Je Mwabukusi atawasaidia Watanganyika dhidi ya ukatili na uovu wa jeshi la polisi iwapo atashinda urais wa Tls?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi.

Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki .
Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji wanayolalamikiwa hatujawahi kusikia Tls wakiwaburuta mahakamani Polisi.?

Je Mwabukusi atathubutu kusaidia raia dhidi ya uonevu huu?
 
Nyie PEOPLES POWER, mnachekesha sana. 😂😂😂😂😂😂😂😂 Kazi mnayo. Watu wanapiga kwenye mshono
 
Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwq wananchi.

Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki .
Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji wanayolalamikiwa hatujawahi kusikia Tls wakiwaburuta mahakamani Polisi.?

Je Mwabukusi atathubutu kusaidia raia dhidi ya uonevu huu?
TLS ya akina Hosea?!
 
Umepata wapi akili ya kuandika au umeandikiwa na makamanda

Hii siyo akili yako
 
Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwq wananchi.

Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki .
Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji wanayolalamikiwa hatujawahi kusikia Tls wakiwaburuta mahakamani Polisi.?

Je Mwabukusi atathubutu kusaidia raia dhidi ya uonevu huu?
Anaweza asimalize tatizo lakini atasaidia kupunguza tatizo, TLS imekuwa ni tawi la CCM haina msaada kwa wananchi
 
Uongozi wake wa T.L.S itakuwa sawa na kutembea juu ya miba au misumari, tutamshughulisha kweli kweli. Ngoja wamalize uchaguzi aje atukute saiti.
 
Watanzania wa kipato cha chini pia wawe wanapewa msaada wa Kisheria Bure kila Mkoa zifunguliwe Ofisi.

Kwasababu ndio kundi linaloathiriwa sana na Zuluma za Watawala.
 
Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi.

Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki .
Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji wanayolalamikiwa hatujawahi kusikia Tls wakiwaburuta mahakamani Polisi.?

Je Mwabukusi atathubutu kusaidia raia dhidi ya uonevu huu?
Jana ametoa list ya watu waliotekwa na kupotezwa.
 
Back
Top Bottom