Je, mwaka 1993 Simba ilicheza fainali za michuano ipi Afrika na Stella ya Ivory Coast?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF.

Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani?

Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
 
Simba ilifika fainali ya kombe la CAF cup

Hapo zamani kulikuwa na michuano miwili Africa cup of champions club ambayo kwasasa inaitwa CAF champions league na shindano la pili ilikuwa ni Africa cup winner's cup ambayo kwasasa ni CAF confederation cup. Lakini mwaka 1992 Caf wakaanzia mashindano mengine ambayo yalikuwa kwa timu ambazo hazifuzu mashindano ya CAF interclub championship ( klabu bingwa na shirikisho) na mashindano hayo yalidumu kwa miaka 12 tu (1992-2003)

Wakati Simba anacheza fainali ya CAF cup mwaka 1993 dhidi ya Stella club, timu ya Zamalek alikuwa ndio bingwa wa klabu bingwa mwaka huo 1993 huku Al Ahly akiwa ndio bingwa wa kombe la shirikisho mwaka 1993 na hivyo wakakutana kwenye CAF super cup na Zamalek kuwa bingwa wa jumla.

Kwahiyo CAF cup aliyocheza Simba sio sawasawa na kombe la shirikisho kwasasa.
IMG_20230430_224756.jpg
 
Simba ilifika fainali ya kombe la CAF cup

Hapo zamani kulikuwa na michuano miwili Africa cup of champions club ambayo kwasasa inaitwa CAF champions league na shindano la pili ilikuwa ni Africa cup winner's cup ambayo kwasasa ni CAF confederation cup. Lakini mwaka 1992 Caf wakaanzia mashindano mengine ambayo yalikuwa kwa timu ambazo hazifuzu mashindano ya CAF interclub championship ( klabu bingwa na shirikisho) na mashindano hayo yalidumu kwa miaka 12 tu (1992-2003)

Wakati Simba anacheza fainali ya CAF cup mwaka 1993 dhidi ya Stella club, timu ya Zamalek alikuwa ndio bingwa wa klabu bingwa mwaka huo 1993 huku Al Ahly akiwa ndio bingwa wa kombe la shirikisho mwaka 1993 na hivyo wakakutana kwenye CAF super cup na Zamalek kuwa bingwa wa jumla.

Kwahiyo CAF cup aliyocheza Simba sio sawasawa na kombe la shirikisho kwasasa. View attachment 2605466
Kwenye mashindano ambayo Simba na Stella wakicheza fainali, je nchi gani za Afrika ya Kaskazini zilishiriki?
 
Unapenda sana kutafuniwa aisee, pamoja na kukupa mwanga badala uingie chimbo ukajiridhishe na pia ukaujue undani huko bado upo hapa hapa unataka kutafuniwa kila kitu wakati msingi wa hoja wa uzi wako ummeshajibiwa.

Haya pitia basi hapa

Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF.

Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani?

Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
Wanajitoa akili tu
 
Kwahiyo Simba alishiriki kombe ambalo ni sawia na kombe lipi hapo?
 
Unapenda sana kutafuniwa aisee, pamoja na kukupa mwanga badala uingie chimbo ukajiridhishe na pia ukaujue undani huko bado upo hapa hapa unataka kutafuniwa kila kitu wakati msingi wa hoja wa uzi wako ummeshajibiwa.

Haya pitia basi hapa

The 1993 CAF Cup was the second football club tournament season that took place for the runners-up of each African country's domestic league. It was won by Stella Adjamé in two-legged final victory against Simba SC.

Sasa kwa maelezo hayo, mbona hiyo ndio Kombe la Shirikisho la CAF?

Na Simba alifika hadi fainali? Kwanini mseme Tz haijawahi kufikisha timu fainali? Malishusha CV taifa letu, mimi sio Simba, ila Tz lazima ijivunie kwamba iliwahi kufikisha timu fainali
 
Mashabiki wengi wa simba wamepaniki Yanga kufuzu hatua ya nusu fainali.
Sisi Wana Lunyasi hatunaga roho mbaya hata kidogo, roho mbaya hiyo tunawaachia nyie ndio mnaamini kuwa mafanikio yenu yanakuja kwa kuharibika kwa mafanikio ya wengine. Uliona Simba ikienda kupokea timu zinazokuja kucheza na Utopolo? Ila nyie mmefanya mara ngapi? In fact, tuko poa sana. Kinachowatesa ni ulimbukeni tu si mafanikio.
 
Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF.

Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani?

Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
Lile kombe lilikuwa ni bonanza la Mashood Abiola likisimamiwa na CAF.

Mfano leo Tanzania Jitu Patel atowe kombe lake lisimamiwe na TFF.
 
Inechukua 30 years kujua kuwa Simba haikucheza fainali za kombe la CUF kwa sababu kuna Mwana propaganda mmoja kaamua kuwapotosha watu

miaka 30 ijayo itakuja kusemwa Kagame CUP sio Kombe la Afrika mashariki kwa kuwa tu liliitwa Kagame CUP
Manara ni kirusi katika Soka la Bongo. In short ni kirusi.
 
The 1993 CAF Cup was the second football club tournament season that took place for the runners-up of each African country's domestic league. It was won by Stella Adjamé in two-legged final victory against Simba SC.

Sasa kwa maelezo hayo, mbona hiyo ndio Kombe la Shirikisho la CAF?

Na Simba alifika hadi fainali? Kwanini mseme Tz haijawahi kufikisha timu fainali? Malishusha CV taifa letu, mimi sio Simba, ila Tz lazima ijivunie kwamba iliwahi kufikisha timu fainali

Simba ilicheza nusu Fainali CAFCL 1974.

ikacheza Fainali kombe la washindi 1993.

SIMBA NDIO BABA WA MPIRA WA TANZANIA.

Sisi Wana Lunyasi hatunaga roho mbaya hata kidogo, roho mbaya hiyo tunawaachia nyie ndio mnaamini kuwa mafanikio yenu yanakuja kwa kuharibika kwa mafanikio ya wengine. Uliona Simba ikienda kupokea timu zinazokuja kucheza na Utopolo? Ila nyie mmefanya mara ngapi? In fact, tuko poa sana. Kinachowatesa ni ulimbukeni tu si mafanikio.
Makombe ambayo hata akina crystal palace walibeba Enzi hzo , lakn huwez sema crystal palace ni timu kubwa , fanya katika modern footbal ambapo kila mtu ni mjanja
 
Back
Top Bottom