Je, mwaka 1993 Simba ilicheza fainali za michuano ipi Afrika na Stella ya Ivory Coast?

Simba ilifika fainali ya kombe la CAF cup

Hapo zamani kulikuwa na michuano miwili Africa cup of champions club ambayo kwasasa inaitwa CAF champions league na shindano la pili ilikuwa ni Africa cup winner's cup ambayo kwasasa ni CAF confederation cup. Lakini mwaka 1992 Caf wakaanzia mashindano mengine ambayo yalikuwa kwa timu ambazo hazifuzu mashindano ya CAF interclub championship ( klabu bingwa na shirikisho) na mashindano hayo yalidumu kwa miaka 12 tu (1992-2003)

Wakati Simba anacheza fainali ya CAF cup mwaka 1993 dhidi ya Stella club, timu ya Zamalek alikuwa ndio bingwa wa klabu bingwa mwaka huo 1993 huku Al Ahly akiwa ndio bingwa wa kombe la shirikisho mwaka 1993 na hivyo wakakutana kwenye CAF super cup na Zamalek kuwa bingwa wa jumla.

Kwahiyo CAF cup aliyocheza Simba sio sawasawa na kombe la shirikisho kwasasa. View attachment 2605466
Malizia kusema African sports Ndio alicheza final na Al ahly akapoteza kwa goli mbili kwa moja
 
Google wanasemaje

Caf cup 2004 ndo ikaitwa Shirikisho CAF
Screenshot_20230501-191009.jpg
 
Simba ilifika fainali ya kombe la CAF cup

Hapo zamani kulikuwa na michuano miwili Africa cup of champions club ambayo kwasasa inaitwa CAF champions league na shindano la pili ilikuwa ni Africa cup winner's cup ambayo kwasasa ni CAF confederation cup. Lakini mwaka 1992 Caf wakaanzia mashindano mengine ambayo yalikuwa kwa timu ambazo hazifuzu mashindano ya CAF interclub championship ( klabu bingwa na shirikisho) na mashindano hayo yalidumu kwa miaka 12 tu (1992-2003)

Wakati Simba anacheza fainali ya CAF cup mwaka 1993 dhidi ya Stella club, timu ya Zamalek alikuwa ndio bingwa wa klabu bingwa mwaka huo 1993 huku Al Ahly akiwa ndio bingwa wa kombe la shirikisho mwaka 1993 na hivyo wakakutana kwenye CAF super cup na Zamalek kuwa bingwa wa jumla.

Kwahiyo CAF cup aliyocheza Simba sio sawasawa na kombe la shirikisho kwasasa. View attachment 2605466
DUHHH UMECHANGANYA MADESA HUMU HUJAELEWEKA

Rudia kusoma andiko lako
 
Soma ulichoandika vizuri
[emoji116]
shindano la pili ilikuwa ni Africa cup winner's cup ambayo kwasasa ni CAF confederation cup

Yaani umesema hapo kwamba Simba aliingia fainali kwenye hiyo AFRICA CUP OF WINNERS ambayo wewe mwenyewe umesema ndiyo hii CAF confederation cup kisha baadae unasema
[emoji116]
Wakati Simba anacheza fainali ya CAF cup mwaka 1993 dhidi ya Stella club, timu ya Zamalek alikuwa ndio bingwa wa klabu bingwa mwaka huo

Cha ajabu huku chini unapinga ulichokiandika hapo juu
[emoji116]
Kwahiyo CAF cup aliyocheza Simba sio sawasawa na kombe la shirikisho kwasasa.

Kijana hapo nadhani usitake turudi kwenye msemo wa Manara kwamba wapo wawili huko kwenu linapokuja suala la wenye akili
Karibu usahihishe hapo

Tuambie tofauti ya ile na hii ya sasa
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
The 1993 CAF Cup was the second football club tournament season that took place for the runners-up of each African country's domestic league. It was won by Stella Adjamé in two-legged final victory against Simba SC.

Sasa kwa maelezo hayo, mbona hiyo ndio Kombe la Shirikisho la CAF?

Na Simba alifika hadi fainali? Kwanini mseme Tz haijawahi kufikisha timu fainali? Malishusha CV taifa letu, mimi sio Simba, ila Tz lazima ijivunie kwamba iliwahi kufikisha timu fainali
Heri umewaambia hawa jamaa
 
kuna vitu havihitaj ushabiki, mwaka 1993 bingwa wa clab bingwa alikua zamalek na shirikisho alikua al ahly, mpaka hapo ushajua simba hakucheza fainali ya shirikisho
Si umesema Shirikisho halikuwepo? [emoji23][emoji23][emoji23]Hizi akili ni shida
 
Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF.

Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani?

Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
Ulikuwa hujazaliwa utajuzwa na waliokuwepo
 
Inechukua 30 years kujua kuwa Simba haikucheza fainali za kombe la CUF kwa sababu kuna Mwana propaganda mmoja kaamua kuwapotosha watu

miaka 30 ijayo itakuja kusemwa Kagame CUP sio Kombe la Afrika mashariki kwa kuwa tu liliitwa Kagame CUP
Umetumia mfano mzuri sana huo unaakili balaa
 
Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF.

Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani?

Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
Mwaka 1987 Gor mahia ilichukua Kombe hilo mfungaji wao maarufu akiwa Peter Dawo
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Ambia wakuoneshe Medali za mshindi wa pili uoge matusi week mbili hapa
 
Soma ulichoandika vizuri
[emoji116]
shindano la pili ilikuwa ni Africa cup winner's cup ambayo kwasasa ni CAF confederation cup

Yaani umesema hapo kwamba Simba aliingia fainali kwenye hiyo AFRICA CUP OF WINNERS ambayo wewe mwenyewe umesema ndiyo hii CAF confederation cup kisha baadae unasema
[emoji116]
Wakati Simba anacheza fainali ya CAF cup mwaka 1993 dhidi ya Stella club, timu ya Zamalek alikuwa ndio bingwa wa klabu bingwa mwaka huo

Cha ajabu huku chini unapinga ulichokiandika hapo juu
[emoji116]
Kwahiyo CAF cup aliyocheza Simba sio sawasawa na kombe la shirikisho kwasasa.

Kijana hapo nadhani usitake turudi kwenye msemo wa Manara kwamba wapo wawili huko kwenu linapokuja suala la wenye akili
Karibu usahihishe hapo

Tuambie tofauti ya ile na hii ya sasa

Soma tena uelewe, umesoma kwa kukurupuka umeshindwa kujua tofauti kati ya CAF cup na Africa cup winner's cup. Kombe la shirikisho lilikuwa linaitwa Africa cup winner's cup

Kifupi rudia tena kusoma maana hakuna ulichokielewa umechanga vitu wewe mwenyewe ila mimi nimeongea kitu kipo clear.
Bingwa wa shirikisho mwaka 1993 ambayo ilikuwa inaitwa Africa cup winner's cup alikuwa Al Ahly
Bingwa wa klabu bingwa mwaka 1993 ambapo ilikuwa inaitwa Africa cup of champions club alikuwa Zamalek

stella club ambaye alicheza fainali na Simba, alikuwa ni bingwa wa CAF cup mwaka 1993 na haikuwa kombe la shirikisho na ndio maana Caf super cup ilichezwa kati ya Zamalek vs Al Ahly

Au unaweza kunipa chanzo kinachoonesha Stella club walicheza Caf super cup dhidi ya Zamalek? Maana bingwa wa shirikisho lazima acheze Caf super cup
 
Mbona hata huyo zamalek ambaye alikuwa bingwa wa klabu bingwa 1993 hakucheza kwenye hiyo CAF super cup???
Kwanza anza kwa kuujua mpira, mpira umeuvamia mkuu, hujui lolote.
Super cup ni mashindanoni kwaajili ya uvunguzi wa pazia jipya la msimu. Sasa inawezekana vipi timu iwe bingwa wa klabu bingwa halafu asicheze super cup ili kufungua msimu mpya wa mwaka 1994?
 
Aibu ya mwaka hii!!!!

kwenye CAF super cup 1993 ilikuwa Africa sports vs wydad.

Acheni uongo, kwani mkikubali Simba kafika fainali mtapungukiwa na nini, kwani nyinyi mnavyojitapa mabingwa wa kihistoria mara 28 unahakika uko nyuma lilikuwa linaitwa hivyo ??

Acheni hoja za kitoto
Aibu unapata wewe hujui mpira na umekurupuka tu.

Caf super cup ya mwaka 1993 inakutanisha bingwa wa klabu bingwa wa mwaka 1992 ( Africa cup of champions club)VS bingwa wa shirikisho wa mwaka 1992 (Africa cup winner's cup):ndipo wanakutana kufungua pazia la msimu wa mwaka 1993. Hata vitu vidogo kama hivi unashindwa kujua kwenye mpira.
 
Ndugu kuepuka aibu ndogo ndogo jaribu kugoogle tu.

Aliyechukua klabu bingwa 1993 n zamalek
Na hiyo winner's cup ni Al ahly

Na kwenye hyo CAF super cup alicheza Africa sports vs wydad

Yaani wewe ndio bure kabisa yaani. Nikajua utapinga kuwa huyo Al Ahly na Zamalek hawakubeba makombe mwaka 1993 kumbe umekuja kujitia aibu. Pamoja na kukupa msaada wa attachment lakini ukashindwa hata kusoma na kuelewa maelezo ya kwenye ile picha kuelewa tu maana ya super cup ni nini. Pole anza kwanza kuujua mpira maana bado mweupe sana.
 
Unapenda sana kutafuniwa aisee, pamoja na kukupa mwanga badala uingie chimbo ukajiridhishe na pia ukaujue undani huko bado upo hapa hapa unataka kutafuniwa kila kitu wakati msingi wa hoja wa uzi wako ummeshajibiwa.

Haya pitia basi hapa

1/2 fainali Aly Arach ya Algeria vs simba sc Tz. Kama Algeria siyo ya Afrika kaskazini basi ubishe.
 
Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF.

Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani?

Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
Makombe yote aliyochukua real Madrid nyuma kabala halijabadilika kuitwa UEFA ,afutiwe na Wala yasitambuliwe
 
Back
Top Bottom