Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

Wengi waliooa wameoa wanawake ambao wanajiuza waziwazi au kwakificho na baadhi yao kwasababu yakutowachunguza wanasema wake zao ni wema.Kikubwa nikuoa tu.

Jiulize kule kwenye mtandao wa BADOO wote wale wako single?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke anaejiuza kumuoa yataka moyo. Maana ni sawa na wewe uwe na gari yako umemkabidhi dreva afanye taxi, then baada ya miezi kadhaa ukabadirisha matumizi ya gari yako ya kuwa inatumika kwa matumizi ya kuendea sokoni tu ila dreva ni yule yule, je wale abiria wazamani wakimpigia simu awa rush sehemu then wanamlipa unazani atakataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea aliufanya uo umalaya kwa sababu zipi ,, naww mwenyewe kua tayar kumfanya awe mwema..

Ila km ni tabia ..huwezi kumbadili
 
Inabid nifumbe macho kusema ukweli huu maana kundi ili kuna mama zetu wake zetu na madada zetu ila ukweli
Hakuna mwanamke ambaye hajiuzi, hata tunaowaoa
hakika boss!
 
".....maana baada ya bikra kutoka hakuna tena ushahidi wa alishafanya ngono mara ngapi na katika mazingira yapi..."

Lukolo, Jamiiforums
 
You can turn a bad girl into a good girl, but when a good girl turn bad she is gone forever.

Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
 
Back
Top Bottom