Neno MALAYA limekua ni RELATIVE term.mpaka leo na utu uzima wangu sijui maana ya Malaya?
hakika boss!Inabid nifumbe macho kusema ukweli huu maana kundi ili kuna mama zetu wake zetu na madada zetu ila ukweli
Hakuna mwanamke ambaye hajiuzi, hata tunaowaoa
Inategemea...malaya anawezaje kuwa mke wajameni?
....hamkomi tu hadi mnakuta wake zenu "vitandani" na marafiki zenu?na mnajua wazi mliwakuta wapi...!
Hakuna kitu kinachoniuma moyoni mwangu kama mwamamke kuitwa malayamada ni hivi kweli upo uwezekano wa malaya anayejiuza akawa mke mwema zaidi ya yule mwanamke ambaye hajawahi fanya hiyo biashara
Uko vizuri kichwaniNi kweli anaweza kuwa mke mwema maana wanawake wengine hawasimami barabarani lakini ni wachafu zaidi ya hao.
KweliInabid nifumbe macho kusema ukweli huu maana kundi ili kuna mama zetu wake zetu na madada zetu ila ukweli
Hakuna mwanamke ambaye hajiuzi, hata tunaowaoa
Logic in illogical wayLet him who is without Sin cast the first Stone...
No man capable of building trust on his wife after finding her at the incident of cheating, even if she makes confession and settle in her marriage,...You can turn a bad girl into a good girl, but when a good girl turn bad she is gone forever.
Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier