FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #81
Hapaa hakuna Muungano, Muungano gani huu, huu ni mtego wa kupe kumnyonya ng’ombe. WaTanganyika tunakamuliwa kuwalewa matoto ya kambo Zenjiundefined Muungano.! Haieleweki mpk watu tunazeeka na kufa aileweki maana yake. Karne hii ya uwazi! Tunaona mwisho wake
Wanafiki nyie Watanganyika wewe umeona wapi watu milioni 11,289,556 mwaka 1964 kuungana na Zanzibar watu 76,000 mwaka 1964 Huo ndio Unafiki wenu Watanganyika huyo Baba enu mchonga meno yeye mwenyewe alikuwa kibaraka tu wa wazungu .Karume alipotaka kuuvunja muungano aliuliwa kesi ya uhaini Znz Mr X akitajwa alikuwa Nyerere .Jumbe vile vile akitaka kuuvunja muungano wakanfukuza ndio maana munasema mutaulinda kwa nguvu zote so nyinyi ndio limbukeni wa muungano washamba wa muungano .Kwenye Bunge si umeaona kelele just kusema watanganyika waingie Znz kwa paspoti .Huu Muungano sio wa haki na Utavunjika tu siku moja.Kuna baadhi ya watu wa bara including wewe wana chuki na hikdi na Wazanzibari na Zanzibar,ikiwa alishindwa Baba enu kaiacha na wewe na wenzako wewe mutaiacha.Haki itasimama tu .Nyinyi Wazanzibari ni wanafiki tu. Sasa kama hamuutaki huu muungano, si muendeshe kura ya maoni ili mjitenge. Maana kwenu ni rahisi zaidi kufanya hivyo kuliko upande wa Tanganyika.
Tanganyika inafaidika nini na hiki kinachoitwa Muungano?Wanafiki nyie Watanganyika wewe umeona wapi watu milioni 11,289,556 mwaka 1964 kuungana na Zanzibar watu 76,000 mwaka 1964 Huo ndio Unafiki wenu Watanganyika huyo Baba enu mchonga meno yeye mwenyewe alikuwa kibaraka tu wa wazungu .Karume alipotaka kuuvunja muungano aliuliwa kesi ya uhaini Znz Mr X akitajwa alikuwa Nyerere .Jumbe vile vile akitaka kuuvunja muungano wakanfukuza ndio maana munasema mutaulinda kwa nguvu zote so nyinyi ndio limbukeni wa muungano washamba wa muungano .Kwenye Bunge si umeaona kelele just kusema watanganyika waingie Znz kwa paspoti .Huu Muungano sio wa haki na Utavunjika tu siku moja.Kuna baadhi ya watu wa bara including wewe wana chuki na hikdi na Wazanzibari na Zanzibar,ikiwa alishindwa Baba enu kaiacha na wewe na wenzako wewe mutaiacha.Haki itasimama tu .
Ndio hapo pa kujiuuliza ?Kama hamufaidiki kwa nini mumeungana na Znz Wazanzibari walikuja bara kuomba muungano .Muulize Nyerere .Kwanza fufueni Tanganyika yenu, hili jina la Tanganyika naona kama hamulependi .Tanganyika inafaidika nini na hiki kinachoitwa Muungano?
Sasa kama Zenj inapata faida zote hizo nilizotaja, na Tanganyika inapata hasara zote hizi, basi ndio tunapendekeza pawe na Muungano wa kweli chini ya Rais mmoja.Ndio hapo pa kujiuuliza ?Kama hamufaidiki kwa nini mumeungana na Znz Wazanzibari walikuja bara kuomba muungano .Muulize Nyerere .Kwanza fufueni Tanganyika yenu, hili jina la Tanganyika naona kama hamulependi .
Kwani nyinyi mumeungana na nchi gani ? Kama ni Znz itabaki kuwa Znz na Tanganyika itabaki kuwa Tanganyika solution ni Serikali tatu tu Mfano mzuri wa muungano ni wa UAE wameungana lkn kila nchi ina serikali yake na kufanya mambo yake sio kuvutana leo waziri wa Tanganyika /Tz ana sauti ya kukutaza mambo ya maendeleo ya visiwani si ujinga huo .Serikali ziwe tatu other wise vunja muungano.Sasa kama Zenj inapata faida zote hizo nilizotaja, na Tanganyika inapata hasara zote hizi, basi ndio tunapendekeza pawe na Muungano wa kweli chini ya Rais mmoja.
Tanganyika haijawahi kuungana na nchi yeyote, hiki kinachoitwa Muungano si Muungano, bali ni unyonyaji, tunataka huu utegemezi na unyonyaji wa wala urojo ufike mwisho kwa kuwa na Muungano wa kweli chini ya rais mmoja wa nchi moja, au waondoke wakajitegemee..Kwani nyinyi mumeungana na nchi gani ? Kama ni Znz itabaki kuwa Znz na Tanganyika itabaki kuwa Tanganyika solution ni Serikali tatu tu Mfano mzuri wa muungano ni wa UAE wameungana lkn kila nchi ina serikali yake na kufanya mambo yake sio kuvutana leo waziri wa Tanganyika /Tz ana sauti ya kukutaza mambo ya maendeleo ya visiwani si ujinga huo .Serikali ziwe tatu other wise vunja muungano.
Simple Vunjeni muungano unapiga kelele sana na povu linakutoka.Tanganyika haijawahi kuungana na nchi yeyote, hiki kinachoitwa Muungano si Muungano, bali ni unyonyaji, tunataka huu utegemezi na unyonyaji wa wala urojo ufike mwisho kwa kuwa na Muungano wa kweli chini ya rais mmoja wa nchi moja, au waondoke wakajitegemee..
Unataka mimi nivunje Muungano? Mimi ndio Bunge? Kazi yangu ni kuleta hoja, wakiona inafaa watafanyia kazi..Simple Vunjeni muungano unapiga kelele sana na povu linakutoka.
Ndoa yetu na Mpenzi wetu Zanzibar kamwe haitavunjika hadi Kiyama. Tutailinda hii ndoa pendwa kwa nguvu zote.Wanafiki nyie Watanganyika wewe umeona wapi watu milioni 11,289,556 mwaka 1964 kuungana na Zanzibar watu 76,000 mwaka 1964 Huo ndio Unafiki wenu Watanganyika huyo Baba enu mchonga meno yeye mwenyewe alikuwa kibaraka tu wa wazungu .Karume alipotaka kuuvunja muungano aliuliwa kesi ya uhaini Znz Mr X akitajwa alikuwa Nyerere .Jumbe vile vile akitaka kuuvunja muungano wakanfukuza ndio maana munasema mutaulinda kwa nguvu zote so nyinyi ndio limbukeni wa muungano washamba wa muungano .Kwenye Bunge si umeaona kelele just kusema watanganyika waingie Znz kwa paspoti .Huu Muungano sio wa haki na Utavunjika tu siku moja.Kuna baadhi ya watu wa bara including wewe wana chuki na hikdi na Wazanzibari na Zanzibar,ikiwa alishindwa Baba enu kaiacha na wewe na wenzako wewe mutaiacha.Haki itasimama tu .
Pia hainaga bunge. Yani ukifikiri kwa kina utachokaKila nchi unamanisha ipi na ipi?Mbona Tanganyika Haina
-Raisi
-Katiba
-Jeshi
Jibu hoja.Ndoa yetu na Mpenzi wetu Zanzibar kamwe haitavunjika hadi Kiyama. Tutailinda hii ndoa pendwa kwa nguvu zote.
Sijaona hoja zaidi ya Wazanzibari kudeka kama mke mdogo. Fursa za ajira rasmi Serikali wanapata huku Tanganyika bila ubaguzi, wanamiliki ardhi na majumba, wanapata nafasi za uongozi bila ubaguzi wakati watanganyika kule zenj hata ubalozi hawastahili kupata wala hawaruhusiwi kumiliki hata kiwanja kama raia. Wazanzibar watulie tuwabemende kwanza.Jibu hoja.
Hizo hoja ulizozitaja sio hoja? ZijibuSijaona hoja zaidi ya Wazanzibari kudeka kama mke mdogo. Fursa za ajira rasmi Serikali wanapata huku Tanganyika bila ubaguzi, wanamiliki ardhi na majumba, wanapata nafasi za uongozi bila ubaguzi wakati watanganyika kule zenj hata ubalozi hawastahili kupata wala hawaruhusiwi kumiliki hata kiwanja kama raia. Wazanzibar watulie tuwabemende kwanza.
Tanganyika haijawahi kuungana na nchi yeyote, hiki kilichopo ni unyonyaji na utegemezi wa mitoto ya kambo Zenji, tumewachoka!. Tuungane chini ya Rais mmoja na nchi moja, au mrudi kwenu mkajitegemee!Wewe Umeona wapi katika dunia hii kisiwa cha watu milioni mbili kuungana na watu milino 60 .Hii kweli inaingia akilini jiulize apo kuna kitu behind it kitafute UTAKIJUA.Tanganyika mungeungana na Kenya au Ugandaa na sio Zanzibar.
Bora Kurudi kwetu mbona tunaomba kila siku lkn Tanganyika vinganganiziTanganyika haijawahi kuungana na nchi yeyote, hiki kilichopo ni unyonyaji na utegemezi wa mitoto ya kambo Zenji, tumewachoka!. Tuungane chini ya Rais mmoja na nchi moja, au mrudi kwenu mkajitegemee!