Je Mwanadamu atafufuliwa akiwa na Umri Gani?

maswali kama hayo kuna mtu aliwahi kumuuliza YESU ikiwa mjane akiolewa mbinguni atakuwa mke wa nani?
Mambo mengine tumefugwa ni siri za MUNGU usitake kujua kila kitu haiwezekani.
Kuna mtu mwingine nilimwambia mbinguni tutakuwa na miili mipya yaani smart body,alifurahi sana akaniambia kumbe si yeye atakaye chomwa so ngoja aendelee kula maisha
 
Do you mean John is alive till today? if yes, where is he?

I don't know where you are, but it would be absurd for me to presume that you are not alive simply because I don't know where you are!
 
I don't know where you are, but it would be absurd for me to presume that you are not alive simply because I don't know where you are!
Of course it would be absurd assuming that someone is dead just because you don't know where he is, but it's crazy believing that man could stay alive for more than 2000 years.
 
 
I don't know where you are, but it would be absurd for me to presume that you are not alive simply because I don't know where you are!
Kizungumkuti cha jibu kwa faida ya nani?
Mwenziyo kakushangaa na kukuuliza juu ya usemi wako kuwa Yohana hajaonja kifo, kwamba, hadi leo anaishi, je anaishi wapi?
Eti unamjibu kuwa yeye unayechati nae hauelewi anapoishi. Hivi unapokuwa unabadilishana mawazo na binadamu "kabila yako" halafu anakugeuka kwa mtindo wa kiuwendawazimu, hapo shetani anakuwa amewawaingilia? Ama unaweza ukatafsirije kwa mfano?
 
Cjuh kwann watu bado wanaendelea kuamini in such nosense...... Ufe ufufuke hata haiingii akilini
 
Huyo jamaa hana point hana tofauti na wale wanaosemaga ukimdiskasi mungu utapigwa na ugonjwa ukalale hospital hujitambui........

Mpk unakaa unafikiri wagonjwa wote wamemkosea huyo mungu au?????

Kina lusekelo wanafikia stage ya kutishia watu kifo kwa kuntumia huyo huyo mungu
 
Nimeshamuonesha kaburi lake lilipo .
 
Kabla hajafa au hajapaa!? Yesu alonekana maeneo kadhaa duniani baada ya kifo chake.
 
Nimeshamuonesha kaburi lake lilipo .

John the Baptist and John the beloved/the disciple are two different people, wanasema "better to stay quite and let people doubt whether you are stupid or not than to speak up and remove all the doubts "
 
Soma kitabu cha Mathayo mtakatifu, Luka, Marko na Yohana ,,,,utapata majibu ya maswali yako yote.
 
Kuna Hoja moja ilisema "kama alikufa kipindi hicho Cha zama za kalee hata thubutu kurudi enzi hizi za Nyukili"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…