Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutamuonea huruma jamaa na ana nia kweli na akishindwa kutoa na ndoa si ndo basi tena utakubaliana nayo hayo ?Heee sio kwenye pesa nyingi kiasi iko...ata mahali sitaki aniambie apunguziwe...iyo iyo aliyotajiwa agangamale alipe
Simuonei huruma, kabla ya nitakuwa nishamueleza kuwa posa ni bei gani, so ni lazima ajipange kabisa...asipokubali bs huyo hana nia anapenda mteremko tuHutamuonea huruma jamaa na ana nia kweli na akishindwa kutoa na ndoa si ndo basi tena utakubaliana nayo hayo ?
Si ataenda mchumbia rehema kwa njiwa wawili aweke ndani au anamuoa asha kwa elfu hamsini
Hutamuonea huruma jamaa na ana nia kweli na akishindwa kutoa na ndoa si ndo basi tena utakubaliana nayo hayo ?
Si ataenda mchumbia rehema kwa njiwa wawili aweke ndani au anamuoa asha kwa elfu hamsini
Kama walikuwepo Basi walikuwa wanawake wapumbavu kuwahi kutokea.
Wacha weeh aiseeKama walikuwepo Basi walikuwa wanawake wapumbavu kuwahi kutokea.
Sawa Hapo umenena kweli bibie pujoSimuonei huruma, kabla ya nitakuwa nishamueleza kuwa posa ni bei gani, so ni lazima ajipange kabisa...asipokubali bs huyo hana nia anapenda mteremko tu
Walahy[emoji23]Future impossible tense!!
By Oyono Mbia.Three suitors one husband!
Hongera mkuu,hao wanawake wapo ila wachacheMmmh inabidi siku moja ukutane na mke wangu ujifunze jambo ni mzungu wa S.A, mwaka 2007-2012 tulikuwa na mobile relationship tu nikimpiga danadana za hapa na pale hela nilikuwa sina.
Early 2013 alinifata Tanzania na kunitaka nikatoe mahali kwao mwanaume sina hata mia binti bila khiyana akanipa rand 35000 na nilimrejeshea pesa yake mwaka 2017.
Kwani nimesema uongo?[emoji1787][emoji1787]Wacha weeh aisee
Ni ujinga Sana.Umeona eeeh, yani endapo ukifanya icho kitu kwa mpenzi wako eti ili upate ndoa utakuja jutaaa...atakuachia majukumu yoteee ww ya kulea ndani ya familia...wadada msiwatolee waume zenu mahali jmn na ww mkaka utayekubali icho kitu utakuwa hujielewi...unakubali kuolewa
una umri gani???Siwezi kufanya huo upuuzi ata siku moja...hiyo tu tuko kwenye uchumba afu aniambie tufungue mradi fulani kakope nami nikope siwezi...sembuse kumlipia mahari? Looooh [emoji50][emoji50]
safi sanaMwanamke mwenye akili atanegotiate na familia yake baada ya wewe kusema una kiasi gani! Na ukiona mwanamke hachangii mahari, huyo hakufai Achana naye unless hana hela na kama hana hela anaburgain na wazazi wake wapunguze. Mie binti yangu anaolewa kwa mahari ya elfu kumi tu
una umri gani???
Hongera mkuu,hao wanawake wapo ila wachache
Kwahio alikukopesha mahari hio.🤣🤣🤣Mmmh inabidi siku moja ukutane na mke wangu ujifunze jambo ni mzungu wa S.A, mwaka 2007-2012 tulikuwa na mobile relationship tu nikimpiga danadana za hapa na pale hela nilikuwa sina.
Early 2013 alinifata Tanzania na kunitaka nikatoe mahali kwao mwanaume sina hata mia binti bila khiyana akanipa rand 35000 na nilimrejeshea pesa yake mwaka 2017.