Liliitwa kombe la caf, yaani kombe la chama cha soka afrka.Likifadhiliwa na kudhaminiwa na mfanyabiashara tajiri wa mafuta.Akiitwa mashood Abiola.Likabadilishwa jina na kuitwa kombe la shirikisho.Kabla taratibu za ushiriki wake nazo kubadilishwa ikapelekea kuitwa kombe la loosers na kilema fulani.Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF.
Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani?
Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
Huko ni kupindisha kumbukumbu na historia kwa makusudi .Simba ilicheza nusu Fainali CAFCL 1974.
ikacheza Fainali kombe la washindi 1993.
SIMBA NDIO BABA WA MPIRA WA TANZANIA.
😂 😂 😂Simba wana stess nyingi sana sasa.
Mashabikii wa Yanga tuchukue tahadhari, ikiwezekana tutembee na silaha au walinzi
SawaLiliitwa kombe la caf, yaani kombe la chama cha soka afrka.Likifadhiliwa na kudhaminiwa na mfanyabiashara tajiri wa mafuta.Akiitwa mashood Abiola.Likabadilishwa jina na kuitwa kombe la shirikisho.Kabla taratibu za ushiriki wake nazo kubadilishwa ikapelekea kuitwa kombe la loosers na kilema fulani.
Kwa hiyo Simba ilishiriki ndondo cup la Africa?Huko ni kupindisha kumbukumbu na historia kwa makusudi .
Mwaka 1993 simba hakushiriki kombe la washindi Afrika( africa winner’s cup) Bali alishiriki kombe la Caf )
Mwaka 2023 yanga ameshiriki kombe la shirikisho la CafAmbalo zamani liliitwa Africa winners cup au kombe la washindi Afrika
Simba ilivaa uzi wa Manchester United1993 Simba SC Way to CAF Cup Final
Quarter final
Simba SC 3 - 2 USM El Harrach View attachment 2794210 of Algeria
Semi final
Simba SC 3 - 1 ASA View attachment 2794209 of Angola
Final
Simba SC 2 - 3 Stella Adjaméof Ivory Coast