LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
lini umekuwa mwanaume we mshangazi?Hivi wewe una akili timamu kweli? unaelewa hata comment yangu uliyoiquote iliuliza swali gani?
Kuna sehemu mimi nimesema nakerwa na hizo kelele? wewe unajua mm naishi wapi?
Umeelewa swali nililouliza kwenye comment yangu?
Acha shobo za kuvamia comment za wanaume.