Ulizingua, hukujua nyuma ya lile busu alilopewa na mmewe anapitia mangap ya uchungu. Kuna muda sio urahisi ila inakuwa space na time vimekuwa kamili hivo kupelekea upendo. Kwan wew tangu uanze kupanda mabas ya usiku marangap ulikutana na hiyo bahati???Unaweza kumpa vyote na bado akakucheat.
Kuna siku nilisafiri, kiukweli mimi siku hizi naapenda kusafiri na haya mabasi ya usiku, na huwa nafanya hesabu zangu kuhakikisha napanda basi ambalo muda wa kufika niendako kumeshapambazuka kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa1 asubuhi.
Karibu na siti yangu kaja mdada yupo na begi lake, ameambatana na mume wake na mtoto mwenye umri kama miaka 3+. Kwa mwonekano, mwanaume yupo vizuri mfukoni kwa kweli, kawasindikiza na gari, dogo akilia kidogo tuu jamaa anaenda analeta chochote ili mradi wafurahi. Muda ukafika wa kuondoka. Njemba akambusu mkewe, akambusu mtoto, then akawapungia mkono wa kuwatakia safari njema. Safari ikaendelea, dogo akalala. Huyu bidada muda wote yupo bize na simu hata hajali mtoto. Akaamua amlaze mtoto kwenye mapaja yangu, imagine kichwa cha mtoto hadi kiuno vimelala kwenye mapaja yangu, alafu miguu ndo ipo kwa mama yake, na wala hakuniomba, niliona tu dogo anaegeshwa uelekeo wangu, mimi sikutaka iwe kesi nikapotezea.
Njia nzima ikawa hivyo. Mimi nikaamua kurevenge, nilikuwa na shuka langu la kimasai, nikajifunika na dogo pia nikamfunika, dogo anakoroma, nikapitisha mkono wangu wa kulia kuutafuta mkono wake wa kushoto, nikaona amenipokea bila hiyana, hapo juu ya mapaja yake. Baadaye kidogo nikapitisha mkono nauzamisha katikati ya mapaja yake napo niapokelewa fresh tuu. Ikawa huku tumemlaza dogo na huku tunapapasana, kidogo nikaona mtu joto lake limepanda mwili wa moto alafu genye zimeshampanda. Nikarudi kwenye zip ya suruali yake nikaifungua nikaanza kupitisha mkono nako nikapokelewa. njia nzima ilikuwa mwendo wa kupapasana tuu hadi tunafika na dogo alikuwa na usingizi balaa. wakati wa kushuka akaniomba namba alaf akauliza narudi lini, aaah kumbe siku ya kurudi kwake ndo siku yangu ya kurudi.
Niliposhuka tukaachana kuna akili fulani ikanijia, sura ya mumewe ikawa inanijia alafu huruma ikawa inanijia, hivi mtu hata hatujaongea kutongozana wala hatujachat kumtaka, kushikana tu mikono hadi kuichezea bustani yake ya edeni. Hivi huyu mwanaume anachapiwa kiasi gani? Siku iliyofuata alinitafuta ila nikamwambia nimetingwa na ubize wa kazi za ofisi, nikamhadaa kwamba nitamtafuta nikisettle. Hadi narudi sikumtafuta tena.
Hii tabia yetu wanaume kujifanya mashujaa ndo inatuponza.Ulizingua, hukujua nyuma ya lile busu alilopewa na mmewe anapitia mangap ya uchungu. Kuna muda sio urahisi ila inakuwa space na time vimekuwa kamili hivo kupelekea upendo. Kwan wew tangu uanze kupanda mabas ya usiku marangap ulikutana na hiyo bahati???
😎Ngoja nikuitie Seran labda huyo ndiyo anaweza kukutibu 😄
Mkuu hapa duniani hakuna jipya chini ya jua. Nikitazama nyuma ya maisha yangu nikijaribu kuhesabu chupi nilizovua siwezi kupata idadi kamili, wengine hadi majina sikumbuki nayote hayo sijaona jipya. Nitalazimika kufanya hivyo endapo tu faida ya kufanya ni kubwa kuliko ya kutokufanya. Otherwise kila mwanamke atakayekuja angle zangu ataondoka kwa disappointments na maumivu makubwa sanaLicha ya timu yako kuongoza goli 5-0 bado ukaona mambo yasiwe mengi ukaamua ku cashout mkeka
Hadi bibi 😂Hadi mama zetu?
Sio kweli 😁Hadi bibi 😂
Fact mkuuWanawake wa saizi walio wengi wamegundua ajira mpya kupitia miili yao.
Hawataki tu kusema wazi kuwa tunakuuzia ila utawaona wakija indirectly.
Utasikia siwezi kuingia kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hanihudumii.
Haya, shida yako si hela na we ni jobless. Nikapambana nikamtafutia kazi anayolipwa hela nzuri tu.
Lakini vocha, nauli, hela ya kula, nguo. Vyote anaomba kwangu.
Na hapo anaishi kwao, na anampango wa kuhama akajipangie maana yake na kodi inaweza kuongezeka kwenye vizinga anavyopiga.
Nikagundua huyu mwanamke ni mbinafsi ambaye hana huruma na shukurani, nikamua kumlia buyu
Ndio maana mimi leo mtu akiniambia anaenda kununua malaya wala simshangai.
Mtu anaona bora atoe buku 10 achape asepe, kuliko kuingia kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kila siku anapiga vizinga na uhakika wa kuwa na bwana mwingine ni mkubwa.
hapo ujue amekuchoka, umekaribia kuuawaMwanamke anaweza akaamka usiku,
Akasimama konani,
Akawasha tochi ya simu,
Kisha anakumulika usoni.
Huyo mama anapenda ngonoYuko sahihi mkuu,
Lakini kwa upande wangu tendo siyo kitu pekee kinachoweza kunisaidia kumanage stress.