Ndo maana kuwa mwanaume sio lelemama, mpaka wanaume skuizi wameamua kuukana uanaume na kuamia upande wa pili, wengi wameamua wawe mashoga ili wapate mserereko kama wanawake, unakuta mtoto wa kiume anajilegeza na kujibinua zaidi ya Dem Tena bila haya anagombania madanga na watoto wa kikeMtafiti mmoja alinunua kitabu chenye kichwa "Wanawake Wanahitaji Nini?"
Akakutana na vitu 2.000,
Akatabasamu,
Kisha akakichoma.
Kwa nini?
Kwa sababu katika asili,
Jike halina orodha ya vitu linavyovihitaji.
Ndege,
Wanyama,
Viumbe wote wa jamii ya kike huwa hawachagui kwa huruma au kwa kufuata maadili fulani.
Wanachagua uhakika wa uhai wao na kizazi chao.
Madume wa ndege na wanyama tofauti:
Hupigana,
Huimba,
Hujionyesha,
Hujenga viota,
Hulinda, na
Hutafuta chakula.
Ili tu wawavutie na kuwamiliki majike.
Hiyo siyo romance,
Ni baiolojia.
Binadamu wanajaribu kuipinga asili na kufuata kanuni walizojiwekea za maadili, dini, na tafiti laini laini.
Lakini uteuzi unabaki uleule.
Mwanamke huvutiwa zaidi na mwanaume mwenye:
Nguvu: uwezo wa kujiongoza, kuongoza, kuendeleza vitu na
kusimama imara kwenye shinikizo.
Uwezo: akili na mbinu za kutatua changamoto kwenye maisha.
Hadhi: nafasi yako kwenye mfumo wa kijamii ikoje?
Usalama: unaweza kumlinda kimwili, kiakili na kihisia?
Leo, kesho, na hata wakati wowote wa hatari?
Upendo huja baadaye.
Mvuto hutangulia.
Huwezi kushindana na asili.
Wakati wanawake wanaenda beijin kupigania usawa wa kijinsia hawakuwaza kwamba huo usawa utakuja na wajibu sawa pamoja na kupoteza privileges zote walizokua wanazipata kutoka kwa mwanaume.Usemi wa watu wengi ni kwamba mwanamke anataka hela.
Ila hawatuambii ni kiasi gani hicho wanachotaka.
Lakini ukweli ni kwamba hata sisi pia tunazitaka.
Kuzitaka ni kitu kingine na kuzipata ni jambo lingine.
Kwenye hii zama ya 50/50 natamani kuona jukumu la kutaka kupewa hela ambazo hujazofanyia kazi, liwe la pande zote mbili.
Kusitokee upande mmoja tu ndio unaotazamiwa kuwa mtoaji huku upande mwingine ukiwa ni mpokeaji.
Wanawake wa saizi walio wengi wamegundua ajira mpya kupitia miili yao.Wakati wanawake wanaenda beijin kupigania usawa wa kijinsia hawakuwaza kwamba huo usawa utakuja na wajibu sawa pamoja na kupoteza privileges zote walizokua wanazipata kutoka kwa mwanaume.
Ukiangalia kwa undani utaona wanawake hawataki gender equality, isipokua wanataka selective equality, yaani wanataka wachague ni wapi na kwa namna gani wawe sawa na mwanaume.
Na hii ni ili waweze kubadilika kimsimamo kwa kuangalia masilahi yapo upande upi. Pale ambapo patriarch inawanufaisha wanaikana 50/50, na pale ambapo 50/50 inawanufaisha wanaikana patriarch. Hawawezi kwenda na ideology moja kwa ujumla wake kwa sababu wanataka benefits za kila upande lakini sacrifices hawazitaki
Usemi wa watu wengi ni kwamba mwanamke anataka hela.
Ila hawatuambii ni kiasi gani hicho wanachotaka.
Lakini ukweli ni kwamba hata sisi pia tunazitaka.
Kuzitaka ni kitu kingine na kuzipata ni jambo lingine.
Kwenye hii zama ya 50/50 natamani kuona jukumu la kutaka kupewa hela ambazo hujazofanyia kazi, liwe la pande zote mbili.
Kusitokee upande mmoja tu ndio unaotazamiwa kuwa mtoaji huku upande mwingine ukiwa ni mpokeaji.
Ndo maana kuwa mwanaume sio lelemama, mpaka wanaume skuizi wameamua kuukana uanaume na kuamia upande wa pili, wengi wameamua wawe mashoga ili wapate mserereko kama wanawake, unakuta mtoto wa kiume anajilegeza na kujibinua zaidi ya Dem Tena bila haya anagombania madanga na watoto wa kike
Asaivi wanaume wachache sana, wanawake wanazidi kuongezeka, wasipojifunza kujipambania wenyewe walivyo wengi namna hii wataolewa na nani au huo usalama watapewa na kina nani?
Au ndo ile ya mwanaume mmoja atagandwa na wanawake kumi, na Kwa hali ya Sasa hivi ni mwanaume Gani mwenye uwezo wa kuwarizisha wanawake wote kumi wakarizika wote Kwa usawa????
AiseeWanawake wakisubiri kuolewa na wanaume sahihi,
Watachoka kusubiri.
Wanaume wakibeba majukumu yote ya mwanamke,
Watachoka kubeba.
Mwanaume mmoja hawezi kuwatosheleza wanawake kumi, Never!
Tafiti zisizo rasmi zinasema ili mwanamke aridhike sawasawa, anahitaji wanaume watatu wenye nguvu.
Mwanamke anaweza akakwambia
"Money talks",
Halafu kesho, mwanamke huyohuyo akaenda kulala na body builder for free kwa kigezo cha
"Mwanaume mashine".
Wale hawanaga idadi kamili mahitaji yao ni infinityMwanamke anataka hela, ila idadi ya hela anazotaka ndio hazijulikani
Happy new year Raymanu KE ππUkiona umeanza kumwelewa mwanamke jua umekaribia kufa.
Wale viumbe waache tu kama walivyo.
Muunde wewe sasa huyo mwanaume6 Pack abs.
6 Feets tall.
6 Account figures.
6 Nches something.
Happy new year too baby girl π₯°Happy new year Raymanu KE ππ