1,118
Bila kuingialia imani za dini hizo kelele za adhana na yale masipika ya kanisani yanakera sanazile adhana za saa kumi na moja vipi budaaa? kama huamini mungu ni wewe, maambo yao waaachie wenyewe