Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

kuielewa biblia unahitaji KARAMA NA UJAZO WA ROHO MT.
Na Wala SIYO machapisho ya maproffersor
ni ajabu MTU kama wewe na mwanaume kuamin maproffersor ZAIDI kuliko ROHO MTAKATIFU.
na wengi wamekuwa wagumu kuelwa/kutambua
kuhusu ROHO MTAKATIFU
Mungu mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi andika andiko gumu kias kwamba mimi maduhu kchwa panzi mkazi wa simiyu nisilielewa..Kwan huyo mungu wenu hajui uwepo wang mm Maduhu kichwa panzh
 
Mungu mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi andika andiko gumu kias kwamba mimi maduhu kchwa panzi mkazi wa simiyu nisilielewa..Kwan huyo mungu wenu hajui uwepo wang mm Maduhu kichwa panzh
MKUU unapomtaja MUNGU (Our Heaven Father )unapaswa kumtaja kwa heshima kubwa na SIYO kumtaja kwa dhihaka na kejeli..
hakika watu wengi mmekosa elimu ya ki roho....
hapo ndipo msingi wa tatz unapojitokeza
kukupa elimu na ufahamu.kwanza yakupasa uwe na utayri na Wala SIYO kejeli
 
Musa alipokuwa mlima Sinai siku 40 Mungu alimweleza habari zote tangu mwanzo. Yaani alimweleza asili ya mwanadamu ilianzia kwa Adamu! Alimpa mtiririko wote jinsi mambo yalivyokuwa. Musa aliandika kile alicho ambiwa.
Hii imeandikwa wapi/source au proof yako ni nini?
 
Ni kitabu cha musa pia na maudhui yake ni chanzo au asili ya ulimwengu ulivyoanza na viumbe vyote akiwamo binadamu chanzo chao ni nini
Lakini kama ukikisoma kwa makini utagundua chanzo cha masimulizi yote katika kitabu cha mwanzo ni Mungu mwenyewe
 
Yap periodization ya ayubu ina utata pia inasemekana ilikua ni drama tu watu waliigiza ikaonekana ni drama nzuri yenye mafundisho. Vitabu vingi vya agano la kale ikiwemo vya mwanzo havikuandikwa na manabii wenyewe. Ni habari zilizotunzwa kwa njia ya masimulizi baadae Sana waisrael wakaona masimulizi yao yatapotea wakaamua kuyaweka kwenye maandishi ila vtabu vile wakavidedicate kwa manabii waliosimuliwa wakawa Kama waandishi wa vitabu hivyo.

Pia zipo cultural factors zilizoingia kwa Biblia mfano amri kumi za Mungu zilianza kutumika maeneo mengine hata kabla Musa hajapewa mlima Sinai. Acheoligical evidence zinaonesha Babylon walianza kutumia amri hizo mapema. Hata neno Yahwe limetolewa kwa Babylon ni Mungu wa kipagan
 
We jamaa unaleta miracle zako za kilokole hapa kwa kudanganya na kuadaaa watu, angalia usitumiwe vibaya na shetani
 
Ni kitabu cha musa pia na maudhui yake ni chanzo au asili ya ulimwengu ulivyoanza na viumbe vyote akiwamo binadamu chanzo chao ni nini
Lakini kama ukikisoma kwa makini utagundua chanzo cha masimulizi yote katika kitabu cha mwanzo ni Mungu mwenyewe
Well and good kama ni cha Musa.... Unaweza ukatueleza ulivyoelewa hiyo mistari nilioambatanisha kwa faida ya wasomaji.
 
Kwahiyo ndio nasubiri wajuvi mnisaidie kama kitabu cha mwanzo kilieditiwa na watu wengine alafu wakadai kimeandikwa na Musa hilo ndio swali na kama si kweli basi tusaidiane kuchambua hyo mistari hapo juu aliandika nani??
 
Mkuu musa alikuwa na mwanafunzi wake mwaminifu kabisa alieitwa yoshua huyu aliiendeleza kazi ya musa. Ndio maana musa alivyopotea mlimani yoshua alishika mahala pake
 
Hizo siku 40 Musa alipokuwa juu ya mlima Sinai alijua Musa anafanya nini? Au wewe unajua?
Kwanini unafanya assumptions?? Biblia imeshasema kwenye ufunuo kuwa usiongeze maarifa yako kwenye neno la Mungu.... Sasa wwe ambaye unazusha kuwa zile siku 40 Musa aliandika kitabu cha mwanzo ilihali wote tunajua alikuwa akipewa amri 10 za Mungu je unaweza kutusaidia umetoa wapi hyo reference??? Kingine kitabu cha mwanzo kimeandikwa mara ya kwanza kabisa 600 BC sasa je Musa aliishi 600 BC??

Embu twende taratibu mtumishi
 
Mkuu musa alikuwa na mwanafunzi wake mwaminifu kabisa alieitwa yoshua huyu aliiendeleza kazi ya musa. Ndio maana musa alivyopotea mlimani yoshua alishika mahala pake
Okay mkuu lakini je Joshua alikuwepo kushuhudia wakardayo kiasi aandike kwa kutumia past tense kitu ambacho bado hakijatokea kwenye historia?? Je joshua alishuhudia kabila la Dani likipewa mji wake ilihali alishakuwa amekufa...... Kinachoshangaza haya maneno yameandikwa kwa past tense ikimaanisha aliyeandika alikuwa ameishi miaka zaidi ya 400 toka Musa afe ndio swali linakuja joshua na musa waliwezaje kuandika kwa PAST tense mambo ambayo bado hayajatokea???hapo ndio kunaleta maswali
 
Acha nikae kimya nisije chafua UZI
 
Sitaki kuamini. Kuamini hata uongo unaamini tu.

Nataka kujua. Kwa fact. Kwa uthibitisho.

Ushanielewa?

Hiyo roho unayoisema unaweza kuthibitisha ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…