Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

Kwanza inatakiwa uelewe tofauti ya malaya na kahaba

WANANDOA WENGI WANAOANA WAKIWA WOTE MALAYA

MALAYA ni yule aliye katika mahusiano zaidi ya mtu mmoja awe MWANAMKE ama MWANAUME.

KAHABA ni yule anayejiuza mwili wake kwa sababu zake anazojua yeye mwenyewe ikiwemo na kujiongezea kipato

Kuoa kahaba inawezekana maana makahaba huwa wanastaafu lakini ndoa yenu lazma itakuwa na migogoro, mkizinguana tuu, ukikumbuka tu alikuwa kahaba kinanuka

Kuoa malaya ni kutaka kuishi gerezani ama kujinyonga ufilie mbali
 
Mwanamke anaejiuza kumuoa yataka moyo. Maana ni sawa na wewe uwe na gari yako umemkabidhi dreva afanye taxi, then baada ya miezi kadhaa ukabadirisha matumizi ya gari yako ya kuwa inatumika kwa matumizi ya kuendea sokoni tu ila dreva ni yule yule, je wale abiria wazamani wakimpigia simu awa rush sehemu then wanamlipa unazani atakataa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano wenye uhai wake huu
 
Mada imenigusa sana! Me mwenyewe kama mwezi hivi umepita nimeng'oa girl pale ambiance club,kwa mazingira niliyomkamatia japokuwa ilikuwa ni ndani club but inaonyesha anauza nyapu! Tangu that day yule binti ananicall sana and anasema ananipenda sana,huwa ananipipigia simu ananipa niongee na marafiki zake! Siku hizi hata hela haniombi. Ni kama wiki imepita aliniambia anataka 2kachek ngoma coz amechoka kutumia ndomu nami! Me sina girl permanent bado,nipo kwangu naish alone! Sasa najiuliza if the girl can be trusted and naweza ishi naye ikiwezekana 4ever?? Mtoto yupo vizuri sana,hata age yake bado ndogo kama 20 yrs hv
Muoe tu mkuu, sio kila anayejiuza anapenda
 
Ninamjua mtu mmoja mfanyabiashara anaechipukia lakini mwenye uwezo mzuri ambae kaoa anaejiuza kutoka pale masai club kinondoni. Jamaa ni rafiki yangu, na mdada aliemuoa yupo kajaaliwa na neema ya uzuri hassa. ilianza jamaa kwenda pale masai mapema sana siku za wikiendi anaagiza msosi na kinywaji (jamaa hanywi pombe) anatulia na kucheki boli mara siku katokeza dada anaomba akae meza moja na jamaa yangu kwa vile meza nyingi zimejaa, jamaa akakubali na akampotezea yeye ilikuwa ni kula na kucheki boli, masaa yameenda na dada nae kaagiza msosi na RedBull akawa anashushia. Mwishowe taratibu wakaanza stori za mpira na michezo mengine, wakazoeana na jamaa akachukua mzigo... ni stori ndefu ila kwa sasa huwezi kuamini dada katulia kweli kweli na jamaa ni mtu mmoja kati ya wachache kwenye dunia hii ambae ana enjoy ndoa to the maximum... mapenzi hutoka moyoni jamanii
 
mjadaala huu bado upo dah ebu tupate maoni mengine ya wadau
 
Kwa mtazamano wangu uwezekano upo kabisa kwa kuwa mtu uyu ameshafanya mengi sana kwa iyo kutulia kwenye ndoa inawezekana kabisa
mada ni hivi kweli upo uwezekano wa malaya anayejiuza akawa mke mwema zaidi ya yule mwanamke ambaye hajawahi fanya hiyo biashara
 
Mnapa
Mada imenigusa sana! Me mwenyewe kama mwezi hivi umepita nimeng'oa girl pale ambiance club,kwa mazingira niliyomkamatia japokuwa ilikuwa ni ndani club but inaonyesha anauza nyapu! Tangu that day yule binti ananicall sana and anasema ananipenda sana,huwa ananipipigia simu ananipa niongee na marafiki zake! Siku hizi hata hela haniombi. Ni kama wiki imepita aliniambia anataka 2kachek ngoma coz amechoka kutumia ndomu nami! Me sina girl permanent bado,nipo kwangu naish alone! Sasa najiuliza if the girl can be trusted and naweza ishi naye ikiwezekana 4ever?? Mtoto yupo vizuri sana,hata age yake bado ndogo kama 20 yrs hv
Mnapambana eti?
Tabia ni kama ngozi ingawa sio wakati wote!!!
 
Mleta uzi nakuuliza kuwa :
‌🇪‌🇹‌🇮 ‌🇸‌🇭‌🇪‌🇹‌🇦‌🇳‌🇮 ‌🇦‌🇰‌🇮‌🇿‌🇪‌🇪‌🇰‌🇦 ‌🇦‌🇳‌🇦‌🇰‌🇺‌🇼‌🇦 ‌🇲‌🇦‌🇱‌🇦‌🇮‌🇰‌🇦[emoji782]
 
Back
Top Bottom