Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
TLS ya akina Hosea?!Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwq wananchi.
Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki .
Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji wanayolalamikiwa hatujawahi kusikia Tls wakiwaburuta mahakamani Polisi.?
Je Mwabukusi atathubutu kusaidia raia dhidi ya uonevu huu?
Umepata wapi akili ya kuandika au umeandikiwa na makamandaTangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwq wananchi.
Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki .
Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji wanayolalamikiwa hatujawahi kusikia Tls wakiwaburuta mahakamani Polisi.?
Je Mwabukusi atathubutu kusaidia raia dhidi ya uonevu huu?
Anaweza asimalize tatizo lakini atasaidia kupunguza tatizo, TLS imekuwa ni tawi la CCM haina msaada kwa wananchiTangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwq wananchi.
Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki .
Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji wanayolalamikiwa hatujawahi kusikia Tls wakiwaburuta mahakamani Polisi.?
Je Mwabukusi atathubutu kusaidia raia dhidi ya uonevu huu?
ShatapuUmepata wapi akili ya kuandika au umeandikiwa na makamanda
Hii siyo akili yako
Jana ametoa list ya watu waliotekwa na kupotezwa.Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi.