Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
NdioAnaona na kujua mpaka watu watakaochomwa moto wa milele ?
NdioAnaona na kujua mpaka watu watakaochomwa moto wa milele ?
Sasa kwa nini watu wanajisumbua kwenda misikitini na makanisani?Ndio
Si kulikuwa na ushawishi wa ibilisi a.k.a -Nyoka? Laiti angeachwa peke yake bila external force uingilia uamuzi wake labda angechagua lililo jema.so according to you kuwa free will Adam ali excercise kuchagua kibaya so hakuna free will?
Alidanganywa na yule mwovu.Alichagua hivyo presisely kwa kuwa alikuwa na free will
Haihusiki na comment yangu.Kutembea na mke wa mtu ni vibaya sana. Na Mithali imekataza hili soma kwa umakini. Huyu mwanamke wa mtu kahaba acha kabisa kutembea nae. Mithali 2: 16-19, Mithali 6: 23-29; Mithali 9: 13-18
Haihusiki na comment yangu.Pia hakikisha unaongozana na Patner wako ili upate uhuru wa kweli. Kwake Yeye tumekuwa Huru..Mithali 31:10, Mithali 19:14...
Inategemea una uelewa kiasi gani wa hayo yaliyo mbele yako ili uweze kufanya uchaguzi sahihi kuendana na roho yako inataka nini i.e. matakwa yako.Una uhuru wa kuchagua Order and Chaos. You choose chaos kesho machafuko yanaushikilia mwili na maisha yako unamlaumu Mungu.
Kuna njia mbili Kulia na kushoto, wewe uchague ipi hii ndio maana ya Freedom
Kumbuka neno la Tahadhari kutoka kwa Mkubwa au Kiongozi wako ni agizo kwako kwani yy anafahamu zaidi yako. Kwa ww kutofuata ushauri uliopewa ni dharau kwani utakuwa umepuuzia ushauri wake na umeonesha kiburi cha hali ya juu.Adam alipewa tahadhari wala sio onyo, kuwa utakufa. Alichagua kula mwenyewe kwa hiari yake, hakushinikizwa popote pale.
Utakuwa hujanitendea haki kwani mm ni mjinga tu sio mpumbavu i.e. ninafundishika mkuu. Kitendo cha kuniacha nibaki kama nilivyo ndo kushindwa kwako wajibu wa kazi ya kunifundisha.Hata nikikufundisha huwezi elewa baki hivyo hivyo. 😭
Unaweza kuweka sumu ya panha karibu na mtoto mahali anaweza kuifikia halafu ukamuambia asiguse atakufa na ukamuacha tu bila uangalalizi ukaendelea na mambo yako ??Si kulikuwa na ushawishi wa ibilisi a.k.a -Nyoka? Laiti angeachwa peke yake bila external force uingilia uamuzi wake labda angechagua lililo jema.
Alidanganywa na yule mwovu.
Haihusiki na comment yangu.
Haihusiki na comment yangu.
Inategemea una uelewa kiasi gani wa hayo yaliyo mbele yako ili uweze kufanya uchaguzi sahihi kuendana na roho yako inataka nini i.e. matakwa yako.
Kumbuka neno la Tahadhari kutoka kwa Mkubwa au Kiongozi wako ni agizo kwako kwani yy anafahamu zaidi yako. Kwa ww kutofuata ushauri uliopewa ni dharau kwani utakuwa umepuuzia ushauri wake na umeonesha kiburi cha hali ya juu.
Utakuwa hujanitendea haki kwani mm ni mjinga tu sio mpumbavu i.e. ninafundishika mkuu. Kitendo cha kuniacha nibaki kama nilivyo ndo kushindwa kwako wajibu wa kazi ya kunifundisha.
Angalizo la Tahadhari zitakazozingatiwa:Unaweza kuweka sumu ya panha karibu na mtoto mahali anaweza kuifikia halafu ukamuambia asiguse atakufa na ukamuacha tu bila uangalalizi ukaendelea na mambo yako ??
Heri ya SabatoSi kulikuwa na ushawishi wa ibilisi a.k.a -Nyoka? Laiti angeachwa peke yake bila external force uingilia uamuzi wake labda angechagua lililo jema.
Alidanganywa na yule mwovu.
Haihusiki na comment yangu.
Haihusiki na comment yangu.
Inategemea una uelewa kiasi gani wa hayo yaliyo mbele yako ili uweze kufanya uchaguzi sahihi kuendana na roho yako inataka nini i.e. matakwa yako.
Kumbuka neno la Tahadhari kutoka kwa Mkubwa au Kiongozi wako ni agizo kwako kwani yy anafahamu zaidi yako. Kwa ww kutofuata ushauri uliopewa ni dharau kwani utakuwa umepuuzia ushauri wake na umeonesha kiburi cha hali ya juu.
Utakuwa hujanitendea haki kwani mm ni mjinga tu sio mpumbavu i.e. ninafundishika mkuu. Kitendo cha kuniacha nibaki kama nilivyo ndo kushindwa kwako wajibu wa kazi ya kunifundisha.
Usipende kutafsiri vitu kwa mtazamo unaokunufaishaAngalizo la Tahadhari zitakazozingatiwa:
1. Je, Ni mtoto wa umri gani? Mtoto mchanga 0yrs - 12 yrs au 18+ yrs? halafu ujiulize kiwango cha uelewa wa huyo mtoto. Kama ni mwenye kuelewa sumu au kufa ni kitu gani - Nnaweza kumwacha nikaendelea na mambo yangu.
2. Kiwango cha udadisi wa mtoto au Tabia isiyo ya kawaida e.g. ni taahira au ni aina ya wale watoto ambao kile utakachomkataza asikifanye, yy ndicho atakacho fanya.
Hawa wamama wameshika sana maisha ya wanadamu ndio maana unashindwa kuwa huruNdani yetu kuna kitu kinapingana nasi, sijaweza kuprove ila kuna nafsi/roho ambayo inapingana na mwili/akili yako)
Unajisi ni uchafu wa kimwili na kiroho. Mtu akiwa najisi ni kwamba hafai kujumuika na "walio safi" anahitaji kutakaswa dhidi ya unajisi wake. Ref. Wakoma walitengwa na waliuwa wanapiga kelele kwa wale waliowakaribia kwamba ni wanajisi hivyo watu walijihadhari wasije kutiwa unajisi. Lakini walipotakasika waliruhusiwa kujumuika tena na wenzao.Usipende kutafsiri vitu kwa mtazamo unaokunufaisha
Biblia au maandiko ya mwanzo yaliwalenga wahusika tu. Haikuwa kwa ajili ya kila mtu. Wahusika ni wana wa Israel, ndio iliyowalenga.
Hivyo mambo mengi yaliandikwa kwa ishara, kimafumbo, kuwalenga wahusika. .
Wakristu wa sasa wengi wanageuza maandiko hayo yaendane na mitazamo yao. Mfano, Adam na Eva unahisi walidhibiwa kwa kula tunda kwenye mti?
Leo hii utatafsiri hivyo kuwa walikula tunda wakaadhibiwa kwa sababu neno hili halikukulenga wewe. Yesu alijibu hili
Mathayo 15:11 .
“Si kile kiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi; bali kile kitokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi.”
Ushawahi kuonda tafsiri inaandikwa kimtokacho mtu kinamtia dhambi? Je ni dhambi au unajisi?
Mkuu, kama kwa mtizamo wako ina maana Biblia au Neno la Mungu lilkuwa sahihi kwa walengwa ambao ni wana wa Israeli wa wakati ule. Kwa mantiki hiyo Biblia haina maana( mashiko)tena kwa kizazi cha leo. Je, unataka kusema Biblia ime-expire?Alichofundisha Yesu ni tofauti na kile ambacho kinatafsiriwa sasa.
Kuna kitu nawaambia watu kila siku, mpinga Kristu anafanya kqzi kubwa kupoteza uhalisia wa neno lake. Unakuta kwenye Biblia mpaka majina yanatafsiriwa. Kama unaitwa Daniel utabaki kuwa Danieli popote pale duniani.
Leo hii unamwita Yesu unamwona hakujibu, Je ni jina lake?
Mungu kapachikwa majina zaidi ya mia kwenye Bible huyajui?
Unapenda kujifunza, na mimi napenda watu wanaopenda kujifunza. Uko njia sahihi, jifinze kila kukicha.
Mathayo 7:7
"Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni, nanyi mtafunguliwa.”
Usiweke maneno mdomoni mwangu. Sijasema hayo uliyosema weweUnajisi ni uchafu wa kimwili na kiroho. Mtu akiwa najisi ni kwamba hafai kujumuika na "walio safi" anahitaji kutakaswa dhidi ya unajisi wake. Ref. Wakoma walitengwa na waliuwa wanapiga kelele kwa wale waliowakaribia kwamba ni wanajisi hivyo watu walijihadhari wasije kutiwa unajisi. Lakini walipotakasika waliruhusiwa kujumuika tena na wenzao.
Mkuu, kama kwa mtizamo wako ina maana Biblia au Neno la Mungu lilkuwa sahihi kwa walengwa ambao ni wana wa Israeli wa wakati ule. Kwa mantiki hiyo Biblia haina maana( mashiko)tena kwa kizazi cha leo. Je, unataka kusema Biblia ime-expire?
Ni tabia halisi ya shetani kudanganya / ku twist narrative. Yani alichokifanya shetani kwenye bustani umekirudia hapa!Hata ktk biblia; imeandikwa Mungu aliweka Miti miwili Mti wa Uzima na Mti wa Maarifa. Halafu tena Mungu akampa huyo mwanadamu Hiari ya kuchagua mti mmojawapo kati ya hiyo miti. Tena pia akampa na ushauri wa bure kwamba ni vizuri akachague ule mti wa Uzima.......
🙂.Ni tabia halisi ya shetani kudanganya / ku twist narrative. Yani alichokifanya shetani kwenye bustani umekirudia hapa!
1) Biblia inasema Mungu alimpa binadamu bustani nzima yenye kila aina ya matunda. Akamkataza miti miwili.
"Bwana Mungu akafanya aina zote za miti ziote kutoka ardhini, miti yenye kupendeza macho na mizuri kwa chakula. Mti wa uzima ulikuwa katikati ya bustani, na pia mti wa kujua mema na mabaya.
Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akamwambia, “Uko huru kula matunda ya mti wowote katika bustani;
lakini kamwe usile matunda ya mti wa kujua mema na mabaya, kwa maana siku utakapokula matunda yake, hakika utakufa."
Mwanzo.2.9,16-17.NENO2025
2) Adam hakupewa ushauri wa kuchagua mti wa uzima!
Wala hakuna mtu yoyote aliyepewa huo ushauri.
Mti wa uzima ni zawadi watakopewa wateule watoto wa Mungu watakaoishi milele.
"Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa haki ya kula matunda ya uzima, ambao uko katika paradiso ya Mungu."
Ufunuo.2.7.NENO2025
3) Nakubaliana na Gily Gru kuwa maandiko wameandikiwa wenyewe. Ingawa tumetofautiana kuwa "wenyewe" ni kina nani.
Inshort wenyewe ni waamini.
Kama humuamini YESU jua utaona maruweruwe tu! ! ! Guaranteed 100%
Na sijui kwanini huwa mnahahangika na vitu ambavyo hamuamini. Do you worry this much concerning the Vedas? The quran? The Buddhist teachings? The Mayas?
Umeanza vizuri sana, nimefurahi sana kuona comment zako.Plus naamini tuna free will within mipaka aliyoweka Mungu.
Mungu pekee ndio ana uwezo wa kufanya chochote anachotaka. Wewe utafanya unavyotaka mpaka atakaposema hapo hutoweza.
Mungu anajua all the possible outcomes, from all the possible actions, from all existing beings . Sijui unaelewa huu ni ufahamu mkuu kiasi gani.
Ndomaana ni kosa kusema Mungu kujua kila kitu kunazuia free will.
Na uzuri mauzauza yatakatokea tu for as long as watu wanaenda kinyume na mpango wa Mungu. Haiwezekani designer aseme hii usitumie karibu na watu coz inalipuka. We uende kuichoma makusudi kabisa kwa watu watu wafe uanze kumlaumu Mungu kutengeneza vilipuzi.
Kuna namna wapenda kumlaumu Mungu they lack self awareness na accountability. Ni aina ya watu viazi na walalamishi tu mvua ikinyesha watalalamika, jua likiwaka watalalamika.
Anyways kwakuwa Mungu anajua matokeo yote yanayoweza kutokea, kutoka kwa visababishi vyote vinavyoweza kuwepo, kutoka kwa uumbaji wote uliopo,
na kwakuwa Mungu ni mwenye upendo wote, akili yote na nguvu zote,
Basi hatuna shaka kuwa:
"And we know that God causes everything to work together for the good of those who love God and are called according to his purpose for them."
Waroma.8.28.NLT
Nasikitika sijapata tafsiri ya Kiswahili iliyotendea haki hili andiko.
Labda TKU:
"Tunajua kwamba katika kila kitu Mungu hufanya kazi ili kuwapa mema wale wanaompenda. Hawa ni watu aliowachagua Mungu, kwa sababu huo ndiyo ulikuwa mpango wake."
Waroma.8.28.TKU
Kwa kifupi kwa wale wanaompenda Mungu, nomatter what evil happens, wataona tu makubwa / mema atakayotokeza Mungu kutokana na uovu huo.
Hata mimi maishani mwangu alot of bad things have happened at times when I thought I never deserved to go through such, hadi baadae nimekaa nimeoma kabisa ni fulfilment ya Romans 8:28.
Kwa wasiompenda Mungu hakuna jema ever, ni ulalamishi hadi Mungu atakapowazimisha forever 😂
The apostles recognized Paul as a chosen apostle.Umeanza vizuri sana, nimefurahi sana kuona comment zako.
But,
Achana na Paulo na vitabu au barua zake, he is anti Christ.
Apart from that, kongole.