Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 1,136
- 1,118
Bila kuingialia imani za dini hizo kelele za adhana na yale masipika ya kanisani yanakera sanazile adhana za saa kumi na moja vipi budaaa? kama huamini mungu ni wewe, maambo yao waaachie wenyewe
Adhana ni wito.zile adhana za saa kumi na moja vipi budaaa? kama huamini mungu ni wewe, maambo yao waaachie wenyewe
Uko sahihi mkuuWafuasi wa manabii ni vichaa wanaovaa nguo.
Ni wewe hapo mwendawazimu sugu.
Wakuu kuna mkoa niko likizo ila cha ajabu hii saa 11 nimeamshwa na mziki mzito sana wa maspika.
Nimejiuliza sana hawa watu kwanini hawajali watu wengine, wanawezaje kuacha wake zao vitandani alfajiri yote hii kuja kupigia watu kelele? Ni yesu gani ili asikie anahitaji makelele yote hayo?
Adhana huchukua muda gani mkuu?zile adhana za saa kumi na moja vipi budaaa? kama huamini mungu ni wewe, maambo yao waaachie wenyewe
Jamaa aache watu wamuabudu Mungu kama ambavyo waislam wanavyotupigia kelele muda wa adhana alfajiriNgoja nikuitie ndugu mtumishi matunduizi atoe neno la kuwakemea pepo wachafu hapa!
Hujawazi kuuliza wanaoamsha watu alfajiri kwa kelele kutoka misikitini ila kanisa moja tu umekuja kutoa povu hapa.Wakuu kuna mkoa niko likizo ila cha ajabu hii saa 11 nimeamshwa na mziki mzito sana wa maspika.
Nimejiuliza sana hawa watu kwanini hawajali watu wengine, wanawezaje kuacha wake zao vitandani alfajiri yote hii kuja kupigia watu kelele? Ni yesu gani ili asikie anahitaji makelele yote hayo?
Jamaa aache watu wamuabudu Mungu kama ambavyo waislam wanavyotupigia kelele muda wa adhana alfajiri
acha watu waabudu Mungu wao kwa namna wawezavyo, we unashindwa kulala nini? ziba masikio usisikie kama vipi. Mnakerwagwa na vitu minus sana!Adhana huchukua muda gani mkuu?
Na hayo makelele ya hao walokole huchukua muda gani?
Kwani tunatumia kipimo gani?Sijawazidi hawa wehu aisee
Hivi wewe una akili timamu kweli? unaelewa hata comment yangu uliyoiquote iliuliza swali gani?acha watu waabudu Mungu wao kwa namna wawezavyo, we unashindwa kulala nini? ziba masikio usisikie kama vipi. Mnakerwagwa na vitu minus sana!