Je, mwaka 1993 Simba ilicheza fainali za michuano ipi Afrika na Stella ya Ivory Coast?

Je, mwaka 1993 Simba ilicheza fainali za michuano ipi Afrika na Stella ya Ivory Coast?

EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.

NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
 
Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF.

Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani?

Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
Liliitwa kombe la caf, yaani kombe la chama cha soka afrka.Likifadhiliwa na kudhaminiwa na mfanyabiashara tajiri wa mafuta.Akiitwa mashood Abiola.Likabadilishwa jina na kuitwa kombe la shirikisho.Kabla taratibu za ushiriki wake nazo kubadilishwa ikapelekea kuitwa kombe la loosers na kilema fulani.
 
Simba ilicheza nusu Fainali CAFCL 1974.

ikacheza Fainali kombe la washindi 1993.

SIMBA NDIO BABA WA MPIRA WA TANZANIA.
Huko ni kupindisha kumbukumbu na historia kwa makusudi .
Mwaka 1993 simba hakushiriki kombe la washindi Afrika( africa winner’s cup) Bali alishiriki kombe la Caf )
Mwaka 2023 yanga ameshiriki kombe la shirikisho la CafAmbalo zamani liliitwa Africa winners cup au kombe la washindi Afrika
 
Liliitwa kombe la caf, yaani kombe la chama cha soka afrka.Likifadhiliwa na kudhaminiwa na mfanyabiashara tajiri wa mafuta.Akiitwa mashood Abiola.Likabadilishwa jina na kuitwa kombe la shirikisho.Kabla taratibu za ushiriki wake nazo kubadilishwa ikapelekea kuitwa kombe la loosers na kilema fulani.
Sawa
 
Huko ni kupindisha kumbukumbu na historia kwa makusudi .
Mwaka 1993 simba hakushiriki kombe la washindi Afrika( africa winner’s cup) Bali alishiriki kombe la Caf )
Mwaka 2023 yanga ameshiriki kombe la shirikisho la CafAmbalo zamani liliitwa Africa winners cup au kombe la washindi Afrika
Kwa hiyo Simba ilishiriki ndondo cup la Africa?
 
1993 Simba SC Way to CAF Cup Final
Quarter final
Simba SC 3 - 2 USM El Harrach
1698381995574.png
of Algeria
Semi final
Simba SC 3 - 1 ASA
1698381964433.png
of Angola
Final
Simba SC 2 - 3 Stella Adjamé
Ivory Coast
of Ivory Coast
 
Back
Top Bottom