Je, mwanadamu anayo tena uhuru wa kuchagua (free will) au kila kitu kimepangwa?

Kwasababu kila unachokifanya kuna sababu nyuma yake either uwe unaijua au la. Kwa mantiki hiyo huwezi kujiamulia mambo from nowhere.
what we call “free will” is a practical and psychological model, not a deep feature of reality. We are causal systems that deliberate, predict, regret, and revise ourselves, but those processes do not add up to the kind of unconditioned freedom the metaphysical tradition often imagined
 
Heri ya Sabato
Shida ni kuwa tunapenda kulaumu kila kukicha. Mambo yakiwa yanaenda tunamsahau Mungu. Mqmbo yakichafuka tunamlaumu Bwana

Iko hivi ndio kuna Free Will, naiita Freedom kutoka kwa Bwana. .

Huwezi kupata freedom wakati unaongozwa na muasi, ujinga, msahaulifu. Utaishia kurudi kila kukocha na kulaumu. .
 
Aisee
 
Back
Top Bottom