hata kwa bwana unayemsema wew hiyo freewill unaipataje angali umepewa mpaka amri ybna unapagiwa mambo ya kufanya na yakutokufanya DUNIANI HAKUNA FREEWILL kila jambo lishapagwaHeri ya Sabato
Shida ni kuwa tunapenda kulaumu kila kukicha. Mambo yakiwa yanaenda tunamsahau Mungu. Mqmbo yakichafuka tunamlaumu Bwana
Iko hivi ndio kuna Free Will, naiita Freedom kutoka kwa Bwana. .
Huwezi kupata freedom wakati unaongozwa na muasi, ujinga, msahaulifu. Utaishia kurudi kila kukocha na kulaumu. .
Basi habari ndio hiyo. Free will cheza humo humo zizini sio nje.Hapana
Embu banwa na haja ya amueba ukiwa safarini kwenye basi halafu useme nina free will uone kama Free will haitageuka Free hole.Free will ni katika kunya tu😂
Free will is an illusionNiko hapa kujifunza Zaidi.
Ni Mungu peke yake ndiye mwenye absolute free will. Dunia yenyewe imeshikiliwa na nguvu ambazo haiwezi kutoka nje ya orbit inamozungukia! Sembuse kiumbe dhaifu!hata kwa bwana unayemsema wew hiyo freewill unaipataje angali umepewa mpaka amri ybna unapagiwa mambo ya kufanya na yakutokufanya DUNIANI HAKUNA FREEWILL kila jambo lishapagwa
Yaani huo ndio umeona mfano bora kuliko? 🤣🤣🤣Embu banwa na haja ya amueba ukiwa safarini kwenye basi halafu useme nina free will uone kama Free will haitageuka Free hole.
Unasema hivi kwa sababu anayekuongozahata kwa bwana unayemsema wew hiyo freewill unaipataje angali umepewa mpaka amri ybna unapagiwa mambo ya kufanya na yakutokufanya DUNIANI HAKUNA FREEWILL kila jambo lishapagwa
unamaanisha tunaishi kwenye mfumo uliopagwa?Ni Mungu peke yake ndiye mwenye absolute free will. Dunia yenyewe imeshikiliwa na nguvu ambazo haiwezi kutoka nje ya orbit inamozungukia! Sembuse kiumbe dhaifu!
Absolutely! "I believe I can fly", kuna mmoja alikuwa anatamani iwe hivyo but unfortunately the capabilities are limited!unamaanisha tunaishi kwenye mfumo uliopagwa?
Kwani haiwezekani ikawa hana freewill na pia kila kitu hakijapangwa?Niko hapa kujifunza Zaidi.
sidhani kama itakufaa hata ufanye nin duniani huwezi kupata freewillUnasema hivi kwa sababu anayekuongoza
Duniani hakuna freewill kwa sababu ya binadamu anaongozwa na mama zake, wamama wabaya.
Tuombe sana Bwana atufanye kuwa huru, uhuru katika Mke yule atokaye kwa Bwana. .
Freewill ya kutoamini mungu wa Abraham bila kuchomwa moto.Free will unayo but within the pre-established boundaries. Unataka free will ya kuuwa wenzio au?