My mee
Senior Member
- Jan 23, 2025
- 150
- 376
Wanaume hii inaweza kuwa chanzo cha mwanaume kuoa mwanamke ayeona ni Mtamu kitandani,na Mtundu?
Au wewe uliangalia tabia,utamu utaupata kwenye kuchepuka??
Au wewe ulioa mwanamke mtamu na ,tabia utamwelekeza?
Ukiangalia wanaume wengi wanao chepuka ,ni ile waliangalia tabia na si kuzingatia kama anamridhisha au lah.