Je, mwanamke uko tayari kumpa pesa mchumba wako akakulipie mahari kwenu?

Je, mwanamke uko tayari kumpa pesa mchumba wako akakulipie mahari kwenu?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Habari ndungu wana JF ,

Karibuni tujadili mada hiyo hapo juu
Ikiwa una mchumba ambae mnapendana kwa dhati lakini lakini hayupo vizuri kiuchumi na amedhamiria kukuoa.

Kutokana na tatizo la kukosa pesa hana uwezo wa kulipa mahari kwenu ili muoane.

Na kwa upande wako wewe kiuchumi upo vizur.i Je, upo tayari kumpa pesa ili akatoe kwenu uolewe.

Pia mpo tayari kuchukua pesa hiyo na kwenda kulipa ukweni ili muoe?
=========
Michango:
Apo umenena kabisa mkuu...wadada wengi wanalazimisha waolewe na wenzi wao ilhali wanajua kabisa huyu mwenzangu hali yake ya kiuchumi kwa sasa haipo sawa na hii yote ni kutokana na ile kupata pressure kutoka kwa wenzie ambao wameshaolewa tyr ,naye ndipo anapoamua kujitolea mahari alowe faster faster.

Mimi naamini hapa duniani hakuna mwanaume anayependa kutolewa mahari na mwanamke, wanaume wengi wakiona hali zao kiuchumi siyo nzuri huwa wanasema kabisa nivumilie mpaka nipate pesa na nijipange vizuri ktk maisha.

Ukiona kuna mwanaume ambaye yeye anakubali kutolewa mahari basi ni kutoka kwa wale wa kisuli suli, wapo km vibenteni na mwsho wa siku wakiingia ktk ndoa lazima iyumbe sbb mwanaume amezoea kutolewa na sio mtafutaji.

Kama mwanaume posa ndogo tu hata ya 30000 inakushnda kutoa ili yule mwanamke wako ajisikie furaha ,je ndani ya nyumba utaweza kweli kuhudumia?, na mwanamke akitake part as kichwa cha familia utaanza lalamika kuwa oh kwasababu wewe ndio umejitolea mahari unaninyanyasa, usikute ata nyumba mnayokaa ni ya mwanamke apo ndiko hali inapozd kuwa tete. Mwanaume lazima aweke heshima kwa mwanamke wake.

Hii kabisa ,siwezi fanya hii!

Ila kiuhalisia mpaka naandika hapa kuna wadada kama sita ninaowafahamu wamewapa wachumba zao mahari wakalipe na wakatunukiwa ndoa zisizokuwa na maisha marefu.

Mfano.1

Hii moja baada ya mahari kulipwa ,mwanaume akamuoa mdada, kilichotokea mdada akawa ndo baba mwenye nyumba anahudumia familia kama hana akili nzuri ,mwanaume hataki kufanya kazi yoyote, zaidi sana mwanaume anataka apewe hadi hela za matumizi na kumtia demu kama kichaaa. Ndoa imekufa

Mfano. 2

Mdada ana mnyanyasa mwanaume kichzi...jamaa hapumui hata kidogo halafu jamaa anapenda sex hatari kwahyo anatia wadada wa kazi maana mkewe hampi kabisa uchi anasema jamaa mvivu hawez ndo maana hata mahari alimpa akamlipie.


Huu usenge, mwanamke usimpe mwanaume wako mahari akakulipie ni umaku. Kosa la jinai na umburulaaa.

Mimi nadhani mwanaume kama kweli anayonia na utayari wa kuoa hawezi kukosa kutafuta hela ya mahari kama amedhamiria.

Kwani ndoa si inaanza kwa mipangilio?

Tuseme inashindikana kutafuta vibarua hata vya dei worker January to December kupata hela ya kwenda kulipa mahari?

Ni kwamba ile willingness na utayari siyo wa kutosha kwa mwanaume!

Huu mjadala ni mzito ila naona watu wanaujadili kiwepesi wepesi kwakuwa sehemu yao wanaujadili kwa kuegemea hisia za kingono na sio kindoa. Wakuu maisha ya ndoa ni mwanzo wa maisha ya wahusika sehemu ya pili ambayo inachangamoto nyingi, changamoto zinazotokana na kujuana tabia halisi baada ya kufichana kwa muda wote mrefu wa uchumba.

Mwanaume ukiona mshichana anataka kukulipia mahari yani kutimiza majukumu muhimu yanayokustahili ili yakuguse basi jiulize maswali yasipungue 3, kwanini anajirahisisha? Tutaweza kuishi salama kwa mkike kujilipia mahari? Hivi nimeoa au nimeolewa?

Dada jiulize unamlipia mahari je ataweza kulea familia ikiwa mahari tu kashindwa? Nini kimekusukuma kumlipia mahari? Je kitakuwepo siku zote.

Kwetu mahari ni sehemu ya heshima/utambulisho/alama au ishara kuwa binti ameolewa nyumba fulani ila mahari sio biashara wala thamani ya kumlipa mzazi kwa bint yake.

Wengine tuna watoto watatu na hatujalipa mahari ila tulichosaidia ktk familia ya ukweni ni zaidi ya mara mia moja ya mahari.






1573222055812.png
 
Hii kabisa ,siwezi fanya hii!

Ila kiuhalisia mpaka naandika hapa kuna wadada kama sita ninaowafahamu wamewapa wachumba zao mahari wakalipe na wakatunukiwa ndoa zisizokuwa na maisha marefu.

Mfano.1

Hii moja baada ya mahari kulipwa ,mwanaume akamuoa mdada, kilichotokea mdada akawa ndo baba mwenye nyumba anahudumia familia kama hana akili nzuri ,mwanaume hataki kufanya kazi yoyote, zaidi sana mwanaume anataka apewe hadi hela za matumizi na kumtia demu kama kichaaa. Ndoa imekufa

Mfano. 2

Mdada ana mnyanyasa mwanaume kichzi...jamaa hapumui hata kidogo halafu jamaa anapenda sex hatari kwahyo anatia wadada wa kazi maana mkewe hampi kabisa uchi anasema jamaa mvivu hawez ndo maana hata mahari alimpa akamlipie.


Huu usenge, mwanamke usimpe mwanaume wako mahari akakulipie ni umaku. Kosa la jinai na umburulaaa.
 
kama mahari tu hawezi kulipa vipi kuhusu kuudumia familia? nakubali kweli kua kuna mapito wanaume tunapitia kwenye hali mbaya sana ya kiuchumi, kwanini uoe wakati uo? mimi binafsi siwezi pokea pesa ya mwanamke nikamlipie nayo mahari, labda tu nitachelewa kulipa uku nikiweka mambo sawa.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 ngoja nimalize kucheka ntarudi
 
Hayo mambo mbona yapo hadi Magu anafaham ilo , Talking with experience Binam yangu flan Alimpa mahari bwana (Serengeti boy) wake amlipie mahari akajifanya anavihela after 6months Kazi alikuwa nayo kaachishwa Nyumbani alafu Serengeti boy alishazoeya Vya Bure Kazi hana ni mvivuu balaa...
As we speack asaivii ndoa inataka kuvunjika ...
 
Back
Top Bottom