Je, mwanadamu anayo tena uhuru wa kuchagua (free will) au kila kitu kimepangwa?

hata kwa bwana unayemsema wew hiyo freewill unaipataje angali umepewa mpaka amri ybna unapagiwa mambo ya kufanya na yakutokufanya DUNIANI HAKUNA FREEWILL kila jambo lishapagwa
 
Ni Mungu peke yake ndiye mwenye absolute free will. Dunia yenyewe imeshikiliwa na nguvu ambazo haiwezi kutoka nje ya orbit inamozungukia! Sembuse kiumbe dhaifu!
 
hata kwa bwana unayemsema wew hiyo freewill unaipataje angali umepewa mpaka amri ybna unapagiwa mambo ya kufanya na yakutokufanya DUNIANI HAKUNA FREEWILL kila jambo lishapagwa
Unasema hivi kwa sababu anayekuongoza
Duniani hakuna freewill kwa sababu ya binadamu anaongozwa na mama zake, wamama wabaya.

Tuombe sana Bwana atufanye kuwa huru, uhuru katika Mke yule atokaye kwa Bwana. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…