. good 👍Hiyo pekee SIO Tiketi ya Ndoa.
Ndoa ni mchanganyiko wa vitu kadha wa kadha.
Hata kwa % ndogo ndogo.
Kwahiyo Mwanaume anapima mzani wake na akiona uko sawia anaoa.
inawezekana ukawa mtundu kitandani ila akili kisoda. Kwahiyo Utatumiwa na wanaume weng na hawatabanduka kwako kirahisi ila ndoa sahau.
Na inawezekana Sio mtundu kitandan. Ila unavyo ambavyo vinamvutia Mwanaume kuingia kwenye ndoa . Ataingia na ww. Na huo utundu anaotaka yeye atakufundisha au ataenda kuupata kwa mwanamke wake aliyemzoea ambaye ana utundu ila hayuko wife material.

Mbona unabeepKumbe
. good 👍
Wanaume hii inaweza kuwa chanzo cha mwanaume kuoa mwanamke ayeona ni Mtamu kitandani,na Mtundu?
Au wewe uliangalia tabia,utamu utaupata kwenye kuchepuka??
Au wewe ulioa mwanamke mtamu na ,tabia utamwelekeza?
Ukiangalia wanaume wengi wanao chepuka ,ni ile waliangalia tabia na si kuzingatia kama anamridhisha au lah.