Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

Wewe unafikiri zile siku 40 juu ya mlima Sinai Musa alikuwa anafanya nini?
undefinedkarudi usome kwa makini hivyo vitabu vitano kisha ujiulize binafsi je hii kweli ni namna mungu alivyonarrate akimweleza musa na huyo musa aliwezaje kuyacopy neno kwa neno ukichukulia zama hizo waliandikia kwenye udongo,hakukuwa na karatasi
 
Kwahiyo unataka kusemaje?
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote

Acha Tujifunze Kupata Uelekeo Wa Mbinguni Maana Duniani Kumejaa Shida Dhiki Na Mahangaiko Tele
 
@blackstarline,moses hakupata kuwepo,hilo ndo nataka kusema
 
Hizo siku 40 Musa alipokuwa juu ya mlima Sinai alijua Musa anafanya nini? Au wewe unajua?
undefinedkipindi kinachodaiwa moses kuwepo ni kipindi ambacho watu waliandika kwenye tablet za udongo,hebu imagine sasa kitabu cha mwanzo peke yake utapata tani ngapi za kubeba,tatizo una assume kuwa enzi hizo kulikuwa na kalamu na karatasi,nadhani umewahi ona michoro ikimuonyesha moses ana zile mbao mbili za mawe zenye amri kumi,sasa kama amri kumi pekee zinatumia tablet ya jiwe la kilo 2,imagine sasa robo tu ya kitabu cha mwanzo zingejaa treni behewa ngapi,au unataka kusema moses alikwenda mlimani na timu ya macargo
 
Lakini Mungu alimwambia Musa aandike tena pamoja na sheria zote nyingine katika kitabu (chuo) kinachoitwa torati! Tusoma Kumb. 31:24-26, “Basi ikawa hapo Musa alipomaliza kuandika maneno ya torati hii katika chuo, hata yakaisha, ndipo Musa akawaamuru Walawi waliokuwa wakilichukua sanduka la agano la Bwana, akawaambia, Twaeni chuo hiki cha torati, mkiweke kando ya sanduka la agano la Bwana, Mungu wenu, ili kiwepo kama shahidi juu yako.” Sasa tuangalia, Kut. 24:4 na 7, “Basi Musa akayaandika maneno yote ya Bwana.....Kisha akakitwaa kitabu cha agano akakisoma masikioni mwa watu; wakasema, hayo yote aliyoyanena Bwana tutayatenda, nasi tutatii.”
 
Hapo ndo unawishika watu,sanduku hilo lilikuwa kubwa kiasi gani,na hicho kitabu alichokitoa kwenye sanduku kilikuwa kimetengezwa kwa material yapi,wakati kipindi hicho lugha ya kuandika kwanza haijadevelop kama leo,walikuwa wakitumia cuneiform,jaribu kusearch maana yake,hakukuwa na vitabu zama hizo za iron age
 
Kwahiyo unataka kusema hilo sanduku halikwepo au?
 
Story hii ya moses ilikuja kuandikwa karibu miaka elfu moja baadae,kuwepo au kutokuwepo kwa sanduku la agano pia ni jambo la mjadala,waandishi walioandika hiyo habari hawakujua ama walisahau kutilia maanani kwamba enzi za moses ,miaka ya 3400 BC watu waliandika kwa kutumia cuneiform kama hiiundefined
File:Early_writing_tablet_recording_the_allocation_of_beer.jpg
.undefinedUkiomba leo uone origin ya vitabu vya moses hutaona maana havikuwepo,lakini kuna jamii za eneo hilo mfano mafarao,sumerian etc unaweza kubahatisha kwenye museum maandiko ya kale,undefinedswali ni what happened kwa maandiko original ya moses kama kweli yalipata kuwepo
 
Ilikuja kuandikwa na nani? Na huyo aliye andika hakupewa maelekezo na Mungu?
 
Ndo sasa usome Documentary hypothesis,sijui kama nimepatia spelling,ila mleta mada kakupa link,pia wikipedia ipo na hata ukigoogle hiyo key word utapata result kibao usome mwenyewe
 
Kwaio story ikawa imeishia hapo mkuu ? Haukufanya jitihada zozote ili tupate neno lolote hapa?
Kuna kitu umekisema nimekumbuka mchungaji mmoja aliekua anatupa mahubiri alitupa ahad ya kutuambia Ayubu ni wa zamani kuliko hata Mussa,ila akasema atakuja kutupa ufafanuzi bahat mbaya alifariki siku moja kabla ya siku ya ahadi,umesema kitu cha ayubu hapo nikakukbuka hii
 
Back
Top Bottom