Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

Haaaa haaaa ndio akizeeka anakuwa malaika
 
Ukisoma kitabu cha Hosea ile sura ya kwanza Mungu anavyomuamuru Hosea akamuoe Kahaba ili aone uchungu wa kugongewa....maybe tunaweza kutumia hio phrase kuhitimisha kuwa Huwezi kumuoa Kahaba akawa Mke.....ni mtazamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ