Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa mkuu kuwa kimeandikwa na wanafunzi wake.... Je hao wanafunzi wake waliandika kipindi Musa akiwa hai bado maana mfano hiyo Issue ya wakaldayo walianza kuwepo miaka zaidi ya 400 baada ya Musa kufa je hao wanafunzi wake bado walikuwepo?? Hilo ndio nalotaka kufahamu kwamba final copy ya genesis ilitengenzwa na musa mwenyewe au kuna watu walimtumia musa tu kama moja ya chanzo cha taarifa zao ndio wakaja na final copy ya kitabu cha Mwanzo??
Kuna mawili hapa.kuielewa biblia unahitaji KARAMA NA UJAZO WA ROHO MT.
Na Wala SIYO machapisho ya maproffersor
ni ajabu MTU kama wewe na mwanaume kuamin maproffersor ZAIDI kuliko ROHO MTAKATIFU.
na wengi wamekuwa wagumu kuelwa/kutambua
kuhusu ROHO MTAKATIFU
sasa hapo Mr kiranga utataka mabishano.Kuna mawili hapa.
Kuna imani. Kuna fact.
Imani siwezi kubisha. Una haki ya kuamini unavyotaka.
Kwa fact. Roho Mtakatifu hujaweza kuthibitisha yupo.
Kama unaweza, thibitisha.
Swali la Roho Mtakatifu ni la kiimani kwa maelezo yako umekubali uwezi kubishaKuna mawili hapa.
Kuna imani. Kuna fact.
Imani siwezi kubisha. Una haki ya kuamini unavyotaka.
Kwa fact. Roho Mtakatifu hujaweza kuthibitisha yupo.
Kama unaweza, thibitisha.
Unajuaje kama hakujitungia mkuuMusa alipokuwa mlima Sinai siku 40 Mungu alimweleza habari zote tangu mwanzo. Yaani alimweleza asili ya mwanadamu ilianzia kwa Adamu! Alimpa mtiririko wote jinsi mambo yalivyokuwa. Musa aliandika kile alicho ambiwa.
Una ushahidi wa kimaandiko ku support hoja yako?Musa alipokuwa mlima Sinai siku 40 Mungu alimweleza habari zote tangu mwanzo. Yaani alimweleza asili ya mwanadamu ilianzia kwa Adamu! Alimpa mtiririko wote jinsi mambo yalivyokuwa. Musa aliandika kile alicho ambiwa.
Ni alipewa amri kumi za Mungu.. vingine ni siri yake na MunguWewe unafikiri zile siku 40 juu ya mlima Sinai Musa alikuwa anafanya nini?
Kutoka 3:5-18 ni ushahidi piaUna ushahidi wa kimaandiko ku support hoja yako?
Bora zibaki tu kuwa firka zako..Maana tuna ambiwa Musa alipotoka kuonana na Mungu alikuja akiwa amebeba zile mbao mbili zenye amri za Mungu tu na sio kingineKwanza maana halisi ya Mtume ni nini ? Kumbuka Yesu aliongelea mambo yaliyopita na yajayo. kwa hiyo Musa kipindi anawasilina na Mungu sio kwamba alipewa maagizo tu, fahamu kwamba Kuna vitu vingine alihitaji kufahamu hivyo alipewa nafasi ya kuuliza na akaelezwa. katika dhana kama hiyo Kama unatafakari kwa undani enzi hizo asingekua na cha zaidi ya kuuliza historia ya kufahamu chimbuko la wana Israel. pili, muda aliokaa mlima Sinai ni muda mrefu mpaka wafuasi wake waka kata tamaa, jiulize utakua ni muda gani watu wakate tamaa baada ya kutolewa kwenye vizuizi vya hatari na maajabu dhahiri na walikuwa wana msujudia Mungu wao kwa ukuu wake na miujiza mingi. hapa inaonyesha kwamba alichukua muda mrefu sana akiwa mlimani. pia kumbuka kwamba hawa Mitume walikua wanachaguliwa na mungu mwenyewe kuanzia utungaji wa mimba mpaka ukubwani, kwa hiyo karma waliyo kua nayo ilikua ni yake yeye mwenyewe Mungu kwa ajili ya kazi yake.
Ni kwa fikra zangu tuu.
Ushahidi gani unao taka? Wa kingereza au kiswahili!Una ushahidi wa kimaandiko ku support hoja yako?
nafikiri na wewe unajua umeandika upuuzi hapaMusa alipokuwa mlima Sinai siku 40 Mungu alimweleza habari zote tangu mwanzo. Yaani alimweleza asili ya mwanadamu ilianzia kwa Adamu! Alimpa mtiririko wote jinsi mambo yalivyokuwa. Musa aliandika kile alicho ambiwa.
jua,nyota na mwezi viliumbwa siku ya nne(kwa mujibu wa biblia)Kitabu cha Mwanzo ndiyo kitabu cha kwanza cha Agano la Kale na kiliandikwa na Nabii Musa.
Kinatoa historia ya mianzo mingi ya mambo, kama vile uumbaji wa dunia, kuwekwa kwa wanyama na mwanadamu juu ya dunia, anguko la Adamu na Hawa, kufunuliwa kwa injili kwa Adamu, mwanzo wa makabila na jamii, asili ya lugha mbalimbali katika Babeli, na mwanzo wa familia ya Ibrahimu inayoongoza kuanzishwa kwa nyumba ya Israeli.
Nafasi ya Yusufu kama mhifadhi wa Israeli inadhihirishwa katika Mwanzo.
Ufunuo wa siku za mwisho unathibitisha na kubainisha taarifa iliyoandikwa katika Mwanzo (1 Ne. 5; Eth. 1; Musa 1–8; Ibr. 1–5).
Katika Kitabu cha Mwanzo, mlango wa 1–4 inahusisha uumbaji wa ulimwengu na kukua kwa familia ya Adamu.
Mlango wa 5–10 inaandika historia ya Nuhu. Mlango wa 11–20 inamtaja Ibrahimu na familia yake hadi wakati wa Isaka.
Mlango wa 21–35 inafuatilia familia ya Isaka. Mlango wa 36 unasimulia juu ya Esau na familia yake.
Mlango wa 37–50 inasimulia juu ya familia ya Yakobo na kutoa historia ya Yusufu kuuzwa Misri na nafasi yake katika kuiokoa nyumba ya Israeli.
Hiyo siri ndiyo kitabu chote cha mwanzo.Ni alipewa amri kumi za Mungu.. vingine ni siri yake na Mungu
hajawwahi kupewa amri kumi na mungu wala ushu.ziNi alipewa amri kumi za Mungu.. vingine ni siri yake na Mungu
Wewe mungu wako aliumba nini? Na kabla ya hilo giza mungu wako alikuwa wapi?jua,nyota na mwezi viliumbwa siku ya nne(kwa mujibu wa biblia)
siku tatu kabla mungu wako wa israeli alikuwa anaonaje wakati kulikuwa na giza?
Kama mimi nimeandika upuuzi wewe utakuwa umeandika nini?nafikiri na wewe unajua umeandika upuuzi hapa
wewe ndio umtetee mungu wako hapaWewe mungu wako aliumba nini? Na kabla ya hilo giza mungu wako alikuwa wapi?