Je Mwanadamu atafufuliwa akiwa na Umri Gani?

Siamini km kuna kufufuka
Yesu aliyezuga kufufuka mwenyewe ni baada ya siku 3 tu yaani hakuoza wala nini

Hawa mazoba ndo wanaamini kila kitu utafikiri hawana ubongo au wana bongo za kuku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
John the Baptist and John the beloved/the disciple are two different people, wanasema "better to stay quite and let people doubt whether you are stupid or not than to speak up and remove all the doubts "
My friend you are the one who looks stupid. You could clearly specify which one .
Okay here we go

 
Siamini km kuna kufufuka
Yesu aliyezuga kufufuka mwenyewe ni baada ya siku 3 tu yaani hakuoza wala nini

Hawa mazoba ndo wanaamini kila kitu utafikiri hawana ubongo au wana bongo za kuku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa...... Yaani watu ni wa ajabu kweli kweli..... Eti kitu kikisemwa kwenye dini basi ni kweli.
 
Ukisoma ufunuo 20:12 nanukuu.
Nikawaona wafu,wakubwa kwa wadogo,wamesimama mbele ya hicho kiti cha enzi;na vitabu vikafunguliwa;na kitabu kingine kikafunguliwa,ambacho ni cha uzima;na hao wafu wakahukumiwa katika mambo hayo yaliyoandikwa katika vile vitabu,sawasawa na matendo yao.
 
Mtoto wa mwezi mmoja atafufuliwa na mwezi huo huo mmoja? Sasa hata kutembea hawezi kila mda kulialia anataka maziwa [emoji3] huko peponi kumbe bado kutakua na mikelele tu
 
Kuna pipo ni bongo lala zinafuatisha tu maandiko bila kushughulisha akili
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa wew upo upande gani
 
View attachment 459123[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahhahaahhaahha haya maswala bhn ukiyazingatia sana utabaki kuwashangaa kina gwajima wanavyokula pesa kina lwakatale wanavotumbua maisha kina lusekelo kina kakobe af wewe unayekaa unahofu kuhusu siku ya mwisho ambayo ni nadharia utabaki kufa njaa tuu
 
Ulivyokufa ndivyo utafufuliwa.ila wapo watakaofufuliwa kwa maumbo tofauti tofauti.ila umri ule ule.
Tupe na kamstari ka injili kidogo kuhusu hii statement yako, maana nimetafuta mpaka nimechoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…