sidhani kama itakufaa hata ufanye nin duniani huwezi kupata freewill
Hio picha inamaana gani mkuuView attachment 3654475
Unaongozwa na nani?
Wamama wabaya wakishikilia maisha yako utaishi gizani maisha yako yote
Utalaumu, utawaza, utawazua lakini uwezo wako wa kuchanganua unaishia hapo.
Uhuru wa kweli unatoka kwa Baba.
Mwanadamu ana uhuru wa kuchagua (free will) lakini uhuru huo una mipaka ya kibiolojia, kijamii na kimazingira.Niko hapa kujifunza Zaidi.
Ndani ya mwili wa MwanadamuHio picha inamaana gani mkuu
kama kwa baba kuna uhuru why kuna mambo ambayo siruhusiwi kuyafanya?View attachment 3654475
Unaongozwa na nani?
Wamama wabaya wakishikilia maisha yako utaishi gizani maisha yako yote
Utalaumu, utawaza, utawazua lakini uwezo wako wa kuchanganua unaishia hapo.
Uhuru wa kweli unatoka kwa Baba.
Mambo ya mwili hayapo kwa Baba.kama kwa baba kuna uhuru why kuna mambo ambayo siruhusiwi kuyafanya?
Katika Uislamu kuna mafundisho ya watu kuchomwa moto wa milele ?Kulingana na uislam hakuna free will, kila kitu Allah amepanga
Ooh! Angefunguka basi. Mungu hakulazimishi kumwamini. Asipokuchoma moto unapoka freewill yake!Freewill ya kutoamini mungu wa Abraham bila kuchomwa moto.
Sio rahisi kwa mwanadamu kuwa na Free will kiviile. Mara nyingi ukifuatilia hicho kinachoitwa ni Free will utagundua kuna propelling Force behind. Hata ktk biblia; imeandikwa Mungu aliweka Miti miwili Mti wa Uzima na Mti wa Maarifa. Halafu tena Mungu akampa huyo mwanadamu Hiari ya kuchagua mti mmojawapo kati ya hiyo miti. Tena pia akampa na ushauri wa bure kwamba ni vizuri akachague ule mti wa Uzima......Lakini Yule mwanadamu alilaghaiwa / alishawishiwa (Hii ndo propelling force)na Ibilisi akachagua ule mti wa Maarifa. Hapakuwa na Free will as such. Vivyo hivyo mtu anaoa Mke/Mme kwa kudai eti ni hiari lakini ukifuatilia utagundua kulikuwa na shinikizo mahali fulani. Mtu anajinyonga mwenyewe lakini ukifuatilia utakuta yapo yaliyomsukuma akafanya maamuzi hayo. Mifano ni mingi sana - Itoshe tu kusema HAKUNA FREE WILL.. ila Hatma yako (Destiny)utaifikia siku moja Utake-usitake.Niko hapa kujifunza Zaidi.
so according to you kuwa free will Adam ali excercise kuchagua kibaya so hakuna free will?Sio rahisi kwa mwanadamu kuwa na Free will kiviile. Mara nyingi ukifuatilia hicho kinachoitwa ni Free will utagundua kuna propelling Force behind. Hata ktk biblia; imeandikwa Mungu aliweka Miti miwili Mti wa Uzima na Mti wa Maarifa. Halafu tena Mungu akampa huyo mwanadamu Hiari ya kuchagua mti mmojawapo kati ya hiyo miti. Tena pia akampa na ushauri wa bure kwamba ni vizuri akachague ule mti wa Uzima......Lakini Yule mwanadamu alilaghaiwa / alishawishiwa (Hii ndo propelling force)na Ibilisi akachagua ule mti wa Maarifa. Hapakuwa na Free will as such. Vivyo hivyo mtu anaoa Mke/Mme kwa kudai eti ni hiari lakini ukifuatilia utagundua kulikuwa na shinikizo mahali fulani. Mtu anajinyonga mwenyewe lakini ukifuatilia utakuta yapo yaliyomsukuma akafanya maamuzi hayo. Mifano ni mingi sana - Itoshe tu kusema HAKUNA FREE WILL.. ila Hatma yako (Destiny)utaifikia siku moja Utake-usitake.
Hata anayeamini kuwa kila kitu mimepangwa, akitaka kuvuka barabara huanza kwa kutazama kushoto na kulia..... Stephen Hawking.Free will is Scam. Hakuna hicho kitu
Inafikirisha sana.Niko hapa kujifunza Zaidi.
Naked truthFree Will is an illusion.
Kama ilivyo kwa kinachoitwa demokrasiaFree Will is an illusion.
Ukisoma ubongo unavyofanya kazi utaelewa. Unaweza kurahisisha kusoma kupitia chatGPTKwanini unasema free will ni illusion
Yaap Exactly mkuu " ila Hatma yako (Destiny) utaifikia siku moja utake - usitake".Sio rahisi kwa mwanadamu kuwa na Free will kiviile. Mara nyingi ukifuatilia hicho kinachoitwa ni Free will utagundua kuna propelling Force behind. Hata ktk biblia; imeandikwa Mungu aliweka Miti miwili Mti wa Uzima na Mti wa Maarifa. Halafu tena Mungu akampa huyo mwanadamu Hiari ya kuchagua mti mmojawapo kati ya hiyo miti. Tena pia akampa na ushauri wa bure kwamba ni vizuri akachague ule mti wa Uzima......Lakini Yule mwanadamu alilaghaiwa / alishawishiwa (Hii ndo propelling force)na Ibilisi akachagua ule mti wa Maarifa. Hapakuwa na Free will as such. Vivyo hivyo mtu anaoa Mke/Mme kwa kudai eti ni hiari lakini ukifuatilia utagundua kulikuwa na shinikizo mahali fulani. Mtu anajinyonga mwenyewe lakini ukifuatilia utakuta yapo yaliyomsukuma akafanya maamuzi hayo. Mifano ni mingi sana - Itoshe tu kusema HAKUNA FREE WILL.. ila Hatma yako (Destiny)utaifikia siku moja Utake-usitake.
Anaona na kujua mpaka watu watakaochomwa moto wa milele ?Inafikirisha sana.
Maana tunaambiwa Mungu anaona mpaka ya mbele kabla hayajatokea.
Hivyo hakuna namna utabadili future hivyo maisha ni kama yapo scripted.