Story hii ya moses ilikuja kuandikwa karibu miaka elfu moja baadae,kuwepo au kutokuwepo kwa sanduku la agano pia ni jambo la mjadala,waandishi walioandika hiyo habari hawakujua ama walisahau kutilia maanani kwamba enzi za moses ,miaka ya 3400 BC watu waliandika kwa kutumia cuneiform kama hiiundefined
.undefinedUkiomba leo uone origin ya vitabu vya moses hutaona maana havikuwepo,lakini kuna jamii za eneo hilo mfano mafarao,sumerian etc unaweza kubahatisha kwenye museum maandiko ya kale,undefinedswali ni what happened kwa maandiko original ya moses kama kweli yalipata kuwepo